Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

gentleman,
punguza mihemko tu unapotoa maoni na mapendekezo yako dhidi ya maandamano haramu yaliyoandaliwa na chadema, haina haja ya ghadhabu kwa mwingine, tuwe wangwana na wastahimilivu kidogo katika kupokea maoni tofauti na ya wengine šŸ’
Ikiwa unapinga maandamano basi jua ya kwamba unakubaliana na utekaji na mauji yanayoendelea nchini.
 
Maandamano ya Amani ni rukhsa, hata wakatoliki leo wameandamana kwa Amani sana Taifa...

Ila maandamano ya haramu yenye chuki, fujo, uharibifu na maafa kama hayo ya Chadema ni batili na ni laana šŸ’
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,

Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...

Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...

Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....

Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?

Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...

Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini? :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania..
Kwa kweli kama Abdul kaamua KUANDAMANA #September 23 TO REMEMBER yeye mzazi mwenzako kutishia kulaani kwa kuvua nguo kwenye madhabahu hiyo ya devil kingdom ni ujinga labda mshauri mkazae mwingine hata kwa kupandikiza pale MOI.Kwani shida ni uzazi?
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,

Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...

Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...

Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....

Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?

Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...

Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini? :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania..
Maandamano yatakuja ila hayatakuwa ya CHADEMA.Na siku hiyo Akili za watawala pamoja na polisi wao zitakaa sawa.
 
halafu mipumbavu zaidi inajikusanyana kwenye maandamano haramu yaliyopigwa marufuku, ili ikavunjike viuno, taya, miguu na mikono kwa kiburi, jeuri , ukaidi na Mihemko isiyo na maana yoyote, aise dah...

aise tatizio la afaya ya akili linasambaa kwa kasi sana saivv dah šŸ’
SAMIA MUST GO, SEPTEMBER 23 TO REMEMBER YES, SHE MUST GO!
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,

Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa mkali akikaripia vijana hao kuwaeleza na wenzao kupitia magroup ya mitandao mbalimbali ya kijamii, kutothubutu kushiriki maandamano hayo haramu yaliyopigwa marufuku na polisi Tanzania...

Mimi ndie nilie kuzaa. Mimi ndie ninaekupa chakula, nakupa malazi na hayo mavazi unayoyavaa, CHADEMA wamewahi kukupa chakula au chimba cha kulala? Alifoka mzazi huyo ambae pia ni mzee wa kanisa...

Mimi ndie nilie lipa ada za shule nikakusomesha kwa tabu sana, na bado sijashindwa kukulea mpaka hata uzeekee hapa nyumbani lakini uko salama....

Hao CHADEMA walikuwa wapi wakati mimi nahangaika kuyafanya haya yote kwaajili yako, eti leo ndio wakuone wa maana na kutaka ukaandamane kwa manufaa yao na familia zao? Kama wanataka wawasaidie si wawape ajira basi?

Si wakaandamane wao na familia zao? Kwanini watumie watoto wetu kuandamana na kuleta fujo na uharibifu? Mzee huyo aliendelea kuwakanya na kuwaasa vijana hao...

Nini maoni yako kwenye hili la wazazi kuwapenda na kuwapigania watoto wao dhidi ya kurubuniwa na vyama vya siasa na wana siasa waliopoteza uelekeo nchini? :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania..
Sema wazaz wako usitusemee sisi
 
Maandamano ya Amani ni rukhsa, hata wakatoliki leo wameandamana kwa Amani sana Taifa...

Ila maandamano ya haramu yenye chuki, fujo, uharibifu na maafa kama hayo ya Chadema ni batili na ni laana šŸ’
Furugu huletwa na ccm, mfano uchaguzi wa Sombetini Arusha tulishuhudia vijana wa ccm wakikata watu na mapanga yaliyokuwa ndani ya gari aina ya Land Cruiser mkonge akiwemo Merry Chatanda kipindi hicho akiwa katibu wa ccm mkoa wa Arusha na Polisi wakishuhudia pasipo kuchukua hatua.
 
Furugu huletwa na ccm, uchaguzi wa Sombetini Arusha tulishuhudia mapanga yakiwa ndani ya gari aina ya Land Cruiser akiwemo Merry Chatanda kipindi hicho akiwa katibu wa ccm mkoa na Polisi wakishuhudia pasipo kuchukua hatua.
nadhani chini ya huyu mama Dr Samia Suluhu Hassan hiyo itabaki historia, hapata tokea vurugu za uchaguzi tena TzšŸ’
 
Kutekwa Soka na wengine pamoja na kuuliwa mzee Ally Kibao na serikali inajua na imekaa kimya pasipo kuchukua hatua kana kwamba vyombo vya ulinzi na usalama hakuna ndio uvunjivu wenyewe wa amani .
 
nadhani uchaguzi wa ndani wa chadema ukiisha hayo yote pia yatakua yameisha..

nadhani inafahamika vita ya uongozi ndani ya chadema ilivyo moto na hatari miaka yote kwenye chaguzi zote za ndani..

nawaombea uchaguzi wa nafasi za juu hatari sana umalizike salama na kwa amani šŸ’
 
SAMIA MUST GO, SEPTEMBER 23 TO REMEMBER YES, SHE MUST GO!
pamoja na kukaidi mawaidha, makatazo na ushauri wa wazizi,

bila shaka uchungu wa mwana aujuae mzazi huko mahabusu ukiwa huwezi hata kutembea watakuja kuwapa pole kwa kukubali kurubuniwa kifikra na wanasiasa na kukubali kushiriki maandamano haramu ya Chadema šŸ’
 
CHADEMA hawana shida yakuandama shida ni hao watakaouwawa kwenye maandamano ndio shida . Vijana angalieni maisha yenu
 
umeongea kwa uwazi na uchungu jambo la maana, zito na muhimu sana la kitaifa dah!

akili kumkichwa šŸ‘Š
 
Maisha kwanza ujinga hakuna watu wanakufa ovyoo watoto, vijana , watu wazima wewe Mungu anakupa uhai unaupeleka kwenye maandamano akili zenu msinywe kahawa tumieni
 
sasa mzazi wako amekukatia tamaa kwa sababu kiburi, udokozi, jeuri, ukaidi wako na uvivu wako,

na wamekukanya na kukuonya sana huachi tabia hizo na husikii hiyo ni juu yako sasa :pulpTRAVOLTA:
We na Lucas akili moja. Sasa we mzazi sawa umenipa chakula umenisomesha. Je ni sawa nitekwe niuwawe?
 
Back
Top Bottom