Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

Duuu, aisee Pole sana....Ila hawa watu wa Mpwapwa wana tabia chafu sanaa. Yaani ulivyomtongoza mama mkwe ndo umeharibu kabisa. Maana kukataa huwa ni ngumu...Wengi wao huwa wanajitongozesha
 
Duuu, aisee Pole sana....Ila hawa watu wa Mpwapwa wana tabia chafu sanaa. Yaani ulivyomtongoza mama mkwe ndo umeharibu kabisa. Maana kukataa huwa ni ngumu...Wengi wao huwa wanajitongozesha
Dah mkuu kwa kweli sikuwa nafahamu na nilikosea sana maana nia yangu ilikuwa ni kumfanya aondoke.
 
Cha misingi tafuta tripu usafiri na mke wako waachie chakula kidogo
 
Kumbe hata watoto hamna. Yani watu 8 wote unahudumia ww. Na nyumba ni ya kupanga? Sepa Baba. Sepa. Issue ni kazini mkeo anapajua.. Kama unaweza kuhama kikazi fanya ivyooo.
 
Sababu ya msingi ya wazazi kuwa hapo ni ipi? Wapo muda gani?
Kama ni kuwajulia hali tu wiki moja au 2 zinatosha sana.

Akufukuzae hakwambii toka, kwahiyo unachopaswa kufanya hapo ni kukata huduma kama chakula, umeme n.k au kwenda kupanga chumba kimoja mahali halafu unahamisha vitu vyako muhimu, baada ya hapo unawaambia kodi imeisha na huna uwezo wa kuendelea kuishi hapo hivyo kila mtu aangalie namna ya kujisitiri ww na mkeo mnaenda chumba kimoja, unawapa nauli ya safari unawaacha hapo kwa muda.

Hizi tamaduni zetu shida haziangalii uwezo wa mtu.

Kama unauwezo wapangia chumba seble miezi sita wapambane na hali zao lakini iwe mbali na unapoishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…