biashara ya mtu hiyo mkuu, amua kusuka ama kunyoa ni wewe tu[emoji3]Hii shana nimeshindwa kuielewa, wizara inaanzisha utaratibu wa tuition kwa watoto kupitia runinga halafu badala ya huduma hiyo itolewe na Television ya Taifa wanaenda kugawa vipindi kwa Azam maanake nini?
Au mimi sielewi jamani? Nilitegemea kipindi hiki cha hili janga Television ya Taifa ndiyo ingetoa mchango mkubwa kabisa kwa raia wake! Sasa tumelazimika kwenda kununua king'amuzi kutoka kwa wafanyabiashara, au hii nayo imegeuzwa fursa ya watu kupiga 10% nini? Hakika hii vita imekosa amiri Jeshi mkuu!!
hujamuelewa mleta madaWakati mwingine tuache lawama!
Madarasa yako mengi, Fomu one hadi six!
TBC haiwezi kurusha vyote!
Itarusha vipindi vya form four vingine vitarushwa kwingine!
Ikumbukwe kwamba!
Sheria na kanuni za TCRA zinamlazimisha mmiliki Wa Chanel kurusha matangazo atakayo amriliwa na serikali bure!
Kwahiyo pamoja na TBC, Chanel zingine za kitaifa watarusha tu! Siyo lazima I we AZAM
Wakati mwingine tuache lawama!

TBC ni maalumu kwa kuonesha safari ya dodoma na miradi ya awamu ya tano, hayo mengine hayana nafasiHii shana nimeshindwa kuielewa,
Wizara inaanzisha utaratibu wa tuition kwa watoto kupitia runinga halafu badala ya huduma hiyo itolewe na Television ya Taifa wanaenda kugawa vipindi kwa Azam maanake nini?
Au mimi sielewi jamani? Nilitegemea kipindi hiki cha hili janga Television ya Taifa ndiyo ingetoa mchango mkubwa kabisa kwa raia wake! Sasa tumelazimika kwenda kununua king'amuzi kutoka kwa wafanyabiashara, au hii nayo imegeuzwa fursa ya watu kupiga 10% nini?
Hakika hii vita imekosa amiri Jeshi mkuu!!
Kwani wakiamua kulusha vipindi vyote hata kwa masaa 24 kunatatizo gani?hii ni TV ya umma.Wakati mwingine tuache lawama!
Madarasa yako mengi, Fomu one hadi six!
TBC haiwezi kurusha vyote!
Itarusha vipindi vya form four vingine vitarushwa kwingine!
Ikumbukwe kwamba!
Sheria na kanuni za TCRA zinamlazimisha mmiliki Wa Chanel kurusha matangazo atakayo amriliwa na serikali bure!
Kwahiyo pamoja na TBC, Chanel zingine za kitaifa watarusha tu! Siyo lazima I we AZAM
Hahah Fun Fact...vipindi na wazo ni vya azam Tv.
TBC ni kwa ajili ya cherekochereko.
Sie ndio watanzania siku zote huwa tunaiponda TBC ila leo vipindi vinaendeshwa kwenye chanel mnazozipenda mnaanza kulalamika
Aisee, sio tu wanaoishi vijijini, hata mjini asilimia kubwa ya wanafunzi ni kutoka shule za kata na wanaoishi nyumba za kupanga umeme wa kuchangia.Watoto wanaoishi vijijini hawana umeme wala TV wao wananufaikaje na hivyo vipindi hata kama ni TBC ( TV nisiyoipenda maisha yangu yote)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo, watalusha na kulusha na kulusha na kuluuuuuusha weeeeeeKwani wakiamua kulusha vipindi vyote hata kwa masaa 24 kunatatizo gani?hii ni TV ya umma.