Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,
Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...
Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...
Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....
Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?
Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...
Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini?
Mungu Ibariki Tanzania..