KERO Wazazi tunalazimishwa kuchangia chakula kila siku katika Shule ya Sekondari Ipala

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Shuleni ni kusoma tu kila mtu akale kwa babaake
 
ngoma ngumu sana
 
Msimlaumu sana huenda ana watoto wengi hata watano kila siku analipia 1400 sio pesa ndogo kama ana haki ngumu ya uchumi jamani😕
Wakati ana....to...mba mkewe hakujua kuwa atapata watoto wengi??
 
Kila siku? Sidhani.

HATA HIVYO NAKUSHAURI ACHA KULIPA ILI TOTO LAKO LISHINDE NJAA
Swadakta,jamani elimu ni gharama mtu katozwa kidogo tu,kaanza kulalamika.

Kama walimu wanakula ni kidogo sana hicho chakula ni kwaajili ya uyo mwanao
 
Msimlaumu sana huenda ana watoto wengi hata watano kila siku analipia 1400 sio pesa ndogo kama ana haki ngumu ya uchumi jamani😕
Kwani alilazimushwa kuzaa? Kiuno akate yeye halafu huduma aanze kulalamika sasa watoto wake mwenyewe anataka watunzwe na nani
 
Kuchapwa sio sawa, lakini mpe mtoto pesa ya kuchangia chakula, kukaa na njaa shule sio kitu kizuri kabisa.

Serikali haiwezi kuwapa kila kitu, mpe mtoto hiyo 1400 kwanza ni ndogo sana kwaajili ya mwanao
 
Kuna wakati nawaza, huyu analalamikia 1400, huyu mzazi anataka atoe shilingi ngapi ili mwanae ale?
500 itatosha?
1000 je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…