Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Ni heri uchunguzi ufanyike na familia waambiwe jambo Moja tu kuwa mtoto wao kafariki ili familia ijue kuliko kuendelea kukaa kimya

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Wakati wa zamani watu wakienda vitani hapakuwa na feedback ya katikati ya vita

Vita vikiisha watu wanajikusanya kupokea wapiganaji

Ndugu au Jamaa yako asipokuwepo kwny hiyo orodha unamsubiria kwny orodha ya Mateka waliobaki kwa adui

sherehe za kubadilishana mateka zikiisha na Ndugu yako hayupo mnaweka matanga

Vita imeisha na hadi mateka zaid ya elf 1 wameachiwa huru Nchi nzima

Hawa Wazee wamedhulumiwa sana Mtoto wao, Allah awalipie hiki kisasi iwe funzo kwa madhalimu popote walipo

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri ubalozi USA wana data zoote nakumbuka balozi wao akienda kuteta na mke wa Azory....Kibiti waliongea mengi sana...Ubalozi una siri zote .....ni muda tuuu.....damu mtu asiye hatia italipwa hapa hapa..
 
America huwa wakali kuhusu haki za binadamu unapowanyima rasilimali za Nchi au kukataa kutumika kwao

Kagame anapiga chuma watu wake daily na maisha yanaendelea kama kawa

Kashoghi kule Uturuki alikatwa kichwa kama Kuku na kuchunwa ngozi kabisa na maisha yanasonga

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Pia Angalieni na upande mwingine huwezi jua hata Kama Ni Serikali ilishiriki kupotea kwake kulikuwa na Nini mpaka ikawa hivo? Pia msikimbilie Sana kulaumu vitu msivovijua undani wake.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hivyo hiyo justfication watu wetu wauawe bila sababu utawala unaojinasibu ni wa haki na democracy? Huyo angekuwa baba yako sidhani ungeongea hivyo ......acha cheap politics kwenye uhai wa watu.....unaua ili iweje ? Eti utawale mwandishi habari anakuzuia nn wewe kutawala ? Utaua wangspi .....baada kytoka mafarakani....utajisikiaje? Shame on u all
 
Pia Angalieni na upande mwingine huwezi jua hata Kama Ni Serikali ilishiriki kupotea kwake kulikuwa na Nini mpaka ikawa hivo? Pia msikimbilie Sana kulaumu vitu msivovijua undani wake.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Yaani wewe kapuku kichwani ujue undani halafu sisi wenye akili tusijue !
 
Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa

View attachment 2818764

Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
Dah!...inasikitisha sana hili jambo mpaka sasa limeishia hewani.
 
Pia Angalieni na upande mwingine huwezi jua hata Kama Ni Serikali ilishiriki kupotea kwake kulikuwa na Nini mpaka ikawa hivo? Pia msikimbilie Sana kulaumu vitu msivovijua undani wake.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Upande mwingine upi huo ?... sisi hatuujui tuambie wewe kama unaujua.
 
Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa

View attachment 2818764

Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
Sidhani.aiseh,sidhani mi sidhani aiseh kabisaa ni muda mrefu sana!

Ni sawa na wazazi.wa Ben Wadai alipo!sidhani!

Nawaonea.huruma sana!!
 
Back
Top Bottom