A
Kama mahindi yameisha yaliyoletwa na serekali wazazi mmefanya nini kuhahakikisha yanapatikana watoto wenu wale?Kuna kero inawakumba wazazi wenye katika shule ya sekondari Ipala. Mwaka jana serikali ilitoa mahindi kwa ajili ya chakula shuleni na mwanafunzi ikalazimu kwenda na mia sita kila siku kwa ajili ya mboga.
Mahindi yameisha wanafunzi wametangaziwa kwenda na 1400/= kila siku kwa ajili ya chakula ikidaiwa ni kununua mchele pamoja na mboga na mwanafunzi alipoenda na pesa hiyo huchapwa viboko.
Je hii ni sawa kumtoza mwanafunzi kila siku 1400/= hela sawa na sahani ya chakula cha kwa mama ntilie na asipokuwa nayo anachapwa.
Hii hali inawaumiza sana wazazi kutoa pesa kila siku ukilinganisha na hali ya maisha ya kijijini gharama hii ni kubwa tunaomba serikali ione namna ya kufanya kwenye hili jambo
Mwanao akishinda nyumbani anakula shingapi kwasiku?? Kweli ujinga ni mzigo. Bahati yako tunatumia fake ID humu. Hii aibu ilitakiwa ikutafune mwaka mzima.Kuna kero inawakumba wazazi wenye katika shule ya sekondari Ipala. Mwaka jana serikali ilitoa mahindi kwa ajili ya chakula shuleni na mwanafunzi ikalazimu kwenda na mia sita kila siku kwa ajili ya mboga.
Mahindi yameisha wanafunzi wametangaziwa kwenda na 1400/= kila siku kwa ajili ya chakula ikidaiwa ni kununua mchele pamoja na mboga na mwanafunzi alipoenda na pesa hiyo huchapwa viboko.
Je hii ni sawa kumtoza mwanafunzi kila siku 1400/= hela sawa na sahani ya chakula cha kwa mama ntilie na asipokuwa nayo anachapwa.
Hii hali inawaumiza sana wazazi kutoa pesa kila siku ukilinganisha na hali ya maisha ya kijijini gharama hii ni kubwa tunaomba serikali ione namna ya kufanya kwenye hili jambo
Msimlaumu sana huenda ana watoto wengi hata watano kila siku analipia 1400 sio pesa ndogo kama ana haki ngumu ya uchumi jamani😕Mwanao akishinda nyumbani anakula shingapi kwasiku?? Kweli ujinga ni mzigo. Bahati yako tunatumia fake ID humu. Hii aibu ilitakiwa ikutafune mwaka mzima.
na yupo serious kabisa, hata hoja ya watapate mahindi hajaeleza au kutoa muongozo wowote. binafsi sijaelewa analaumu kitu ganiKama mahindi yameisha yaliyoletwa na serekali wazazi mmefanya nini kuhahakikisha yanapatikana watoto wenu wale?
Hiyo 1400 itakuwa imepitishwa na kikao cha wazazi ila wewe huudhurii unakuja JF kulalamika. Au unataka mtoto ale chakula cha Nani?
wapi katoa suggestion yeyote wafanye nini kufidia upatikanaji wa mahindi?, au hataki wale?Msimlaumu sana huenda ana watoto wengi hata watano kila siku analipia 1400 sio pesa ndogo kama ana haki ngumu ya uchumi jamani😕
Nimecheka kwa sauti aiseee. Nani alomwambia arundike vifaranga mpaka visitoshe kwenye mbawa? Anaacha kutafuta hela analeta ujinga wake huku.. Hiyo simu inatakiwa aifiche saana wanae wasije kushika wakaona baba yao na mandevu yote alonao kaanzisha uzi JF analalamikia 1400....Msimlaumu sana huenda ana watoto wengi hata watano kila siku analipia 1400 sio pesa ndogo kama ana haki ngumu ya uchumi jamani😕
unaongelea kijijini wakati hata hapa dar kila siku wazazi wanagombana na walimu kuhusu sh 100 za uji ,Wakubwa, tunazidiana hali za kiuchumi acheni kumlaumu mwenzenu, na ameshaelezea hali yake ya kiuchumi ni ngumu na yuko kijijini! Kwani nyie wote mmesoma shule za kuwalisha mchana? Mbona wengi tu mmesoma shule za kula mpaka ukirudi jioni nyumbani?
