Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda, mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao, kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa.

Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza.

Screenshot_2023-11-19-14-51-57-1.png


PIA, SOMA:

- Mwandishi wa kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Azory Gwanda apotea siku 10 na hajulikani alipo

 
Alisemaje Prof wa J L L N?
"Dissapeared and dead"

Hii ni kauli nyepesi hasa kwa uhai wa mtu kupotea, uhai haulinganishwi na chochote.

Professor huyo tapeli ndio aliahidi juisi waliyoifuata na ndege ya serikali kule Antananarivo ,ni kuwa kule rais anagawa mwenyewe na itaingia mtaani ikishafanyiwa majaribio badala yake akaishia kunywa yeye mwenyewe na walioongozana nae.
 
Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa

View attachment 2818764

Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
hiyo tshirt ya kijani imeandikwa Paul, al manusura nimalizie....
 
Back
Top Bottom