Wazazi somesheni watoto wenu elimu ya Diploma. Nikipita kwenye AJIRA PORTAL ya serikali wanatangaza sana nafasi za Diploma.
Hii naiona kama nzuri kwa serikali kwa sbb ndio wanaopiga kazi sana kuliko wavaa suti na tai wa diploma. Serikali ikaze hapo hapo safi sana. Kuajiri wengi wa degree ambao wengi wao hawana impact sana kwenye uzalishaji kama TAIFA tukiwa na vijana wengi wa diploma tutapiga hatua