Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Mi ndio maana sitaki watoto uwii🫢Azar watoto Kwa nyege zake na aje kutia huruma mitandaoni
Kwanini hawezi kulisha mwanae mlo wa siku
Mi ndio maana sitaki watoto uwii🫢Azar watoto Kwa nyege zake na aje kutia huruma mitandaoni
Kwanini hawezi kulisha mwanae mlo wa siku
Mleta mada mwenyewe hajui nini kifanyike, hajaja kutafuta solutions, kaja kulalamikia kitendo cha kutoa BUKU MIA NNE (1400) kila siku kwa ajili ya mwanae,.. Very sadunaongelea kijijini wakati hata hapa dar kila siku wazazi wanagombana na walimu kuhusu sh 100 za uji ,
nani anayelaumiwa hasa? serikali inataka wanafunzi wale shuleni, na haijaanisha nani atafadhili hizo fedha.
suala hapo ni kujadili ili kushusha gharama kwa kutafuta suluhisho la kupata hivyo vyakula.
Kama huwezi kutunza watoto bana nyege au tumia condomsMi ndio maana sitaki watoto uwii🫢
Utatuzi ni aende kwa uongozi wa shule atoe kero yake kuwa 1400 ni nyingi yeye hana mtoto wake asisumbuliwe,Wakubwa, tunazidiana hali za kiuchumi acheni kumlaumu mwenzenu, na ameshaelezea hali yake ya kiuchumi ni ngumu na yuko kijijini! Kwani nyie wote mmesoma shule za kuwalisha mchana? Mbona wengi tu mmesoma shule za kula mpaka ukirudi jioni nyumbani?
Msaidieni kutatua hiyo changamoto kama inawezekana watoto wasiopewa pesa ya kulipia hayo mahindi mara waende na mchele wasiwe wanakula basi, kuliko kulazimishwa kwa kuadhibiwa wakati kuna siku mzazi anaamka hana hata mia! Uchumi unazidiana sana tatizo humu kila mtu fogo🙌🏾
Usimtetee. Huyo sio mzima, muulize anaunga bando la shingapi wiki nzima kwaanili ya Mbz tu. Akikujibu niiteJamani usicheke maisha hayana formula, huko kijijini 1400 ni pesa ya kula familia sasa akiwa anapewa yeye kila siku itakuwaje? Tunazidiana uwezo unajua?
Huwezi kuuza nguo ni hitaji muhimu. Smartphone ni luxury, mtu anapata starehe kwa gharama alaf mwanao unataka asile. Ambae hakutuma barua ya maombi umzae, ni manyege tu yamekuponza.. Ujinga wa hali ya juu sana kutuletea huu uzi, alaf kaleta kama kero, anamaanisha hana hata mawazo nini kifanyike, analalamikia kwanini mwanae anakula 1400 kila siku. Hivi huone tatizo hapo madam?????????? 🤔Na hata asingekuwa na hiyo infinix huenda ungesema si auze nguo zake mwanae ale! Vipi kama kaazima kwa mtu au mtu kamsaidia kuweka kero huku kwetu msaada upatikane?
Kwani akifundishwa hajala haelewi? Mbona sisi tulisoma na njaa bwana! Kama ni hivi acha tu niwe namwaga nje mkuu!Kama huwezi kutunza watoto bana nyege au tumia condoms
Mtoto wako nani amlishe?
Mwalimu atafundishaje mtoto mwenye njaa?
Ndio haki zetu za kiuvhumi mkuu sidhani kama mzazi mwenye hiyo pesa atapenda mtoto wake ashinde njaa!Utatuzi ni aende kwa uongozi wa shule atoe kero yake kuwa 1400 ni nyingi yeye hana mtoto wake asisumbuliwe,
Angesema ameenda na bado anachapwa tungeona kuna shida.
Ila kama kuna mzazi analalamika kuhusu mtoto wake kula tena kwa 1400 na anaona kero kabisa aiseee tuna safari ndefu sana.
Huwezi juwa mkuuUsimtetee. Huyo sio mzima, muulize anaunga bando la shingapi wiki nzima kwaanili ya Mbz tu. Akikujibu niite
Mwaga nje mkuuKwani akifundishwa hajala haelewi? Mbona sisi tulisoma na njaa bwana! Kama ni hivi acha tu niwe namwaga nje mkuu!
Watu wengi hawayajui maisha mwenyekiti, hiyo pesa wanaidharau sana wakati ukiikusanya mwenzi mzima kuna mtu ndio mshahara wake! Imagine mkulima wa kawaida anapata wapi pesa kama hiyo kila siku🙁Naona maboss wa JF wakimpopoa mleta mada lakni kiukwel hiyo hela ni nyingi sana na haiendan na thamani ya chakula cha shuleni.
