King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Case Closed.Wanawake wengi tumekuwa wavivu kulea...starehe tumeziendekeza mno,uwepo wa mtoto kando yangu muda wote naona ananibana kwenda marathon Dodoma.
Inaumiza sana kiukweli...sijui,hii dunia tunakoelekea🙌
Nyie mmekufa?Mkuu kama hatuna watu wa kuwalea na kuwatunza wakiwa day, tungefanyaje?
Ni huzuni sana mkuuCase Closed.
Wanawake wanaopenda hivyo % kubwa ni wavivu ,wengi wanakuwa bado wanahekaheka nyingi za kula ujana ,uwepo wa mtoto unambana sana ,kuwaandaa kwenda shule ,kuwafulia ,kuwapikia so akienda boarding hayo mambo anayaepuka.
Ushauri kwa wadada ,kama haupo tayari kuingia kwenye ndoa na haujamaliza heka heka ni bora utulie kwenu uendelee kula bata mpaka utakapokuwa tayari.
Wanazingua sanaUkiwakuta sasa wanavyoshupaza shingo kutukana walimu, kumbe ndio walezi wa watoto wao waliowatelekeza🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Wakiwa likizo ndefu na mzazi naye anakuwa likizo huo muda wote? Suluhisho liko hapo. Kinachowezekana wakati wa likizo kinawezekana wakati mwingine pia.Watanzania wengi wakikusanyana wanajua Watanzania wote wanafanya kazi nmb na kurudi nyumbani jioni na kutoka asubuhi ndio maana utaona hayo majibu kuwa alie na mtoto nyumbani anaona yeye anampenda kuliko ambae mazingira yanambana week end tu ndio anakua nae home,
Mimi na dada zangu ni wanakijiji, mimi tu ndiyo nimepata kibarua huku town. Kwa hivyo mtoto wangu hawezi kusoma St. Kayumba
Naunga mkono hoja!Case Closed.
Wanawake wanaopenda hivyo % kubwa ni wavivu ,wengi wanakuwa bado wanahekaheka nyingi za kula ujana ,uwepo wa mtoto unambana sana ,kuwaandaa kwenda shule ,kuwafulia ,kuwapikia so akienda boarding hayo mambo anayaepuka.
Ushauri kwa wadada ,kama haupo tayari kuingia kwenye ndoa na haujamaliza heka heka ni bora utulie kwenu uendelee kula bata mpaka utakapokuwa tayari.
Ukatili kabisa, ubinafsi, na kukimbia majukumu, huwa nashangaa pia mzazi anayeruhusu mtoto kupanda gari ya shule sa 11 asubuhi yeye akiwa amelala bado nyumbani, huku ana gari ila ni kwaajili yake tu kwenda job.Mnawezaje kumtelekeza mtoto mdogo Shule ya awali mpaka msingi) shule ya boarding?
Yaani na nafsi zinakuwa huru kabisa ?
Ubusy ni kisingizio tu, ni ubinafsi na kukimbia majukumu.Inasikitisha sana,baadhi ya wazazi hujifanya wapo busy
Kulea ni sehemu ya kazi kama hiyo unayofanya, kama jambo ni muhimu litapata mda, uzazi limekuwa sio jukumu muhimu tumegoma kulipa mda.Nibaki namlea nyumbani?
Marathon dom ingekuletea jamboWanawake wengi tumekuwa wavivu kulea...starehe tumeziendekeza mno,uwepo wa mtoto kando yangu muda wote naona ananibana kwenda marathon Dodoma.
Inaumiza sana kiukweli...sijui,hii dunia tunakoelekea🙌
Ni wapumbavu,umemleta mtoto wa nini duniani kama huwezi kumlea...maliza starehe kwanza ndiyo uzaeMarathon dom ingekuletea jambo
Hakika mkuu malezi ni muhimu sanaNi wapumbavu,umemleta mtoto wa nini duniani kama huwezi kumlea...maliza starehe kwanza ndiyo uzae
wanakimbia majukumu ya kuleaMnawezaje kumtelekeza mtoto mdogo Shule ya awali mpaka msingi) shule ya boarding?
Yaani na nafsi zinakuwa huru kabisa ?
Exactly 💯wanakimbia majukumu ya kulea
Uzungu? ndugu Wazungu hawakubali ata mtoto kulelelwa na house girl.Uzungu mwingi sana mkuu. Mtoto mdogo anatakiwa kuwa karibu na wazazi hadi afikishapo umri wa mtu mzima ndio aweze toka.. ila uzungu, mie nimetoka kwetu nikiwa na ndevu kabisa