Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

Na wazazi ambao watoto wao wametekwa, wameteswa na wameuawa unawaambia nini ewe mtetezi wa watekaji, watesaji na wauwaji? Au na wewe ni mmoja wao?
ni maswali muhimu mno wakaulizwa hao wazazi wenye uchungu sana na watoto wao,

ambao wanasiasa wahuni waliokosa na kufilisika hoja wanapanga kuwatumia vijana kufanya maandamano haramu yalopigwa marufuku...

wazazi wamesisitiza kwa watoto wao kujiepusha na kukaa kando kabisa na uharamia wa maandamano hayo haramu, waende kuandamana viongozi wa Chadema na watoto wao 🐒
 
Hahaaa,hata na hivyo haya maandamano hayawahusu watoto wanaowategemea wazazi wao,sbb wanalishwa,wanalishwa nk.ni kwaajili ya waliopigika tu.
naona watoto makaidi kwa wazazi mnapeana moyo kama vile pwagu na pwaguzi dah 🐒
 
Hao ni wazazi wawapi nchi inanuka ubaya kwa uchawa wenu wakushibisha matumbo yenu
unaleta mambo ya ubaya ubwela kwenye mambo ya msingi ya kitaifa gentleman? we ni mashabiki wa mnyama ee alaa 🐒

na usithubutu kuandamana maandamano haramu, skiza wazazi wako wanasemaje sawa?🐒
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,

Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...

Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...

Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....

Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?

Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...

Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini? :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania..
Wazazi gani mbona mimi sijawakataza wanangu kuandamanaaa?????
 
Watekaji na wauaji mbona mnahangaika sana? Au mlipokuwa mnafanya huo ushetani wenu, mlijua mngewaua wote mliopanga kuwaua bila kukaripiwa?
gentleman,
asie skia la mkuu huvunjika guu kiburi, jeuri, ukaidi na mihemko isiyo na maana itakutokea puani, wazazi hua hawapuuzwi kwa dharau na dhihaka hivyo, shauri yako 🐒
 
Wazazi gani mbona mimi sijawakataza wanangu kuandamanaaa?????
ambatana nao gentleman na itapendeza zaidi kushiriki maandamano hayo haramu yanayopingwa kila kona ya nchi na waTanzania wote kwa pamoja,

ambatana nao tu gentleman, ili ikiwa ni kuvunjika guu basi iwe ni kwa wote

maana kumbuka,
asie skia la mkuu huvunjika guu. and this is politics 🐒
 
Naona jibwa linabweka huku mwenye nyumba akiwa katulia ndani
 
Yameharamishwa na nani ,maandamano ni halali mkuuu
 
Hivi CHADEMA wametoka nchi gani?
Kwa nini CHADEMA wanahofiwa?

Kwa mfano wakiandamana, nini kitatokea?
VIdeo clips na picha zitarushwa huko duniani na Nchi zingine zitaanza kumuelewa vibaya Rais wetu na Serikali kwa Ujumla

Mapolisi wetu hawataki hayo
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,

Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...

Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...

Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....

Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?

Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...

Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini? :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania..
Ccm walishawahi kumpa chakula cha kumlisha mtoto wake?
wazazi wameona mbali zaidi na wameamua kwa ukali sana,
kuwaonya watoto wao kuepuka kurubuniwa na wanasiasa wahuni ati washiriki maandamano haramu ya kihuni sana ya chadema :pulpTRAVOLTA:
Sema mzazi siyo wazazi
 
wazazi hawa hawa wanao lalamika ajira hakuna hadi watoto walio wasomesha wanakuwa boda boda
ndio hao hao waliohangaika kuwasomesha kwa tabu sana wakawatafutia mashamba kwaajili ya fursa za kilimo Biashara, ufugaji n.k

ndio wazazi hawa hawa wanawasisitiza kila mara rudini nyumbani vijijini kwenu si mmeshamaliza shule mnang"ang"ana nini mijini na yale mashamba kule kijijini yapo wamewatunzia....

