KERO Wazazi tunalazimishwa kuchangia chakula kila siku katika Shule ya Sekondari Ipala

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Naona maboss wa JF wakimpopoa mleta mada lakni kiukwel hiyo hela ni nyingi sana na haiendan na thamani ya chakula cha shuleni.

Pia bado hela nyingi hata kama wangekua wanakula wali kila siku, hapa napofundisha mimi tandahimba wanachamgia 500 tu ya msosi

Wale walala sebuleni na wanafunzi wa vyuo wanaotegemea boom watakuja hapa kuleta utot

Naona maboss wa JF wakimpopoa mleta mada lakni kiukwel hiyo hela ni nyingi sana na haiendan na thamani ya chakula cha shuleni.

Pia bado hela nyingi hata kama wangekua wanakula wali kila siku, hapa napofundisha mimi tandahimba wanachamgia 500 tu ya msosi

Wale walala sebuleni na wanafunzi wa vyuo wanaotegemea boom watakuja hapa kuleta utoto wao
Kama unafundisha bila shaka utakuwa unajua hiyo 1,400 ni wapi imetokea na hiyo 500 yenu pia. Kuna sehemu ni 1,000 kwingine 1,200 inategema na mahitaji ya sehemu.

Tunachoshangaa sio mzazi mwenzetu kukosa 1400, ni namna analalamika badala ya kutafuta solution.Sababu anayekula ni mtoto wake na yeye ndio kamleta duniani so awajibike hakuna namna.
 
Mtoa mada kazi unayo japo umepewa hii kero uje uiwasilishe humu JF sijui kama watakuacha salama Walimu wa humu..kuepusha hili kwangu mimi, napita kimya kimya sichangii chochote zaidi ya kusoma maoni ya wachangiaji.
 
Khaa ndio tusiongelee mambo mengine ni mapenzi mwanzo mwisho😳
Kwa uzi kama huu madam!!!!! Bora tuongelee mapenzi tu, wabunifu mje mtuambie mmegundua stail gani mpya huko ulimwenguni. Ili jamaa etu akaitumie aongeze mtoto mingine 😂😂😂😂
 
Kama unafundisha bila shaka utakuwa unajua hiyo 1,400 ni wapi imetokea na hiyo 500 yenu pia. Kuna sehemu ni 1,000 kwingine 1,200 inategema na mahitaji ya sehemu.

Tunachoshangaa sio mzazi mwenzetu kukosa 1400, ni namna analalamika badala ya kutafuta solution.Sababu anayekula ni mtoto wake na yeye ndio kamleta duniani so awajibike hakuna namna.
Hakuna kitu kama hicho nimekaa sehemu nying hakuna kitu hicho ikizd sana ni 600, shule inawanafunzi 500 kila mmoja akitoa 1400 ni laki 7 kuna shule gani wanapika chakula cha lak7 kwa siku tena kijijini? Au wanapikiwa pilau?
 
changamoto ya michango mingi mingi Ipo Kila Kona ya Nchi hii kwa shule za kayumba!
Lakini kabla hawajapitisha hiyo michango Huwa wanaitisha vikao vya wazazi wanawapiga piga sound mnakubali baadae kwenye kutoka hela mnalalamika!
Kwanini msiwe mnakataa?????
Yaani mzazi mtoto wako anatoka kilometer zaidi ya 5 halafu unaambiwa Aende prepo Hadi Saa 4 usiku unakubali wakati uwezekano Wa mtoto kusoma nyumbani upo na akawa salama! Sasa hapo Tatizo ni waalimu au nyie wazazi mazuzu mnaokubaliana na Kila Jambo??
Acheni hizo bhana haukubaliani na Jambo pinga hapo hapo kwa nguvu zote!
 
Bora we umewaza mbali, mtu anafikiri 1000 wakitoa wanafunzi buku inakuwa labda laki
 
changamoto ya michango mingi mingi Ipo Kila Kona ya Nchi hii kwa shule za kayumba!
Lakini kabla hawajapitisha hiyo michango Huwa wanaitisha vikao vya wazazi wanawapiga piga sound mnakubali baadae kwenye kutoka hela mnalalamika!
Kwanini msiwe mnakataa?????
Yaani mzazi mtoto wako anatoka kilometer zaidi ya 5 halafu unaambiwa Aende prepo Hadi Saa 4 usiku unakubali wakati uwezekano Wa mtoto kusoma nyumbani upo na akawa salama! Sasa hapo Tatizo ni waalimu au nyie wazazi mazuzu mnaokubaliana na Kila Jambo??
Acheni hizo bhana haukubaliani na Jambo pinga hapo hapo kwa nguvu zote!
suala la kula shule limeshakua la lazima
 
Kula ni muhimu wale,watasomaje na njaa?
Lakini waweke bajeti simple ambayo Kila mzazi atamudu
Mfano asubuhi kikombe cha chai kavu,mchana vyakula ni Aina mbili tu makande au ugali maharage kwisha habari!ukiwa na wanafunzi 500 ukiwachangisha 800 per day utakusanya 400,000! Laki nne unashindwa kuwalisha makande watoto 500?? Hiyo 1400 ni kubwa kwa aina ya wazazi wanaosomesha watoto huko kayumba!
 