Msaidieni kutatua hiyo changamoto kama inawezekana watoto wasiopewa pesa ya kulipia hayo mahindi mara waende na mchele wasiwe wanakula basi, kuliko kulazimishwa kwa kuadhibiwa wakati kuna siku mzazi anaamka hana hata mia! Uchumi unazidiana sana tatizo humu kila mtu fogo🙌🏾
Jamani usicheke maisha hayana formula, huko kijijini 1400 ni pesa ya kula familia sasa akiwa anapewa yeye kila siku itakuwaje? Tunazidiana uwezo unajua?Nimecheka kwa sauti aiseee. Nani alomwambia arundike vifaranga mpaka visitoshe kwenye mbawa? Anaacha kutafuta hela analeta ujinga wake huku.. Hiyo simu inatakiwa aifiche saana wanae wasije kushika wakaona baba yao na mandevu yote alonao kaanzisha uzi JF analalamikia 1400....
Usimtetee, huyo ni mwehu. Hela alonunulia INIFINIKISI si angepela shule alipie hata miez mitatu ya kula mwanae, hela ya bando kila siku angekua anapeleka huko kuliko kutuletea pumba zake hapa.. Wazazi wengine jau sanaWakubwa, tunazidiana hali za kiuchumi acheni kumlaumu mwenzenu, na ameshaelezea hali yake ya kiuchumi ni ngumu na yuko kijijini! Kwani nyie wote mmesoma shule za kuwalisha mchana? Mbona wengi tu mmesoma shule za kula mpaka ukirudi jioni nyumbani?
Msaidieni kutatua hiyo changamoto kama inawezekana watoto wasiopewa pesa ya kulipia hayo mahindi mara waende na mchele wasiwe wanakula basi, kuliko kulazimishwa kwa kuadhibiwa wakati kuna siku mzazi anaamka hana hata mia! Uchumi unazidiana sana tatizo humu kila mtu fogo🙌🏾
Hapo umenena! Sasa solution inayohitajika katika hizi shule inafatiliwa na nani? Mbona sisi zamani hatukuwa na haya mambo jamani!unaongelea kijijini wakati hata hapa dar kila siku wazazi wanagombana na walimu kuhusu sh 100 za uji ,
nani anayelaumiwa hasa? serikali inataka wanafunzi wale shuleni, na haijaanisha nani atafadhili hizo fedha.
suala hapo ni kujadili ili kushusha gharama kwa kutafuta suluhisho la kupata hivyo vyakula.
Na hata asingekuwa na hiyo infinix huenda ungesema si auze nguo zake mwanae ale! Vipi kama kaazima kwa mtu au mtu kamsaidia kuweka kero huku kwetu msaada upatikane?Usimtetee, huyo ni mwehu. Hela alonunulia INIFINIKISI si angepela shule alipie hata miez mitatu ya kula mwanae, hela ya bando kila siku angekua anapeleka huko kuliko kutuletea pumba zake hapa.. Wazazi wengine jau sana
Azar watoto Kwa nyege zake na aje kutia huruma mitandaoniWakubwa, tunazidiana hali za kiuchumi acheni kumlaumu mwenzenu, na ameshaelezea hali yake ya kiuchumi ni ngumu na yuko kijijini! Kwani nyie wote mmesoma shule za kuwalisha mchana? Mbona wengi tu mmesoma shule za kula mpaka ukirudi jioni nyumbani?
Msaidieni kutatua hiyo changamoto kama inawezekana watoto wasiopewa pesa ya kulipia hayo mahindi mara waende na mchele wasiwe wanakula basi, kuliko kulazimishwa kwa kuadhibiwa wakati kuna siku mzazi anaamka hana hata mia! Uchumi unazidiana sana tatizo humu kila mtu fogo🙌🏾
Serikali😅Unataka mwanao alishwe na nani?