Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisifuye mvua imemnyea. Umeingia anga zao nini?Bodaboda ukizingua hata uwe na backup ya mabodaboda wenzio elfu tisini ukizingua serikali inauwezo wa kukunyatia kimyakimya wewe pekee yako ukiwa kwenu ukafinywa au kunyakuliwa na huna kitu utafanya. Don't mess with gvt ikitumia vyombo vyake kikamilifu kwà kufwata sheria !!!