Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #101
acha kuendekeza uongo, upotoshaji, ubishi na ubinafsi gentleman,Nyie wanaccm si hamtekwi, hii haukuhusu mkuu. Nyie kaeni gongeni glass kukeni na popcorn kabisa.
Sisi tunaotekwa tutaandamana kwa kuwa ni haki kisheria na tumechoka kutekwa.
Kama ni kutuua kwa bunduki ni Bora maana maiti zetu zitazikwa kwa heshika kuliko maiti zetu kupoteza kabisa kwa kuliwa na wanyama au kuzikwa kusikojulikana.
Kuita vyama vya upinzani wahuni ni kujikosea heshima mwenyewe na kukosea serikali yenu heshima. Kwamba katiba imesajili wahuni, Rais na watu wake mara kwa mara wanaongea na kuwapa heshima wahuni.
Lakini pia unalikisea hata Bunge lako heshima wanaoitwa waheshimiwa wabunge la upinzani unaita wahuni.
We huna tofauti na mabinti wanasema wanaume wote ni mbwa, yaani hata baba yake ni mbwa. Hivyo kwa kuwa yeye ni mwanae basi anasahau na yeye lazima atakuwa mbwa mdogo. Hivyo acha kujidhalilisha
vitakutokea puani ukiwa pekeyako na majuto mengi huku mzigo wa kukuuguza na kukulea kwa kukaidi wako wa kupuuza wazazi.. chadema hawatakujua wala hata kukujali..
na kwajinsi walivyo wanaweza hata kusingizia kwamba majeraha ulionayo aidha umeanguka na bodaboa au kipigo ulichokipata baada ya kua umefumaniwa na mke wa mtu, kumbe maskini ya Mungu ulikaidi mawaidha ya wazazi ukajichanganya kwenye maandamano haramu ya Chadema aise dah 🐒
