Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

Paoja na kwamba ni chai lkn watu wa dodoma haswa Warangi wana hii tabia, nlishaona sana Arusha. Kuna mpemba mmoja alioa huko, alikua anakaa chumba na seble lkn wakwe wakatia maguu na wakana wanalala sebleni, njia ya kuepuka haya we tafuta mahala jipe likizo ya wiki bila kuacha hata mia watajiongeza
 
Hapo kweli ishu ni kujipa likizo ,unawaacha wenyewe matumizi watajuana , tena anabadili na namba ya simu
 
Kiasili watu wa dom wanapenda utegemezi sana nimeolea huko baba mkwe anachomwa namwiba ananiomba hela binafsi nilishatoa utaratibu kama mtu anakuja kwangu aniambie ataondoka lini
 
Unaweza mtongoza mama mkwe akakuelewa fresh tu mpeane mzigo
 
Ukiwa na akili hiyo huwezi toboa maisha walah, yaani changamoto ndogo namna hiyo unakuja kulia lia jf? Wangekuwa ni wazazi wako ungelalamika kiivo? Yaani umenichefua sana. Be a real man
Aaaah we nae sasa tukuelewaje ina maana haujasoma ukamuelewa mwenzako au?!
 
Ukiwa na akili hiyo huwezi toboa maisha walah, yaani changamoto ndogo namna hiyo unakuja kulia lia jf? Wangekuwa ni wazazi wako ungelalamika kiivo? Yaani umenichefua sana. Be a real man
Hahahh Kawolii
 
Mkuu ni Bora uonekana mbaya.....Jumamosi Kaa zako sebleni wape taarifa kua jumapil usiku Kuna kikao....muda wa kikao waambie jamani mama mkwe na baba mkwe naomba mrudi kijijini...muda wenu wa kuishi kwangu umeisha.samahani kama ntakua nimewakawaza ....

Na wengine ambao uwataki waambie.....ukimaliza wape nauli ingia chumbani lala....ukiamka asubui muulize mke wako ndugu zako wanaondoka sa ngap nkirudi nkute majibu.....ukiwa serious!!!
Hiyo kazi hatakiwi kuifanya yeye ni jukumu la mkewe. Hawa wanawake nao muda mwingine sijui akili zinakuwa wapi maana hawana huruma na mwanaume hata kidogo.

Maamuzi au mawazo yake ni kujifurahisha nafsi yake bila kutumia akili. Sasa yeye hapo umesikia jamaa kamlalamikia kuwa anaumia kiuchumi na pia anakosa privacy ya ndoa sababu ya ugeni wa kudumu ila mkewe sababu ya akili ndogo anaona jamaa ana roho mbaya au hapendi ndugu zake.

Hii mentality ya kuishi na ndugu ilikuwa maeneo ya vijijini huko ambapo kuna mashamba na shughuli zake ambazo zinahitaji company kubwa so ugeni kama huo unakuwa baraka maana mtasaidiana kulima, kuangalia mifugo, kivuna mazao na kadhalika. Ila kwa mijini huwezi kwenda kaa kwenye mji wa mtu kwaa kigezo cha kumtembelea tu halafu mnakuwa hakuna mishe yoyote ya kiuchumi zaidi ya kumuongezea bili za umeme, chakula na dharula kama kuuguza au manunuzi ya vitu ambavyo havikuwapo katika bajeti yake.

Si swala la roho mbaya au kutokupenda ndugu ni swala la kutambua tofauti ya nyakati na kuwa muelewa. Nenda kwa mwenyeji wako na wakati wa maongezi tafuta lugha laini ya kumwambia umekuja fasta kuwacheki na unampango wa kusema weekend ya wiki hiyo hiyo maana umeona bila kuwaona muda mrefu haujisikii vizuri. Kisha zuga zuga hizo siku mbili tatu kisha sepa zako.

Pia wanawake muwe mnaheshimu, mnaelewa na kusikiliza maelekezo ya wanaume zenu sio mwenzako anakuita faragha unaleta upinzani. Msikilize anachokisema wewe kama umefeli kuona shida ipo wapi basi jiongeze kwa kutumia akili za mwenzako.

Mambo mengine inakuwa kama unafanya kumkomoa mwenzako au kumtafutia sababu atibuke muanze kufarakana. Kwann uishi kwa kutafuta visa badala ya kutafuta maisha mazuri wewe unakuwa ndio sababu au mchango wa kurudi nyuma kimaendeleo. Dunia ya sasa haiendi hivyo.
 
Mke wangu nimejaribu kumwambia awambie ndugu zake na wazazi warudi kijijini lakini hataki eti anatamani awe nao karibu ili akibahatika kupata mtoto wamsaidie kulea.
Mwambie waondoke kwanza akibahatika kupata mtoto, watarudi
 
Mila na destiri zetu watanzania zinazidi kupotea kwa watu kuleta visa vya aina hii na kuna watu wanamuunga mkono.Kwa mila za makabila ya Tanzania kama sio yote mama mkwe ni mama.
Sasa kudiriki kusema nimemtongoza ni ukosefu wa heshima.
 
Ukiwa na akili hiyo huwezi toboa maisha walah, yaani changamoto ndogo namna hiyo unakuja kulia lia jf? Wangekuwa ni wazazi wako ungelalamika kiivo? Yaani umenichefua sana. Be a real man
Apana kwa maisha ya mjini huyu bwana atapata sana shida ..vp wakiumwa ?? Na mahitaj mengine muhimu ?? Kiukwel jamaaa ana mzigo bhana
 
Back
Top Bottom