Kuna mama naishi nae jirani mtoto wake anasoma shule ya serikali, kila siku inabidi aende na 1300 ya uji pamoja na mitihani, hapo bado anahitaji 400 ya nauli. Kuna siku mama anaamka hana hata 100 mtoto anatembea kwenda shule na akifika shule anapigwa hana hela ya mchango.

Kiufupi namuelewa mzazi aliyetoa kero sio kila mtu ana kipato cha kutoa 1400 kila siku.
 
Bure kabisa wewe mzazi,unataka mtoto ashinde njaa!?
Kiwango Cha umaskini hapa Tanzania ni kikubwa nicha ajabu sana 1400Tsh mtu analalamika ukitaka usipate huo usumbufu lipa 8400 ya miezi 6.
 
Kula ni muhimu wale,watasomaje na njaa?
Lakini waweke bajeti simple ambayo Kila mzazi atamudu
Mfano asubuhi kikombe cha chai kavu,mchana vyakula ni Aina mbili tu makande au ugali maharage kwisha habari!ukiwa na wanafunzi 500 ukiwachangisha 800 per day utakusanya 400,000! Laki nne unashindwa kuwalisha makande watoto 500?? Hiyo 1400 ni kubwa kwa aina ya wazazi wanaosomesha watoto huko kayumba!
nakubaliana na wewe na infact hilo jambo linawezekana vizuri tu.

shida hapa ni hali ya utanzania tu kama kawaida, mambo ya kuchangishana wazazi hua wanaona kama walimu sasa wanenda kupata mradi wa kupiga hela.

kama tungekua na wau serious kweli suala la kula shuleni na hospitali ndani ya miaka mi5 tu waziri wa kilimo anaweza kufanikisha jambo hilo, ila kwa sasa kila mtu aangalie uwezekano wa kufanikisha hivyo vyakula vinapatikana, mawazo uliyoyaweka wewe hata mtoa mada hajatoa yeye katoa lawama tu na kulala mbele.

nipo karibu na shule hapa nishashuhudia mzazi kaja na bodaboda ana bishana na mwalimu kwamba mtoto wake hana uwezo wa kumpa sh 100 ya uji kila siku, ( hili buku la kwenda shule si lilitosha uji week 2?)
 
wakuu kumbe hili jambo limeshakua serious sana aisee

mamlaka zimetoa

" MWONGOZO WA KITAIFA WA UTOAJI WA HUDUMA YA CHAKULA NA LISHE KWA WANAFUNZI WA ELIMUMSINGI "​

nimeaatach document kutoka tovuti ya wizara ya elimu.

vidokezo vya awali
image_2026-03-19_162805309.png

image_2026-03-19_172439308.png

binafsi sikufahamu kama washatoa muongozo, so far hili jambo ni halikwepeki mvurugano labda uwe kwenye utekelezaji
 
Attachments

wakuu kumbe hili jambo limeshakua serious sana aisee

mamlaka zimetoa

" MWONGOZO WA KITAIFA WA UTOAJI WA HUDUMA YA CHAKULA NA LISHE KWA WANAFUNZI WA ELIMUMSINGI "​

nimeaatach document kutoka tovuti ya wizara ya elimu.

vidokezo vya awali
View attachment 3560052

View attachment 3560074
binafsi sikufahamu kama washatoa muongozo, so far hili jambo ni halikwepeki mvurugano labda uwe kwenye utekelezaji
Duhh sio mchezo!! Kumbe wako serious namna hii🫢
 
naam hata mimi nimeshanga, maana mara ya mwisho lawama zilikua zinaenda serikalini tu kwamba wanataka wanafunzi wale shuleni ila haijulikani nani anawajibika.

last week kwenye habari hapa ndugu zetu wakenya wanahali ngumu sana

View: https://www.youtube.com/shorts/2OYZgT9_bMU

sisi tunachukulia poa fursa tulizo nazo
 
Dahh! Inasikitisha sana, sijui wanakula matunda gani hayo! ukiangalia kwenye screen unaona kama movie jamani, sijui nini kifanyike haya mambo yapungue!

Nimeona mtu kasema they have more than enough food to feed these people and they are increasing the budget to 17 millions..
 
Back
Top Bottom