matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kitabu cha kiyahudi Tanakh au Miqra kinatoa siri kubwa kwa familia zao kuhusu Uchumi. Baba huwa anapoingia kutafuta huwa anatafuta kwa sio tu kwa ajili yake bali kwa ajili ya wajukuu na vitukuu. Anaandaa mifumo kuhakikisha anaacha utajiri mkubwa kwa ajili ya watoto na wajukuu.
Mithali 13:22
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi;
Waafrika hasa sisi wabongo Tunawategeshea watoto ili wao ndio waje watulee na kututunza tukizeeka.
Tunawageuza kama chanzo cha mapato bqadae badala ya kuwaandalia mifumo ya wenyewe kupata urithi wa kuendesha maisha yao na watoto wao.
Ni hayo tu.