Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

Ni maandamano ya kupinga vijana wa ccm (chinjachinja) kushindwa hoja na kuteka watu na kuwaua.
Ndio,maandamano yaliyowavuta hata uvccm kupinga chinjachinja na malipo ya kumwaga damu yakupangwa na walioharibu uchumi,ukosefu wa ajira . SAMIA MUST GO, SEPTEMBER 23 TO REMEMBER.
 
Hata walio ua wenzao ni wazazi majumbani kwao. Usituchoshe. Sio kila mzazi n mwema kwa wengine.
 
Ndio,maandamano yaliyowavuta hata uvccm kupinga chinjachinja na malipo ya kumwaga damu yakupangwa na walioharibu uchumi,ukosefu wa ajira . SAMIA MUST GO, SEPTEMBER 23 TO REMEMBER.
Tuunge mkono maandamano kwa pamoja bila kujali itikadi zetu tupinge mauaji na utekaji unaoendelea nchini mwetu.
 
 

Attachments

  • IMG_1974.png
    5.1 MB · Views: 4
Kumbe wenzetu Kenya kuna chombo Mamlaka huru ya kusimamia utendaji kazi wa jeshi la polisi ?

JMT tunakwama wapi ?

Kumbe wenzetu wana regulatory authority ya ku regulate jinsi ya utendaji kazi wa jeshi la polisi ktk misingi ya haki za binadamu?!

Kwa Mtini tujifunze.
 
Haki Jinai hamkuona kuna Tunahitaji Mamlaka huru ya kusimamia utendaji kazi wa jeshi la polisi nchini ?
Wenzetu Kenya wametuacha kwenye mengi aisee ?!
Hiki kinahitanika haraka nchini.
Ile awareness tu kiwa kikiwepo kitawafanya askari wafanye kazi ktk kuzingatia misingi ya haki za binadamu.

Upinzani na wapenda haki ichukueni hii kama agenda jamani maana tumechelewa kuwa nayo.
 
Acha ujinga wewe wamewakataza saa ngapi na wakiwa wapi??
 
Acha ujinga wewe wamewakataza saa ngapi na wakiwa wapi??
gentleman,
acha ukaidi na epuka makasiriko, yatakutokea puani...

zingatia mawaidha ya wazazi acha kiburi na jeuri πŸ’
 
Wewe umetembea Tanzania nzima ukaona wazazi wakiwakataza vijana wao?Acha upotoshaji mkuu, ni hivii,hata kama upinzani hawafai nadhani kwa mahali CCM ilipowafikisha Watanzania,ni bora wajaribu upinzani.Tanzania haijawahi kuwa kwenye wakati tete kama chini ya Samia.It is unprecedented.
 
kuna mambo kamwe hayajaribiwi ndugu mwanainchi, hilo ni muhimu zaid kuelewa..

hata hivyo,
mambo mengi humu tunaeleza baada ya tafiti. kama kijana kaamua kukaidia kwa kiburi na jeuri yake mawaidha hayo muhimu sana ya wazazi wake kwa afya na uhai wake mwenyewe basi aagane na nyonga...

suala la umoja, amani na utulivu wa wananchi, ni jambo la Kitaifa sio kwajili ya chama au kikundi Fulani cha watu πŸ’
 
Mkuu vipi wewee,hivi kwa akili zako unadhani Tanzania kuna amani,usijidanganye mkuu,Tanzania hakuna amani kabisa.Amani inatoka moyoni.Sasa hivi kila Mtanzania anawaza who is next kutekwa,kuna amani kweli hapo.Acheni kuwadanganya Watanzania.Amani itakuwepo tu kama Watanzania watatawaliwa na kuongozwa kwa haki,bila haki ni swala la muda tu,majambia yatatembea.
 
ndugu mwanainchi,
ukikosa amani wewe binafsi, na pengine kwenye familia au jamii yako, haina maana Tanzania hakuna Amani. tafuta namna binafsi ya kupata amani yako sio kusingizia wengine...

Tanzania ni nchi ya umoja, amani na utulivu, na amani hiyo wazalendo tutailinda kwa nguvu zote na gharama yoyote ilie dhidi ya wanaojatibu kuitikisi kwa manufaa yao binafsi..

katika hotuba ya nzito na muhimu sana kitaifa na kimataifa, Rais na kipenzi cha waTanzania Dr.samia Suluhu Hassan aimezungumza vyema kwa kirefu na kwa uwazi sana kuhusu hilo..

hayo ya kutekana na kuuana.
kama Taifa inafaa tuungane kuwaombea ndugu zetu hao wa chama chenye uchaguzi unaoendelea, waache chuki, uhasama na kuuana, wamalize salama uchaguzi wa nafasi za Juu uliobaki kwa salama na amani πŸ’
 
Kikao kimekaa wapi sisi wazazi tusijue
 
Kwa mambo yanayotokea Tanzania sasa,you can't tell me there is a peaceful person,huyo atakuwa Zombie.
 
Wazazi tafadhari tuheshimiane, tusishikiane akili. Wazazi kama Hawa huwa ndiyo chanzo hata cha kuharibu ndoa za watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…