Wazazi tunaochapa watoto under 3 years tukutane hapa

Hivi kuna watu “wanaDebate na 4yrs old”
Anaitwa “mtoto” hajui Reasoning, hajui hasara, hajui consequences za matendo yake
Mtoto anahitaji amri, asipoitii ni VIBOKO
Kama Baba zako na Mama zako walikuendekeza basi leo ni mojawapo wa kijana wa hovyo mwenye tabia kama
1. Umalaya
2. Pombe kupindukia
3. Kukimbia shule
4. Njia za “shortcut”
5. Uwizi/ Udokozi
6. Mkimbia majukumu/ responsibility
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…