Wazazi wafundisheni watoto wenu kutii mamlaka

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Wazazi wenye watoto hususani vijana wa kiume bodada wafundisheni watoto wenu kutii mamlaka za serikali na vyombo vyake.

Enyi bodaboda msijifanye mna umoja kiasi cha kuvunja sheria za nchi shauri yenu.
 
Bodaboda ukizingua hata uwe na backup ya mabodaboda wenzio elfu tisini ukizingua serikali inauwezo wa kukunyatia kimyakimya wewe pekee yako ukiwa kwenu ukafinywa au kunyakuliwa na huna kitu utafanya. Don't mess with gvt ikitumia vyombo vyake kikamilifu kwà kufwata sheria !!!
 
Aisifuye mvua imemnyea. Umeingia anga zao nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…