Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

wazazi hawa hawa wanao lalamika ajira hakuna hadi watoto walio wasomesha wanakuwa boda boda
sasa ndio hivyo tena,
wanadai hawajachoka kuwalea watoto wao waliowazaa kwa uchungu mkubwa hata kama hawana ajira lakini sio kushiriki maandamano haramu ya chadema,

hutaki sasa gentleman?:pulpTRAVOLTA:
 
UWT mnatakiwa kuvaa uniform muda wote mpk uchaguzi utakapoisha
halafu mama Ima naskia,
za chini kwa chini, wenzio akina mama deriki wamepanga, wanataka kukutoa kua muweka hazina wa Bawacha wanadai unawapiga sana pesa zao,

eti pesa zao haziongezeki tangu umepewa nafasi hiyo ni kweli eti?:pedroP:
 
Hujaenda kuteka Watu leo ?
umekasirikia wazazi gentleman kwa kukataza watoto wao washiriki maandamano haramu? :pulpTRAVOLTA:

parents loves their disciplined sons and Daughters makasiriko ya nin sasa:pedroP:
 
imagesbut.jpg
 
Umeteka wangapi leo ?
 
Umeteka wangapi leo ?
kwakweli wazazi nchi nzima wanafaa kushikamana kwa pamoja, kuwaonya na kuwakaripia watoto wao kwa ukali sana kutothubutu kushiriki maandamano haramu yanayipigwa vita kila kona ya nchi na waTanzania wote:NoGodNo:
 
wazazi wameona mbali zaidi na wameamua kwa ukali sana,
kuwaonya watoto wao kuepuka kurubuniwa na wanasiasa wahuni ati washiriki maandamano haramu ya kihuni sana ya chadema :pulpTRAVOLTA:
Hao ni wazazi wawapi nchi inanuka ubaya kwa uchawa wenu wakushibisha matumbo yenu
 
Watekaji na wauaji mbona mnahangaika sana? Au mlipokuwa mnafanya huo ushetani wenu, mlijua mngewaua wote mliopanga kuwaua bila kukaripiwa?
Hahaaa,hata na hivyo haya maandamano hayawahusu watoto wanaowategemea wazazi wao,sbb wanalishwa,wanalishwa nk.ni kwaajili ya waliopigika tu.
 
nadhani waulizwe wa zazazi wa watoto wanao waonywa kuthubutu kuandamana,
maana uchungu wa mwana aujuaye mzazi:pulpTRAVOLTA:
Na wazazi ambao watoto wao wametekwa, wameteswa na wameuawa unawaambia nini ewe mtetezi wa watekaji, watesaji na wauwaji? Au na wewe ni mmoja wao?
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,

Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...

mimi ndie nilie kuzaa,
mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, chadema wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...

mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....

hao chadema walikua wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?

si wakaandamane wao na familia zao? kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu?
mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...

nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini? :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania..
Watu wanakufa mijinga haijali wala haitaki wengine wajali...
Mijinga na mipumbavu Inapenda damu za watu ziendelee kumwagika KUPITIA wahuni wanaotumika kulinda vyeo vyawatu
 
Anesahau Moja Huyo mwanae alitekwa na wasijulikana basi asiombe huruma ya Jamii, Wala asilie kwamba kijana wake katekwa.

Maana "mficha maradhi mauti humuumbua".

Kumbuka maandamani hayo ni kwa ajili ya kupaza sauti" tumechoka kutekwa"

Lakini pia Huyo mzazi anajua kuwa "AENDAPO YEYE NA KARIBU ZAIDI YA AENDAPO KIJANA WAKE" HIVYO waache vijana waandae safari yao ndefu yeye ajiandae na safari yake fupi aimalizie vema.
 
Waandamane viongozi wa cdm na watoto wao lakini wa kwangu marufuku
 
Anesahau Moja Huyo mwanae alitekwa na wasijulikana basi asiombe huruma ya Jamii, Wala asilie kwamba kijana wake katekwa.

Maana "mficha maradhi mauti humuumbua".

Kumbuka maandamani hayo ni kwa ajili ya kupaza sauti" tumechoka kutekwa"

Lakini pia Huyo mzazi anajua kuwa "AENDAPO YEYE NA KARIBU ZAIDI YA AENDAPO KIJANA WAKE" HIVYO waache vijana waandae safari yao ndefu yeye ajiandae na safari yake fupi aimalizie vema.
umechoka kutekwa wapi na uulitekwa lini gentleman acha uongo 🐒

wala wazazi hao hawana maneno mengi dhidi y wanao wapendwa kamwe wasikubali kurubuniwa na wahuni na wasithubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema...

kwa wale watoto makaidi, wenye viburi, wadokozi na wasiombilika kama wewe,

kwasababu uchungu wa mwana aujuae mzazi,

wazazi watakutembelea tu huko hospitali au mahabusu ukiwa unevimba macho,

ili ile methali ya asie sikia la mkuu huvujika guu itakapotimia kwako kwa ukamilifu 🐒
 
Watu wanakufa mijinga haijali wala haitaki wengine wajali...
Mijinga na mipumbavu Inapenda damu za watu ziendelee kumwagika KUPITIA wahuni wanaotumika kulinda vyeo vyawatu
halafu mipumbavu zaidi inajikusanyana kwenye maandamano haramu yaliyopigwa marufuku, ili ikavunjike viuno, taya, miguu na mikono kwa kiburi, jeuri , ukaidi na Mihemko isiyo na maana yoyote, aise dah...

aise tatizio la afaya ya akili linasambaa kwa kasi sana saivv dah 🐒
 
Back
Top Bottom