KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Bado hujasema, mpaka useme nyanokoartwork yako iko chini ya kiwango sana gentleman,
kaza mkono tuliza akili, bado sana kwenye graphic design gentleman 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujasema, mpaka useme nyanokoartwork yako iko chini ya kiwango sana gentleman,
kaza mkono tuliza akili, bado sana kwenye graphic design gentleman 🐒
Siungi Mkono maandamano Ila sio kwamba naunga Mkono mauaji ya watu kiholera siungi Mkono maandamano na pia siungi Mkono mauaji ya watu siungi Mkono kutekwa watu siungi Mkono kuteswa kwa Watu siungi Mkono wale Wote wanaosema vitendo hivyo ni drama tu siungi Mkono ukiziwi wa kiongozi yoyote yule siungi MkonoNini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini?
vijana makaidi, manunda, wenye kiburi, jeuri na waliodekezwa na sasa ndio wezi mitaani, wakabaji, majambazi n.k bilashaka yoyote watakuepo na watashiriki maandamano hayo haramu na wataumizwa sana maskini dah,Hao wazazi wawili ndo wamewakilisha wazazi wote? Nani kawatuma?
Mimi pia ni mzazi, sijamtuma mtu aniseemee ya moyoni
umeongea vizuri sana mambo mazito na muhimu sana kwa mustakabali wa umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania..Siungi Mkono maandamano Ila sio kwamba naunga Mkono mauaji ya watu kiholera siungi Mkono maandamano na pia siungi Mkono mauaji ya watu siungi Mkono kutekwa watu siungi Mkono kuteswa kwa Watu siungi Mkono wale Wote wanaosema vitendo hivyo ni drama tu siungi Mkono ukiziwi wa kiongozi yoyote yule siungi Mkono
Kumbuka Mimi ni zerominus10 siungi Mkono mtu yoyote anaejifanya yeye kiziwi wakati Watu wanapaza sauti siungi Mkono Demi atamalizia
nadhani haya ya wazazi kuzuia vijana wao tena kwa uchungu sana wasithubutu kushiriki maandamano haramu sana ya Chadema ni ya maana na muhimu sana 🐒wale wanaoua na kuteka watanzania unafikiri hawakupewa mawaidha na maonyo na wazazi wao
lakini maskini ya Mungu vijana wao wengine wapewazika, wengine hawana miguu, mikono, wengine hawawezi tena kutembea viuno vimeteguliwa, wengine hata kumung'unya peremende tena,Wazazi , wazee na Viongozi wa dini wa nchini Kenya wenyewe walikuwa wakiwa-encourage watoto wao na vijana kwenda kuandama ili Serikali kufanya vile wanavyoona kufaa ili kuleta ahueni ya ugumu wa maisha na hatima ya rasilimali za Taifa kwa vizazi vya sasa na vijavyo .
walitulea vizuri sana hao wazazi wa Taifa letu...Kina Nyerere walijua kutunza za Taifa kwa uadilifu mkubwa sana.
Madini, wanyama mbughani, bandari n.k
jitahidini jamani kujiepusha kukesha kwenye ulabu wa haya mapombe chota ya huko uchochoroni vijana wetu wataangamia bure tu kwa kurubuniwa fikra na wanasiasa eti washiriki maandamano haramu ya Chadema...Mbona sisi huku hatujawaasa?
Maandamano ni halali kwa mujibu wa sheria za nchi! Maandamano si fujo na vurugu bali ni kuonyesha hasira dhidi ya wadhalimu, watekaji na wauaji wa raia wasio na hatia!kama kushiriki maandamano haramu, fujo, uharibifu na pengine maafa ndio ujasiri, basi ni vijana makaidi na wenye viburi vya kutokuskiza wazazi woa, na wengi hivi sasa ni majambazi...
vijana wa chache kama hao wapo, na ni kama wewe jinsi unavyojidhihirisha ukaidi wako kwa wazazi washauri kwa vijana 🐒
ndio maana yanaitwa maandamano haramu kwasabb ukishakua na hasira tu maana yake wewe ni muharibifu, ni hatari na inawezekani ni muuaji. nadhani hasira, uhasama na chuki miongoni mwa wagombea wa uongozi ndani ya chadema inaweza kua ndio hasa chanzo cha hayo yote uloyataja dah,Maandamano ni halali kwa mujibu wa sheria za nchi! Maandamano si fujo na vurugu bali ni kuonyesha hasira dhidi ya wadhalimu, watekaji na wauaji wa raia wasio na hatia!
Kama wewe ni kijana mpenda haki na amani, mpinga dhuluma na ufisadi karibu ushiriki katika maandamano lakini kama wewe ni chawa mlamba nyayo za wezi na majambazi kafie mbali!
Aliyekuwa DC wa Longido Bw. Marco Ng'umbi alikwisha eleza kila kitu kuwa wauaji wakuu wa raia ni CCM. Kwamba CCM wamekuwa wakiteka na kuua raia maporini na yeye mwenyewe ameshirika!ndio maana yanaitwa maandamano haramu kwasabb ukishakua na hasira tu maana yake wewe ni muharibifu, ni hatari na inawezekani ni muuaji. nadhani hasira, uhasama na chuki miongoni mwa wagombea wa uongozi ndani ya chadema inaweza kua ndio hasa chanzo cha hayo yote uloyataja dah,
Noomba Mungu uchaguzi wa chadema umalizike salama aise dah....
wazazi wameshasema, wamewashauri
vijana waliofundishwa maadili mema wasithubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema...
wakaidi, jeuri na wenye kiburi watakua fundisho kwa wengine 🐒
lakini maskini ya Mungu vijana wao wengine wapewazika, wengine hawana miguu, mikono, wengine hawawezi tena kutembea viuno vimeteguliwa, wengine hata kumung'unya peremende tena,
na mpaka sasa hivi kuna wengine bado wako mahospitalini, na usumbufu na mzigo ni kwa wazazi dah,
lakini pia hakuna nafuu, ugumu wa maisha ni ule ule dah....
dunia? HURUMA yako iko wapi duni,? dah 🐒
CCM ni genge la wahuni wavaa sutiAliyekuwa DC wa Longido Bw. Marco Ng'umbi alikwisha eleza kila kitu kuwa wauaji wakuu wa raia ni CCM. Kwamba CCM wamekuwa wakiteka na kuua raia maporini na yeye mwenyewe ameshirika!