Maisha yamebadilika kwa kiasi kikubwa sana hata kama wazazi watapanga mda lakini bado tatizo alijatatuliwa wazazi watapanga mda lakini watoto watakuwa wamechoka au wameshalala.
vuta picha yule mtoto anaesoma English medium unakutana nae road saa 11 anasubiri gari jiulize sasa anaamshwa saa ngapi na anajiandaa saa ngapi .
na kurudi yake kutoka shule ni saa 11 jioni sasa jiulize tena anapata mda gani wa kusoma na kupumzika manaa mitihani inamsubiri
uo mda wa kumskiliza mtoto unaupata wapi na huyo mtoto mda wa kukuelezea wewe matatizo yake anaupata wapi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.