Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa

View attachment 2818764

Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
Bora wafanya hata uchunguzi wa magumashi ili watu waridhike.

Ila mtu mzima kupotea hivi hivi bila kosa inauma sana.

Rais Samia ni msikivu.
 
Nyumbu ni wanafiki sana,ni genge la msog pia.
Nabila shaka yumbu wanalipwa posho kuwa chafua viongozi wazalendo.

Konda amewashika ma....lio Sasa mnajifanya kurewind mambo yasiyo eleweka ilikujaribu kuchafua watu wanao pambana na majizi ya kodizetu.
 
Serikali yetu ya ajabu kweli. Imeshindwa kabisa kufanya upelelezi kuhusu Ben Saanane na Gwanda?. Aiseeh. Inamwaga pesa kwenye mambo ya kijinga na ufisadi, ila kuhangaika kumtafuta raia wake wanaona haina maana. Stupid government.
 
..wote waliopoteza ndugu zao wakati wa utawala wa Jpm wajitokeze kwenye mikutano ya Makonda kudai haki itendeke.
Peleka ilo tangazolako Kwenye tv pia kunakipindi wanaonyesha ndugu waliopotea itasaidia wahusika kupata taarifa waende waka muulize makonda.

Oh, sorry kumbe umemaanisha walio pote wakati wa uongozi wa Magu pekeake.
 
Back
Top Bottom