ni wazazi hawa hawa wenye huruma tele na watoto wao hata wale waliokaidi ushauri wao wa kutothubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema miaka ya nyuma, ambapo baadhi yao walipata majeraha mabaya na wengine ni walemavu hata sasa kwasabb ya kukaidi maonyo na makatazo ya wazazi kushiriki maandamano haramu ya Chadema 🐒
Naona jibwa linabweka huku mwenye nyumba akiwa katulia ndani
ni sawa tu,
kama wazazi wakiwakemea watoto wao kujiepusha na mambo maovu kama maandamano haramu ya Chadema,

na sasa wazazi hao wamekua au wanaonekana ni Mbwa, basi ni sawa tutaona itakavyokua 🐒
 
Ccm walishawahi kumpa chakula cha kumlisha mtoto wake?

Sema mzazi siyo wazazi
actually,
ni wazazi, kwababu walikua wengi na vijana pia walikuwepo wa kutosha...

Infact,
wazazi wengi wa sasa ni zao la CCM, kwamba ni CCM imawakuza hadi wakawa zazazi hata leo hii wanawapatia vijana wao mawaidha mujarabu kwasabb wanawapenda sana 🐒
 
VIdeo clips na picha zitarushwa huko duniani na Nchi zingine zitaanza kumuelewa vibaya Rais wetu na Serikali kwa Ujumla

Mapolisi wetu hawataki hayo
pwagu na pwaguzi mnapeana moyo sio,🤣

kukaidi mawaidha, maonyo na makatazo ya wazazi kuhusu kushiriki maandamano haramu ya Chadema 🐒
 
halafu mipumbavu zaidi inajikusanyana kwenye maandamano haramu yaliyopigwa marufuku, ili ikavunjike viuno, taya, miguu na mikono kwa kiburi, jeuri , ukaidi na Mihemko isiyo na maana yoyote, aise dah...

aise tatizio la afaya ya akili linasambaa kwa kasi sana saivv dah 🐒
Kalale wewe mwoga lala na akina bibi kokoo Acha wanaume wagangamare nchi inyooke!
Haki ya kukusanyika ni ya kikatiba na hakuna aliye juu ya katiba.
Watu dhalimu watatuuwa kadhaa LAKINI hawataiua spirit ya kujikomboa mioyoni mwa watu jasiri nyuma yawale waliowadhulumu maisha!!
Woga,wavivu na ujinga kama wewe utafanya taifa liteketee mikononi mwa fyongoz wasio na maana.
Hatuwezi wote kuishi maisha yako ya woga na kujipendekeza Kwa wauaji
 
sawa kaidi, jeuri na mwenye kiburi, puuza na kubeza tu mawaidha, ushauri, hekima na busara za wa wazazi wako kuhusu kutothubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema...

tutaona faida ya mihemko yako huko mahabusu na baadae huko hospitali ukiwa unachachemea na unatembea upande upande na katiba tutakuletea huko kitandani ukiwa hujiwezi uisome vizuri zaidi na ghadhabu zako 🐒
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,

Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...

Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...

Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....

Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?

Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...

Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini? :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania..
Unajua Kila kitu. Kwa siku Moja unafungua nyuzi sita!! .

Hujiamini? Huna hoja? Kwanini nyuzi sita na zote Zina mtizamo unaofanana?

Aibu
 
nadhani,
hilo nalo ni swali muhimu sana wakaulizwa wazazi wenyewe,
ambao ndio wenye uchungu mkubwa na maisha ya watoto wao kuwekwa rehani na chadema kwenye maandamano haramu :pulpTRAVOLTA:
Nakumbuka nimesikia Maandamano yanafanyikia Dar! Kwani na huko Zanzibar yanafanyika?

Wasihi hao wazazi wa Kizanzibar watulie tu!! Maandamano ni huku Tanganyika
 
Back
Top Bottom