sio uzi wa kushauriana ni uzi wa reality iliyopo Tanzania.Kwanza wekeza katika wewe Fanya self-investment.
Kufika on top iwe biashara au ajira inahitajika Akili inayowaza vyema.
Perception Vs PerspectiveBiashara inanyima uhuru ,unatembea na roho mkononi.
Ajira kama za serikali zina consistency nzuri in terms of earning cash.
Unasema wajiajiri kwa sababu biashara ni ngumu. Swali langu ni kwamba hao uliorodhesha hapo wanafanya nini kama sio biashara? Au wewe unadhani biashara ni kununua na kuuza vitu tu?Cpa - Muhasibu kama Mengi (Rip)
Advocate - wanasheria kama kina Mukono
Madaktari
Consultants
ConstructionEngineers
Hizi ni Profession, sio kila mtu anaweza fanya hata kama hana elimuUnasema wajiajiri kwa sababu biashara ni ngumu. Swali langu ni kwamba hao uliorodhesha hapo wanafanya nini kama sio biashara? Au wewe unadhani biashara ni kununua na kuuza vitu tu?
sio uzi wa kushauriana ni uzi wa reality iliyopo Tanzania.
Waajiriwa wakishastaafu ufa mapema kuliko wafanyabiasharaBiashara inanyima uhuru ,unatembea na roho mkononi.
Ajira kama za serikali zina consistency nzuri in terms of earning cash.
Sio opinion ni Fact labda kama upo mkoani hujawahi kuishi Dar ndio hautaweza kujua kwamba maeneo hayo niliyotaja wengi ni waajiriwa na wachache ni wafanyabiashara,Reality vs opinion
Wewe unatoa opinion and not Fact.
Kila kitu ni biashara , hao unaowaona wapo serikalini wana hela , wapo wanafanya biashara. Ndo zimewaweka juu on top
They earn Passive income and active income
Lakini ni biashara, tukubaliane hapo kwanza then tuendeleeHizi ni Profession, sio kila mtu anaweza fanya hata kama hana elimu
Hio cpa pekee inabidi uwe mwanachama wa bodi ya wahasibu,
Ni profession inayotoa ajira aidha kwa kuajiriwa au kujiajiri, utofauti wake tu ni kwamba inabidi uwe wualified professional unaetambulika na bodi husika kwa kufaulu mitihani yaoLakini ni biashara, tukubaliane hapo kwanza then tuendelee
Upo sahihi mkuu,unakuta unafanya kazi una tasks kibao hata muda wa lunch we una skip lunch,jion wenzio wanatoka saa 11 we unatoka saa 1 jion….kupata kazi ni kazi ila kumantain nafasi yako ni kazi sanaInaonekana kinachokusumbua wewe ni uzembe. Hata hao walioajiriwa wakapata nafasi kubwa zenye maslahi usidhani wanapata muda wa kulala tuu na kula bata. Wanasota sana kutimiza wajibu kwenye nafasi zao
Sio opinion ni Fact labda kama upo mkoani hujawahi kuishi Dar ndio hautaweza kujua kwamba maeneo hayo niliyotaja wengi ni waajiriwa na wachache ni wafanyabiashara,
Lakini hata huko mikoani hali ni hivyo hivyo, kwa mkoa kama Mbeya maeneo kama Uzunguni, Forest, Isyesye wengi ni waajiriwa, wachache ni wafanyabiashara
Iringa maeneo ya Gangilonga
Huko Kagera nako itakuwa hivyo hivyo tu
Ndiyo ni biasharaLakini ni biashara, tukubaliane hapo kwanza then tuendelee
Sijaelewa unataka kusema nini kwenye profession. Kwamba huwezi kufanya vizuri kwenye kujiajiri mpaka uwe professional?Ni profession inayotoa ajira aidha kwa kuajiriwa au kujiajiri, utofauti wake tu ni kwamba inabidi uwe wualified professional unaetambulika na bodi husika kwa kufaulu mitihani yao
Eneo wanaloishi watu sio mambo madogo madogo katika kujua uchumi wa watu,Wewe quality ya maisha ni maeneo na sio MTU mwenyewe na malengo yake.
Nipo DSM Ila hoja yako imekaa kwa kutazama mambo madogo ambayo hayana positive impact.
Ukiendelea hivi kuwaza mafanikio kwa style hii utakufa masikini
Eneo wanaloishi watu sio mambo madogo madogo katika kujua uchumi wa watu,
Watu wanaoishi maeneo yenye mageti ya milioni 2 ni factor kubwa kujua kwamba wana maisha ya juu kuzidi sehemu ambazo hazina hata fensi
Mkuu,Biashara kwa bongo fanya iwe option ama uwe kwenye familia ambazo zina connections za biashara zilizofanikiwa