Lile halikuwa jitu la kawaidaMagufuli ulaaniwe uliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile halikuwa jitu la kawaidaMagufuli ulaaniwe uliko
Bora Mungu alimuondoa mapema. He was not human being at all.Yule jamaa alikuwa mnyama, hakuwa na roho ya ubinadamu. Angekuwepo mpaka Leo, hadithi za Hisanni Habre wa Chad zingehamia huku Tanzania.
Makonda ana nguvu anaweza kusaidia hili jambo..wote waliopoteza ndugu zao wakati wa utawala wa Jpm wajitokeze kwenye mikutano ya Makonda kudai haki itendeke.
Ccm imepambane na majizi?? Vichekesho hivi.Nyumbu ni wanafiki sana,ni genge la msog pia.
Nabila shaka yumbu wanalipwa posho kuwa chafua viongozi wazalendo.
Konda amewashika ma....lio Sasa mnajifanya kurewind mambo yasiyo eleweka ilikujaribu kuchafua watu wanao pambana na majizi ya kodizetu.
Acheni visingizio, yule jamaa hayupotena pambaneni na konda wadaladala.Yule jamaa alikuwa mnyama, hakuwa na roho ya ubinadamu. Angekuwepo mpaka Leo, hadithi za Hisanni Habre wa Chad zingehamia huku Tanzania.
Dhambi itawatafuna hadi mwisho wa duniaAcheni visingizio, yule jamaa hayupotena pambaneni na konda wadaladala.
Hataivyo hongera kwa kumiliki kasri kule migombani mkuu.
Magufuli the ruthless murderer who didn't tolerate criticism from any angle, is the one who killed the likes of Azory Gwanda, Ben Sanane etcAise mpaka sasa watu hawajulikani
Walipo
Ova
AmenAlaniwe Jiwe na wote aliokuwa anawatuma.
Ipo siku Mungu atashusha radi nyingine....Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa
View attachment 2818764
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
Alikuwa gaidi huyo mbwaWazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa
View attachment 2818764
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
hahaaa Magufuli kawafanya mazezeta nyieYule jamaa alikuwa mnyama, hakuwa na roho ya ubinadamu. Angekuwepo mpaka Leo, hadithi za Hisanni Habre wa Chad zingehamia huku Tanzania.
alikuwa mchochezi au?
Makonda ana nguvu anaweza kusaidia hili jambo
Acheni visingizio, yule jamaa hayupotena pambaneni na konda wadaladala.
Hataivyo hongera kwa kumiliki kasri kule migombani mkuu.
Magufuli the ruthless murderer who didn't tolerate criticism from any angle, is the one who killed the likes of Azory Gwanda, Ben Sanane etc
Alikuwa gaidi huyo mbwa
hahaaa Magufuli kawafanya mazezeta nyie