matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kwa mstiki hiyo hamna myahudi masikini? Au ni mhemuko wa dini ndo unakusumbuaKitabu cha kiyahudi Tanakh au Miqra kinatoa siri kubwa kwa familia zao kuhusu Uchumi. Baba huwa anapoingia kutafuta huwa anatafuta kwa sio tu kwa ajili yake bali kwa ajili ya wajukuu na vitukuu. Anaandaa mifumo kuhakikisha anaacha utajiri mkubwa kwa ajili ya watoto na wajukuu.
Mithali 13:22
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi;
Waafrika hasa sisi wabongo Tunawategeshea watoto ili wao ndio waje watulee na kututunza tukizeeka.
Tunawageuza kama chanzo cha mapato bqadae badala ya kuwaandalia mifumo ya wenyewe kupata urithi wa kuendesha maisha yao na watoto wao.
Ni hayo tu.
Maskini wapo kila kona na katika kila jamii. Lakini mindset ya masikini alinayeamini kuwa anatakiwa kusaidia watoto na wajukuu kwa kuwaachia urithi no tofauti na ya maskini wa kibongo anayevizia mahari ya mtoto wake ndio atoboe kimaisha.Kwa mstiki hiyo hamna myahudi masikini? Au ni mhemuko wa dini ndo unakusumbua
Hawa ni wale wa kisasa ambao walikuja hapo baada ya kujikusanya kutokea Ulaya, Ila hapo waliwahi kuwepo zamani zaidi. Kwao bado kuna vitu tunajifunza japp mimi hawa huwa siwahusishi na mambo ya kiroho zaidi ya kisiasa.Kwanza kabisa wayahudi ni wapumbavu fulani ambao wanaikalia ardhi ya palestina kimabavu kwa msaada wa us hatupaswi kujifunza kutoka kwao kwa chochote
.
Mkuu hilo swala la kiroho ulishindwa kulithibitisha ujue?Hawa ni wale wa kisasa ambao walikuja hapo baada ya kujikusanya kutokea Ulaya, Ila hapo waliwahi kuwepo zamani zaidi. Kwao bado kuna vitu tunajifunza japp mimi hawa huwa siwahusishi na mambo ya kiroho zaidi ya kisiasa.
Kwani nani alituzuia mkuuelewa history yao kwanza kabla hujaleta mada. watu waliweza kutengeza meli karne 9 ndio hao unatulinganisha na sisi.Jitahidi kutafakari kwanza kabla kuandika.,Usikurupuke tu
Lipi aiseeMkuu hilo swala la kiroho ulishindwa kulithibitisha ujue?
Thibitisha kwamba kiroho ipo?Lipi aisee
Kiroho namaanisha ulimwengu wa imani. Ulimwengu wa uhakika wa visivyoonekana.Thibitisha kwamba kiroho ipo?