Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

Sasa unatarajia kiwa Ngariba kisha usitegemee kurukiwa na mikojo au nya hata kidogo ?!
maskini dah!
ufukara wa fikra unawatesa sana washirikina na vijana wakaidi kwa ushauri, makatazo mawaidha ya wazazi wao dah 🐒

wazazi waheshimiwe ndrugo zangu
 
CCM ni genge la wahuni wavaa suti
ni muhimu zaidi kusikiliza mawaidha, maonyo na makatazo na kuyazingatia...

kupeana moyo kwa mihememko panaweza kuwasababushia ulemavu na ikawa mzigo mzito zaidi kwa wazazi 🐒
 
Aliyekuwa DC wa Longido Bw. Marco Ng'umbi alikwisha eleza kila kitu kuwa wauaji wakuu wa raia ni CCM. Kwamba CCM wamekuwa wakiteka na kuua raia maporini na yeye mwenyewe ameshirika!
ni muhimu sana kuwaheshimu wazazi ndrugu vijana,

ukaidi utawatokea puani vijana wengi wenye viburi na wajeuri kwa kupuuzia na kudharau mawaidha, maonyo na makatazo ya wazazi dhidi ya kushiriki maandamano haramu ya Chadema 🐒
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,

Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...

Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...

Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....

Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?

Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...

Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini? :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania..
Wanaogopa watoto wao wasiende wakaumizwa !
Kwa sababu inaonekana Maandamano hayo bado hayajakubaliwa na mamlaka au hayajapata kibali cha kufanyika !
Wazazi wanaitii mamlaka na wanatii sheria bila shuruti na si vinginevyo !
 
Kutekwa watu na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa ni sawa kwako au huoni?.
ndrugu zango,
moto hauzimwi kwa petroli..

tusijidanganye,
matatizo hukumba kila mtu matatizo hukumba kila jamii. mihemko na ghadhabu haijawahi kuwa jawabu la matatizo yeyote yale...

hatua muafaka zimechukuliwa na mamlaka zinazohusika, na zipo katika hatua fulani mpaka sasa. ustahimilivu na subra ni jambo muhimu sana kuzingatiwa na mzalendo yeyote 🐒

hata hivyo,
wazazi wameshatoa mawaidha na ushauri mujarabu sana kwa vijana kuepuka kushiriki maandamano haramu ya Chadema, hilo ndio muhimu zaidi 🐒
 
Na mzazi mwenyewe ni Tlaatlaa
wazazi waTanzania nchi nzima,
wanawapenda mno vijana wao, hata kama baadhi yao ni makaidi namna gani,...

kwasabb wamezaa kwa uchungu na kuwalea kwa tabu sana. hivyo ndio maana kwa uchungu na ukali mkubwa wanawazuia wasishiriki maandamano ya haramu ya Chadema 🐒
 
ni muhimu sana kuwaheshimu wazazi ndrugu vijana,

ukaidi utawatokea puani vijana wengi wenye viburi na wajeuri kwa kupuuzia na kudharau mawaidha, maonyo na makatazo ya wazazi dhidi ya kushiriki maandamano haramu ya Chadema 🐒
Vijana kama wewe hamna mchango wo wote kwa Taifa! Ni vema mkajifia kuliko kuendelea kutia hasira na uchungu wazazi wenu!
 
wazazi waTanzania nchi nzima,
wanawapenda mno vijana wao, hata kama baadhi yao ni makaidi namna gani,...

kwasabb wamezaa kwa uchungu na kuwalea kwa tabu sana. hivyo ndio maana kwa uchungu na ukali mkubwa wanawazuia wasishiriki maandamano ya haramu ya Chadema 🐒
Unatafunwa si bure.
 
acha kuendekeza uongo, upotoshaji, ubishi na ubinafsi gentleman,

vitakutokea puani ukiwa pekeyako na majuto mengi huku mzigo wa kukuuguza na kukulea kwa kukaidi wako wa kupuuza wazazi.. chadema hawatakujua wala hata kukujali..

na kwajinsi walivyo wanaweza hata kusingizia kwamba majeraha ulionayo aidha umeanguka na bodaboa au kipigo ulichokipata baada ya kua umefumaniwa na mke wa mtu, kumbe maskini ya Mungu ulikaidi mawaidha ya wazazi ukajichanganya kwenye maandamano haramu ya Chadema aise dah 🐒
Kwani unaandamana kwa sababu ya Chadema we ndio fala wa kiwango Cha nuclear.
Sala zangu mwanafamilia yenu atekwe ndio akili Ikea sawa.

Kumbuka wapo waliotekwa sio wanachama wa chama chochote Cha siasa. Next naomba awe mwanafamilia yenu
 
Sikia we mshamba, ikiwa we hutaki kuandamana zuia watoto wako, acha wengine waandamane, fala wewe.
 
mbona unanikasirikia mimi gentleman na ni wazazi wamekataza watoto wao wasishiriki maandamano haramu ya Chadema?🤣

wanaolalamikia suala hilo ni wanachadema ambao ndio chama kinachofanya Uchaguzi sasa hivi. sasa kunaweza kua hata na uhasama, ghiliba na chuki ndani dhidi ya kugombania nafasi mbalimbali...

hata hivyo haya maandamano hayo haramu ni ya Chadema kwa manufaa ya kisiasa ya Chadema yenyewe na si vinginevyo 🐒
 
Sikia we mshamba, ikiwa we hutaki kuandamana zuia watoto wako, acha wengine waandamane, fala wewe.
gentleman,
punguza mihemko tu unapotoa maoni na mapendekezo yako dhidi ya maandamano haramu yaliyoandaliwa na chadema, haina haja ya ghadhabu kwa mwingine, tuwe wangwana na wastahimilivu kidogo katika kupokea maoni tofauti na ya wengine 🐒
 
Maandamano hayakuhusu ikiwa huendi.
 
kama wazazi kuwaonya vijana wao kutoshiriki maandamano haramu ya Chadema ni utekaji,

basi vijana wakaidi, wenye kiburi, jeuri na ujuaji wapuuze onyo la wazazi wao...

asie skia la mkuu huvunjika guu🐒
Labda wazazi ambao wao wanalindwa wasitekwe ndugu zao na hawana wasiwasi na wauaji.
 
Back
Top Bottom