Pia bado hela nyingi hata kama wangekua wanakula wali kila siku, hapa napofundisha mimi tandahimba wanachamgia 500 tu ya msosi
Wale walala sebuleni na wanafunzi wa vyuo wanaotegemea boom watakuja hapa kuleta utoto wao
Yuko wapi mpaka sahizi.. Amekimbia uzi wake mwenyewe. Bora hata angeanzisha uzi wa mapenzi tu😉Huwezi juwa mkuu
Anataka mwanae ale ila sio kwa kutoa hiyo 1400 kila siku, alikuwa anakula na hakuona shida mpaka mahindi yalipokwisha ndiomaana anaomba msaada hiyo pesa kwake ni nyingi mkuu! Akiuza simu akalipia hiyo pesa ya miezi mitatu shuleni, ikiisha tena atauza nini ili dogo ale? Basi auze nyumba alipie ya miaka yote!Huwezi kuuza nguo ni hitaji muhimu. Smartphone ni luxury, mtu anapata starehe kwa gharama alaf mwanao unataka asile. Ambae hakutuma barua ya maombi umzae, ni manyege tu yamekuponza.. Ujinga wa hali ya juu sana kutuletea huu uzi, alaf kaleta kama kero, anamaanisha hana hata mawazo nini kifanyike, analalamikia kwanini mwanae anakula 1400 kila siku. Hivi huone tatizo hapo madam?????????? 🤔
Hamyachoki!!!?Yuko wapi mpaka sahizi.. Amekimbia uzi wake mwenyewe. Bora hata angeanzisha uzi wa mapenzi tu😉
Hajaja kutafuta solution, kaja kulalamika, solution unamtaftia wewe ujue. All in all, atafute hela tu, mwanaume kulalamalalama ni ishara ya kua umeshindwa majukumu.Anataka mwanae ale ila sio kwa kutoa hiyo 1400 kila siku, alikuwa anakula na hakuona shida mpaka mahindi yalipokwisha ndiomaana anaomba msaada hiyo pesa kwake ni nyingi mkuu! Akiuza simu akalipia hiyo pesa ya miezi mitatu shuleni, ikiisha tena atauza nini ili dogo ale? Basi auze nyumba alipie ya miaka yote!
Ukiona unapata uwezo wa kuyachoma mapenzi kajitafutie eneo ujichimbie kabisa kimwanandani kitacho kufaa ili dakika za mwisho usisumbue watu 😁😁😁😁😁Hamyachoki!!!?
Mleta mada mwenyewe hajui nini kifanyike, hajaja kutafuta solutions, kaja kulalamikia kitendo cha kutoa BUKU MIA NNE (1400) kila siku kwa ajili ya mwanae,.. Very sad
mambo yanabadilika kulingana na wakati, jambo hilo lilipambana sana moto hapa klati PM alikua majaliwa huyu wanaompigia makofi sasahivi na wakati huo wanamnunia mwigulu --- kwamba wanafunzi wanatakiwa wale shuleni ila mpaka muda huu sidhani kama kuna guideline maalumu ya utekelezaji , zaidi ya amri kwamba wanafunzi wale shuleni, hivyo walimu ndo wamechukua jukumu la nini kifanyike jambo hilo liwezekane, ofcourse upigaji wa hapa na pale unaweza usikosekane na ni halali upigaji uwepo , maaana tumeona hata mtoa mada lisha ya kuja kama anonymous kashindwa hata kuweka idea yake nini kifanyike (tunaweza assume kwamba hataki watoto wake wale shuleni)Hapo umenena! Sasa solution inayohitajika katika hizi shule inafatiliwa na nani? Mbona sisi zamani hatukuwa na haya mambo jamani!
Khaa ndio tusiongelee mambo mengine ni mapenzi mwanzo mwisho😳Ukiona unapata uwezo wa kuyachoma mapenzi kajitafutie eneo ujichimbie kabisa kimwanandani kitacho kufaa ili dakika za mwisho usisumbue watu 😁😁😁😁😁
Dahhh am speechless 🤐naam yeye angeanza hata kwa kutoa idea ya nini kifanyike, mawazo mengine yanaweza kuanza kazi hata kwa ngazi ya kijiji huko, wakahakikisha wanapata kiasi fulani cha chakula ambacho kitakua chini ya shule kwa ajili ya vijana wao
mambo yanabadilika kulingana na wakati, jambo hilo lilipambana sana moto hapa klati PM alikua majaliwa huyu wanaompigia makofi sasahivi na wakati huo wanamnunia mwigulu --- kwamba wanafunzi wanatakiwa wale shuleni ila mpaka muda huu sidhani kama kuna guideline maalumu ya utekelezaji , zaidi ya amri kwamba wanafunzi wale shuleni, hivyo walimu ndo wamechukua jukumu la nini kifanyike jambo hilo liwezekane, ofcourse upigaji wa hapa na pale unaweza usikosekane na ni halali upigaji uwepo , maaana tumeona hata mtoa mada lisha ya kuja kama anonymous kashindwa hata kuweka idea yake nini kifanyike (tunaweza assume kwamba hataki watoto wake wale shuleni)
kula shuleni ni jambo muhimu sana hata huko nchi zilizochangamka, watotot kula shule ni lazima, na nchi zingine watoto cha chekechea unakuta ni sheria kwamba chakula lazima waje nacho kuoka nyumbani kutokana na umri wao
hili taifa kila sehemu tukitaka tubane matumizi hatuwezi kwenda maana order ya serikali imeshatoka na kimsingi ni jambo zuri