kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Kwa maslai ya mboe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Infact,Nakumbuka nimesikia Maandamano yanafanyikia Dar! Kwani na huko Zanzibar yanafanyika?
Wasihi hao wazazi wa Kizanzibar watulie tu!! Maandamano ni huku Tanganyika
Unajua Kila kitu. Kwa siku Moja unafungua nyuzi sita!! .
Hujiamini? Huna hoja? Kwanini nyuzi sita na zote Zina mtizamo unaofanana?
Aibu
Nisiwe muongo nilivyoona hii nimeshindwa kusoma Uzi wote mbaka mwisho kiufupi wazee wetu now days ni vilema mbele ya CCMHao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?
Hahaaa,hata na hivyo haya maandamano hayawahusu watoto wanaowategemea wazazi wao,sbb wanalishwa,wanalishwa nk.ni kwaajili ya waliopigika tu.
ni vizuri zaidi gentleman,Nisiwe muongo nilivyoona hii nimeshindwa kusoma Uzi wote mbaka mwisho kiufupi wazee wetu now days ni vilema mbele ya CCM
kama wazazi kuwaonya vijana wao kutoshiriki maandamano haramu ya Chadema ni utekaji,Watekaji na wauaji wamechanganyikiws wanahangaika kujinusuru baada ya kujulikana.
Vita vya ukombozi havihesabiwi hasara... Wewe mtoto wa elfu mbili ongelea amapiano huku huna chakukushauri!!!sawa kaidi, jeuri na mwenye kiburi, puuza na kubeza tu mawaidha, ushauri, hekima na busara za wa wazazi wako kuhusu kutothubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema...
tutaona faida ya mihemko yako huko mahabusu na baadae huko hospitali ukiwa unachachemea na unatembea upande upande na katiba tutakuletea huko kitandani ukiwa hujiwezi uisome vizuri zaidi na ghadhabu zako 🐒
Huyo mzazi hana mandate ya kuongelea wazazi wengine, hakuna aliempa hiko cheo, wazazi tupo hapa na mtoto akishafikia utu uzima anafanya maamuzi yake mwenyewe, anajua kipi kibaya au kizuri, tumelea na tunajuaLeo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,
Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...
Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...
Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....
Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?
Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...
Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini?
Mungu Ibariki Tanzania..
nina wasiwasi kwa mivutano ya ndani ya chadema inaweza kuzidisha kuviziana na kuumizana zaidi chama kinapoelekea Uchaguzi wa ngazi ya juu,V
Vita vya ukombozi havihesabiwi hasara... Wewe mtoto wa elfu mbili ongelea amapiano huku huna chakukushauri!!!
umeongea vizuri kama Yale makoloni na vibaraka wao yalivyotusi wapigania uhuru wetu kina Nyerere,Mandela,Nkuruma,Mugabe,Gadafi nk.
Huyu ni kada wa ccm sio Mzee wa kanisaLeo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,
Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...
Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...
Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....
Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?
Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...
Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini?
Mungu Ibariki Tanzania..
huenda alikua ni Mzazi anae mlea kijana wake aliekua mzima tu, ila akapata ulemavu baada ya kushiriki kwenye maandamano haramu ya chama hiki hiki cha Chadema huko nyuma na chadema haikuwahi hata kumtembelea wala kumsaidia chochote kijana au Mzazi huyo kwa matibabu wala nini dah!Huyo mzazi hana mandate ya kuongelea wazazi wengine, hakuna aliempa hiko cheo, wazazi tupo hapa na mtoto akishafikia utu uzima anafanya maamuzi yake mwenyewe, anajua kipi kibaya au kizuri, tumelea na tunajua
Labda ww ambae huna kabisa
Kumbe huna uhakika na ulicjoandika, una uhakika kuhusu huyo mzazi , ni “huenda”huenda alikua ni Mzazi anae mlea kijana wake aliekua mzima tu, ila akapata ulemavu baada ya kushiriki kwenye maandamano haramu ya chama hiki hiki cha Chadema huko nyuma na chadema haikuwahi hata kumtembelea wala kumsaidia chochote kijana au Mzazi huyo kwa matibabu wala nini dah!
maana aliongea kwa uchungu mkubwa sana aisee dah 🐒
Wazazi wa chama gani?.Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,
Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...
Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...
Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....
Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?
Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...
Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini?
Mungu Ibariki Tanzania..
Hao Wazazi ni punguani. Watoto wao wakitekwa wanywe mvinyo kwa furaha.wazazi wanantetea watoto wao,
wewe unakasirika,
huo sio ushirikina kweli gentleman?![]()