Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Wataalamu tunaomba mwongozo wa kudispline watoto maana waziri amecharuka huko.
Kumbe tunafanya uhaini
Kumbe tunafanya uhaini
Ukiwa na watoto kwisha habariMinaona hakuna haja ya kua na mtoto mkuu, maana watoto ni hasara kubwa wanasababisha watu waishiwe pesa ya kuhonga, kula gambe na kwenda club....
![]()
Wewe ni baba si unakaa nao jioni Tu washachokaBinafsi huwa siwachapi wanangu
Nawaonya Kwa maneno na kuwapa maelezo na Huwa wanaelewa
Huwa siamini katika viboko
Sawa ila naamini mtoto akielekezwa ataelewa bila mbokoWewe ni baba si unakaa nao jioni Tu washachoka
Umejifungua lini hao watotoBinafsi huwa siwachapi wanangu
Nawaonya Kwa maneno na kuwapa maelezo na Huwa wanaelewa
Huwa siamini katika viboko
Mie huwa nakashindiaha njaaa 12 , na kukafungia ndanii siku nzima.. Usiku mda wa kulala nakapa chai na skonzi moja.. mbona kamaetia adabuWataalamu tunaomba mwongozo wa kudispline watoto maana waziri amecharuka huko.
Kumbe tunafanya uhaini
Ni kumuumiza maana hajakomaa kiungo hata kimojaWataalamu tunaomba mwongozo wa kudispline watoto maana waziri amecharuka huko.
Kumbe tunafanya uhaini
Huo utaratibu ilitakiwa waunze wazazi wako kabla ya wewe kuzaliwa!Minaona hakuna haja ya kua na mtoto mkuu, maana watoto ni hasara kubwa wanasababisha watu waishiwe pesa ya kuhonga, kula gambe na kwenda club....
![]()
Walikosea sana kunizaa....Hahaa....Huo utaratibu ilitakiwa waunze wazazi wako kabla ya wewe kuzaliwa!

kata rufaa mkuu!Walikosea sana kunizaa....Hahaa....
![]()
Inaumiza mno kuona mtoto mdogo anapokea kipigo kama mwiziWatoto maskini