Naona maboss wa JF wakimpopoa mleta mada lakni kiukwel hiyo hela ni nyingi sana na haiendan na thamani ya chakula cha shuleni.
Pia bado hela nyingi hata kama wangekua wanakula wali kila siku, hapa napofundisha mimi tandahimba wanachamgia 500 tu ya msosi
Wale walala sebuleni na wanafunzi wa vyuo wanaotegemea boom watakuja hapa kuleta utot
Kama unafundisha bila shaka utakuwa unajua hiyo 1,400 ni wapi imetokea na hiyo 500 yenu pia. Kuna sehemu ni 1,000 kwingine 1,200 inategema na mahitaji ya sehemu.Naona maboss wa JF wakimpopoa mleta mada lakni kiukwel hiyo hela ni nyingi sana na haiendan na thamani ya chakula cha shuleni.
Pia bado hela nyingi hata kama wangekua wanakula wali kila siku, hapa napofundisha mimi tandahimba wanachamgia 500 tu ya msosi
Wale walala sebuleni na wanafunzi wa vyuo wanaotegemea boom watakuja hapa kuleta utoto wao
Kwa uzi kama huu madam!!!!! Bora tuongelee mapenzi tu, wabunifu mje mtuambie mmegundua stail gani mpya huko ulimwenguni. Ili jamaa etu akaitumie aongeze mtoto mingine ššššKhaa ndio tusiongelee mambo mengine ni mapenzi mwanzo mwishoš³
naam, hili jambo ni kubwa kwa kiasi chake, mtoa mada na taifa kwa ujumla tuangalie litalifanikisha vipi.Dahhh am speechless š¤
Hakuna kitu kama hicho nimekaa sehemu nying hakuna kitu hicho ikizd sana ni 600, shule inawanafunzi 500 kila mmoja akitoa 1400 ni laki 7 kuna shule gani wanapika chakula cha lak7 kwa siku tena kijijini? Au wanapikiwa pilau?Kama unafundisha bila shaka utakuwa unajua hiyo 1,400 ni wapi imetokea na hiyo 500 yenu pia. Kuna sehemu ni 1,000 kwingine 1,200 inategema na mahitaji ya sehemu.
Tunachoshangaa sio mzazi mwenzetu kukosa 1400, ni namna analalamika badala ya kutafuta solution.Sababu anayekula ni mtoto wake na yeye ndio kamleta duniani so awajibike hakuna namna.
Hahah haya ngoja wabunifu walete nyuzi tuendelee kujifunzia kichwaniKwa uzi kama huu madam!!!!! Bora tuongelee mapenzi tu, wabunifu mje mtuambie mmegundua stail gani mpya huko ulimwenguni. Ili jamaa etu akaitumie aongeze mtoto mingine šššš
Ndio especially kwa hawa ambao bado wanasomesha..naam, hili jambo ni kubwa kwa kiasi chake, mtoa mada na taifa kwa ujumla tuangalie litalifanikisha vipi.
Bora we umewaza mbali, mtu anafikiri 1000 wakitoa wanafunzi buku inakuwa labda lakiHakuna kitu kama hicho nimekaa sehemu nying hakuna kitu hicho ikizd sana ni 600, shule inawanafunzi 500 kila mmoja akitoa 1400 ni laki 7 kuna shule gani wanapika chakula cha lak7 kwa siku tena kijijini? Au wanapikiwa pilau?
suala la kula shule limeshakua la lazimachangamoto ya michango mingi mingi Ipo Kila Kona ya Nchi hii kwa shule za kayumba!
Lakini kabla hawajapitisha hiyo michango Huwa wanaitisha vikao vya wazazi wanawapiga piga sound mnakubali baadae kwenye kutoka hela mnalalamika!
Kwanini msiwe mnakataa?????
Yaani mzazi mtoto wako anatoka kilometer zaidi ya 5 halafu unaambiwa Aende prepo Hadi Saa 4 usiku unakubali wakati uwezekano Wa mtoto kusoma nyumbani upo na akawa salama! Sasa hapo Tatizo ni waalimu au nyie wazazi mazuzu mnaokubaliana na Kila Jambo??
Acheni hizo bhana haukubaliani na Jambo pinga hapo hapo kwa nguvu zote!
Kula ni muhimu wale,watasomaje na njaa?suala la kula shule limeshakua la lazima
nakubaliana na wewe na infact hilo jambo linawezekana vizuri tu.Kula ni muhimu wale,watasomaje na njaa?
Lakini waweke bajeti simple ambayo Kila mzazi atamudu
Mfano asubuhi kikombe cha chai kavu,mchana vyakula ni Aina mbili tu makande au ugali maharage kwisha habari!ukiwa na wanafunzi 500 ukiwachangisha 800 per day utakusanya 400,000! Laki nne unashindwa kuwalisha makande watoto 500?? Hiyo 1400 ni kubwa kwa aina ya wazazi wanaosomesha watoto huko kayumba!
Seroo hawa wapumbavu matapelBora we umewaza mbali, mtu anafikiri 1000 wakitoa wanafunzi buku inakuwa labda laki
Duhh sio mchezo!! Kumbe wako serious namna hiiš«¢wakuu kumbe hili jambo limeshakua serious sana aisee
mamlaka zimetoa
" MWONGOZO WA KITAIFA WA UTOAJI WA HUDUMA YA CHAKULA NA LISHE KWA WANAFUNZI WA ELIMUMSINGI "
nimeaatach document kutoka tovuti ya wizara ya elimu.
vidokezo vya awali
View attachment 3560052
View attachment 3560074
binafsi sikufahamu kama washatoa muongozo, so far hili jambo ni halikwepeki mvurugano labda uwe kwenye utekelezaji
naam hata mimi nimeshanga, maana mara ya mwisho lawama zilikua zinaenda serikalini tu kwamba wanataka wanafunzi wale shuleni ila haijulikani nani anawajibika.Duhh sio mchezo!! Kumbe wako serious namna hiiš«¢
Dahh! Inasikitisha sana, sijui wanakula matunda gani hayo! ukiangalia kwenye screen unaona kama movie jamani, sijui nini kifanyike haya mambo yapungue!naam hata mimi nimeshanga, maana mara ya mwisho lawama zilikua zinaenda serikalini tu kwamba wanataka wanafunzi wale shuleni ila haijulikani nani anawajibika.
last week kwenye habari hapa ndugu zetu wakenya wanahali ngumu sana
View: https://www.youtube.com/shorts/2OYZgT9_bMU
sisi tunachukulia poa fursa tulizo nazo