Wazazi tuliogharamika kununua king'amuzi cha Azam tujuane hapa!

Wazazi tuliogharamika kununua king'amuzi cha Azam tujuane hapa!

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
17,518
Reaction score
20,492
Hii shana nimeshindwa kuielewa,

Wizara inaanzisha utaratibu wa tuition kwa watoto kupitia runinga halafu badala ya huduma hiyo itolewe na Television ya Taifa wanaenda kugawa vipindi kwa Azam maanake nini?

Au mimi sielewi jamani? Nilitegemea kipindi hiki cha hili janga Television ya Taifa ndiyo ingetoa mchango mkubwa kabisa kwa raia wake! Sasa tumelazimika kwenda kununua king'amuzi kutoka kwa wafanyabiashara, au hii nayo imegeuzwa fursa ya watu kupiga 10% nini?

Hakika hii vita imekosa amiri Jeshi mkuu!!
 
Wakati mwingine tuache lawama!
Madarasa yako mengi, Fomu one hadi six!
TBC haiwezi kurusha vyote!

Itarusha vipindi vya form four vingine vitarushwa kwingine!
Ikumbukwe kwamba!

Sheria na kanuni za TCRA zinamlazimisha mmiliki Wa Chanel kurusha matangazo atakayo amriliwa na serikali bure!

Kwahiyo pamoja na TBC, Chanel zingine za kitaifa watarusha tu! Siyo lazima I we AZAM
 
Hii shana nimeshindwa kuielewa, wizara inaanzisha utaratibu wa tuition kwa watoto kupitia runinga halafu badala ya huduma hiyo itolewe na Television ya Taifa wanaenda kugawa vipindi kwa Azam maanake nini?

Au mimi sielewi jamani? Nilitegemea kipindi hiki cha hili janga Television ya Taifa ndiyo ingetoa mchango mkubwa kabisa kwa raia wake! Sasa tumelazimika kwenda kununua king'amuzi kutoka kwa wafanyabiashara, au hii nayo imegeuzwa fursa ya watu kupiga 10% nini? Hakika hii vita imekosa amiri Jeshi mkuu!!
biashara ya mtu hiyo mkuu, amua kusuka ama kunyoa ni wewe tu[emoji3]
 
Wakati mwingine tuache lawama!
Madarasa yako mengi, Fomu one hadi six!
TBC haiwezi kurusha vyote!
Itarusha vipindi vya form four vingine vitarushwa kwingine!
Ikumbukwe kwamba!
Sheria na kanuni za TCRA zinamlazimisha mmiliki Wa Chanel kurusha matangazo atakayo amriliwa na serikali bure!
Kwahiyo pamoja na TBC, Chanel zingine za kitaifa watarusha tu! Siyo lazima I we AZAM
hujamuelewa mleta mada
 
Sijamiliki king'amuzi cha azam, japo nilikuwa nakipania sana nikinunue!
Nakiona hatuendani nataka DSTV.
 
Umeliona tangazo la TET lakini au unajibujibu tu? TBC pale haipo!
Wakati mwingine tuache lawama!
Madarasa yako mengi, Fomu one hadi six!
TBC haiwezi kurusha vyote!

Itarusha vipindi vya form four vingine vitarushwa kwingine!
Ikumbukwe kwamba!

Sheria na kanuni za TCRA zinamlazimisha mmiliki Wa Chanel kurusha matangazo atakayo amriliwa na serikali bure!

Kwahiyo pamoja na TBC, Chanel zingine za kitaifa watarusha tu! Siyo lazima I we AZAM
 
Hii shana nimeshindwa kuielewa,

Wizara inaanzisha utaratibu wa tuition kwa watoto kupitia runinga halafu badala ya huduma hiyo itolewe na Television ya Taifa wanaenda kugawa vipindi kwa Azam maanake nini?

Au mimi sielewi jamani? Nilitegemea kipindi hiki cha hili janga Television ya Taifa ndiyo ingetoa mchango mkubwa kabisa kwa raia wake! Sasa tumelazimika kwenda kununua king'amuzi kutoka kwa wafanyabiashara, au hii nayo imegeuzwa fursa ya watu kupiga 10% nini?

Hakika hii vita imekosa amiri Jeshi mkuu!!
TBC ni maalumu kwa kuonesha safari ya dodoma na miradi ya awamu ya tano, hayo mengine hayana nafasi
 
Wakati mwingine tuache lawama!
Madarasa yako mengi, Fomu one hadi six!
TBC haiwezi kurusha vyote!

Itarusha vipindi vya form four vingine vitarushwa kwingine!
Ikumbukwe kwamba!

Sheria na kanuni za TCRA zinamlazimisha mmiliki Wa Chanel kurusha matangazo atakayo amriliwa na serikali bure!

Kwahiyo pamoja na TBC, Chanel zingine za kitaifa watarusha tu! Siyo lazima I we AZAM
Kwani wakiamua kulusha vipindi vyote hata kwa masaa 24 kunatatizo gani?hii ni TV ya umma.
 
Sisi watanzania n wajinga Sana na no wagumu kuelewa na Sheria zipo wapo.

Hakuna mtaala wa elimu unaruhusu elimu binafsi ya kujitegemea kimtandao isipokuwa kwenye level ya University.

Hvyo kuanzia primary, secondary, mpaka olevel Kama wanapata mafunzo hayo n mazoezi tuu nasio mitaala ya kufanya mwanao avuke grade la elimu.

Jambo jema n kumjenga mwanao afanye kazi za nyumbani kwa kutosha ili awe na adabu nzuri kipindi wewe upo mbali nae na uumpe nafasi ya kureview masomo yake kipindi haendi shuleni.

Ila asome asisome nyumbani darasa atabaki nalo n like lile mpaka wizara ya elimu itakaporudi na kusema shule zimefunguliwa.

Hzo pesa mnazowatafutia watoto wenu walimu wa kuwafundisha n Bora muache muwapatie watu wenye uhitaji wa kula nasio walimu wa tution
 
Watoto wanaoishi vijijini hawana umeme wala TV wao wananufaikaje na hivyo vipindi hata kama ni TBC ( TV nisiyoipenda maisha yangu yote)

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, sio tu wanaoishi vijijini, hata mjini asilimia kubwa ya wanafunzi ni kutoka shule za kata na wanaoishi nyumba za kupanga umeme wa kuchangia.
Hapo fikiria kuna nyuma nyingine umeme wanawasha usiku tu, sasa hapo mwanafunzi hataweza kufuatilia vipindi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Af kipindi pendwa kile tunatekeleza kitangaziwe wapi?
 
Back
Top Bottom