Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wazazi wengi hasa walioenda shule wanapenda watoto wao wa some Elimu ya juu yaani kidato cha tano, sita na kwenda chuoni kusoma degree na ikiwezekana apate na masters.
Unapowalea watoto wako tangu wakiwa wadogo unaweza kuelewa mwenye kumbukumbu nzuri na mwenye kuelewa haraka. Pamoja na kuwa na ukaribu wa walimu, watakueleza maendeleo ya watoto wako.
Asiye pata alama za kumfikisha kidato cha tano, kaa nae kuongea, angalia ripoti zake za shule na feed back kutoka kwa walimu. Kama mtoto ni the average Bill, usilazimishe asome kidato cha tano.
Kwa wale wenye uwelewa mzuri, akienda kidato cha tano mpe support, hata akiwa chuo. Kwa wale the average Bill, akijifunza biashara itamsaidia sana. Biashara inaweza kuwa upishi , kuunga magari au hata kuweka wiring za umeme kwenye majengo.
Zile pesa ambazo ulipanga kumpeleka the average Bill katika elimu ya juu, mpatie apate mtaji kama anao mwelekeo wa biashara. Kuandika essay maneno 3,000 ni kipaji na si kila mtu anacho.