ngoma ngumu sanaDahh! Inasikitisha sana, sijui wanakula matunda gani hayo! ukiangalia kwenye screen unaona kama movie jamani, sijui nini kifanyike haya mambo yapungue!
Nimeona mtu kasema they have more than enough food to feed these people and they are increasing the budget to 17 millions..
Wakati ana....to...mba mkewe hakujua kuwa atapata watoto wengi??Msimlaumu sana huenda ana watoto wengi hata watano kila siku analipia 1400 sio pesa ndogo kama ana haki ngumu ya uchumi jamani😕
Swadakta,jamani elimu ni gharama mtu katozwa kidogo tu,kaanza kulalamika.Kila siku? Sidhani.
HATA HIVYO NAKUSHAURI ACHA KULIPA ILI TOTO LAKO LISHINDE NJAA
Kwani alilazimushwa kuzaa? Kiuno akate yeye halafu huduma aanze kulalamika sasa watoto wake mwenyewe anataka watunzwe na naniMsimlaumu sana huenda ana watoto wengi hata watano kila siku analipia 1400 sio pesa ndogo kama ana haki ngumu ya uchumi jamani😕
Dahh namuombea msamaha mkuu😀Kwani alilazimushwa kuzaa? Kiuno akate yeye halafu huduma aanze kulalamika sasa watoto wake mwenyewe anataka watunzwe na nani