Wazazi mnaowapeleka Boarding school watoto wadogo

Wazazi mnaowapeleka Boarding school watoto wadogo

Wanawake wengi tumekuwa wavivu kulea...starehe tumeziendekeza mno,uwepo wa mtoto kando yangu muda wote naona ananibana kwenda marathon Dodoma.
Inaumiza sana kiukweli...sijui,hii dunia tunakoelekea🙌
Case Closed.

Wanawake wanaopenda hivyo % kubwa ni wavivu ,wengi wanakuwa bado wanahekaheka nyingi za kula ujana ,uwepo wa mtoto unambana sana ,kuwaandaa kwenda shule ,kuwafulia ,kuwapikia so akienda boarding hayo mambo anayaepuka.

Ushauri kwa wadada ,kama haupo tayari kuingia kwenye ndoa na haujamaliza heka heka ni bora utulie kwenu uendelee kula bata mpaka utakapokuwa tayari.
 
Ukiwakuta sasa wanavyoshupaza shingo kutukana walimu, kumbe ndio walezi wa watoto wao waliowatelekeza🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Case Closed.

Wanawake wanaopenda hivyo % kubwa ni wavivu ,wengi wanakuwa bado wanahekaheka nyingi za kula ujana ,uwepo wa mtoto unambana sana ,kuwaandaa kwenda shule ,kuwafulia ,kuwapikia so akienda boarding hayo mambo anayaepuka.

Ushauri kwa wadada ,kama haupo tayari kuingia kwenye ndoa na haujamaliza heka heka ni bora utulie kwenu uendelee kula bata mpaka utakapokuwa tayari.
Ni huzuni sana mkuu
 
Watanzania wengi wakikusanyana wanajua Watanzania wote wanafanya kazi nmb na kurudi nyumbani jioni na kutoka asubuhi ndio maana utaona hayo majibu kuwa alie na mtoto nyumbani anaona yeye anampenda kuliko ambae mazingira yanambana week end tu ndio anakua nae home,
Wakiwa likizo ndefu na mzazi naye anakuwa likizo huo muda wote? Suluhisho liko hapo. Kinachowezekana wakati wa likizo kinawezekana wakati mwingine pia.
 
Case Closed.

Wanawake wanaopenda hivyo % kubwa ni wavivu ,wengi wanakuwa bado wanahekaheka nyingi za kula ujana ,uwepo wa mtoto unambana sana ,kuwaandaa kwenda shule ,kuwafulia ,kuwapikia so akienda boarding hayo mambo anayaepuka.

Ushauri kwa wadada ,kama haupo tayari kuingia kwenye ndoa na haujamaliza heka heka ni bora utulie kwenu uendelee kula bata mpaka utakapokuwa tayari.
Naunga mkono hoja!
 
Shuhuda zinaanza kutolewa sasa..!!
Haya huko boarding walikufanya nini kwenye umri mdogo? 😹
 
Kabla nilikuwa nawashangaa watu wanaofanya hivyo ila kadiri ninavyozeeka nagundua sababu zipo nyingi za kuwapeleka watoto wadogo boarding na kati ya hizo uvivu wa kulea isiwe sababu kuu.
Wazazi mna jukumu kuwalea watoto wenu na sio kuwafuga.
 
Mnawezaje kumtelekeza mtoto mdogo Shule ya awali mpaka msingi) shule ya boarding?
Yaani na nafsi zinakuwa huru kabisa ?
Ukatili kabisa, ubinafsi, na kukimbia majukumu, huwa nashangaa pia mzazi anayeruhusu mtoto kupanda gari ya shule sa 11 asubuhi yeye akiwa amelala bado nyumbani, huku ana gari ila ni kwaajili yake tu kwenda job.
 
Uzungu mwingi sana mkuu. Mtoto mdogo anatakiwa kuwa karibu na wazazi hadi afikishapo umri wa mtu mzima ndio aweze toka.. ila uzungu, mie nimetoka kwetu nikiwa na ndevu kabisa
Uzungu? ndugu Wazungu hawakubali ata mtoto kulelelwa na house girl.
 
Back
Top Bottom