Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

We na Lucas akili moja. Sasa we mzazi sawa umenipa chakula umenisomesha. Je ni sawa nitekwe niuwawe?
acha uongo na upotoshaji gentleman,

umetekwa lini na unaonekana online tangu asubuh humu JF?

wew ndio wale matapeli wa kujiteka halafu mnpiga simu mtumiwe mipesa ee, alaa?
tafadhali acha mara moja hiyo utapeli tafadhali 🐒
 
hivi Mama Ima huvu Ima ni mwanao kweli na huyo mbaba wa watu au ulimbambikia mtu wa watu kwasababu ya njaa na maisha tu? ila wewe mama Ima umeshindikana?:pedroP:
Hao wazazi ni feki wanashindwa kuwaonya wasiojulikana wanao teka nakupoteza watu? Ama kudhurumu haki ya kuishi, wazazi wa matukio, (wazazi wa kyenye mikamera)
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,

Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...

Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...

Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....

Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?

Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...

Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini? :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania..
Nilivyosoma title nikajua ni Lucas Mwashambwa
 
Sema wazaz wako usitusemee sisi
usidharau, usikatae wazazi au walezi hata kama ni wazee sana au walemavu,

wazazi ni wazazi tu, wazazi ni neema na Baraka za Mungu, ukaidi na kiburi visije kukuponza acha dharau kwa wazazi, vitakutokea puani baada ya maandamano kama huyu tamaa za wachumba wa wenzie kilichomkuta🐒
 
Attachments

  • IMG-20240915-WA0014.jpg
    IMG-20240915-WA0014.jpg
    70.3 KB · Views: 1
usidharau, usikatae wazazi au walezi hata kama ni wazee sana au walemavu,

wazazi ni wazazi tu, wazazi ni neema na Baraka za Mungu, ukaidi na kiburi visije kukuponza acha dharau kwa wazazi, vitakutokea puani baada ya maandamano kama huyu tamaa za wachumba wa wenzie kilichomkuta🐒
Ccm wamefanya yao lengo kuwatisha wengine.
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,

Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...

Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...

Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....

Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?

Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...

Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania NILIDHANI HAO WAZA I WANAWAONYA WATEKAJI WANAOWEZA KUWATEKA WATOTO WAO NA KUWAUA
 
Back
Top Bottom