Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

Hizo nyama watuletee Gongo la mboto tuchomee tuagize na pombe tule
 
Unampaje mtu msaada na maelekezo ya jinsi ya kuutumia?
 
Pelekeni kwa watakatifu wenzenu hao Makafiri mnawapa misaada ya nini wakati hawamjui ALA?
 
Unampaje mtu msaada na maelekezo ya jinsi ya kuutumia?

Kuna maelekezo gani wamepewa zaidi ya kula!!!! Acheni kuwapakazia uongo,,,,hii co mara yakwanza waarabu/waturuki kugawa sadaka kwa masikini.


Yani nyie mna tabu sana,,mnadhani waarabu/waisilamu kama ninyi miongoni mwenu mnaojitoa mikafara kisa mpate utajiri!!! Hao wanahofu na Allah bwana
 
Jibu swali

Hamuna hoja za kubishana na waisilamu mkuu. Heri yao wamejitokeza kusaidia haijalishi waliowapatia imani gani hao wanafunzi, je kuna kanisa au waco waisilamu kutoka ulaya waliojitokeza kupeleka hata kuku pale? Narudia tena, hapo tatizo waarabu/uislamu. Hizo chuki hazitawasaidia chochote bali zinawaumiza na kuendelea kuwatesa. Poleni sana.


وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ


Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.


الحمد الله: وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ

Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?


الحمد الله: إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَمَاتُوا وَهُمْ كُفَّارٌ أُولَٰئِكَ عَلَيْهِمْ لَعْنَةُ اللَّهِ وَالْمَلَائِكَةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ

Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.


الحمد الله: خَالِدِينَ فِيهَا ۖ لَا يُخَفَّفُ عَنْهُمُ الْعَذَابُ وَلَا هُمْ يُنْظَرُونَ

Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika.


الحمد الله: وَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَٰنُ الرَّحِيمُ

Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
 
Nahis hii aya ilihususu watu wa nje na bongo. Maana kati ya nchi ambazo hazipendi makuu na watu kwenye mishe za iman bongo nayo imo mfano machinjio zote wanaochinja ni waislam na hujawai sikia wakristu au wapagani wa kibongo wakilalamika ya tumechukulia hio kama tamaduni
 
Leta takwimu acha kuongea kama demu anayeombwa mzigo..wewe mtu mzima naamini msomi..tunataka data sio kupwapwaja tu.

#MaendeleoHayanaChama
 

Mkuu hii aya inawahusu wote wasiyo waislamu.


Kwa hapa kwetu kuna wakristo wengi sana hawali nyamafu, kwa maana mpaka wachinjiwe na muislamu. Nchi zingine kama south afrika, ghana, angola n.k sifahamu.
 
Hao wazazi wanajitambua sana,Bora zingekua kuku ila sadaka ya ng'ombe,mbuzi au kondoo lazima iende na mtu
 
Hao wazazi wanajitambua sana,Bora zingekua kuku ila sadaka ya ng'ombe,mbuzi au kondoo lazima iende na mtu

Imani za kishirikina hizo,,,wale ni waarabu/waislamu hawana huo upumbafu wakutoana kafara kama walivyo wengine huku.
 
kuna
Naona kawachimba mkwara kwamba mchango wa chakula ni lazima ama la waruhusu watoto wale nyama.
mmoja katoa mawazo mazuri kuwa kama wao wema wabadilishe matumizi badala ya kula nyama kwa siku moja wawajengee ukuta nao ni kama hawataki.
haya ni mazingira inawezekana yakawa ya kafara na si lazima wafe watoto lakini nani anajua manuizo ya hiyo sadaka na mahusiano ya ardhi ya watoto wetu watakayogusa.
swala la kumwagika kwa damu si swala la kuchukulia masihara na kirahisi rahisi na hasa mji kama Arusha
 
Je chakula cha siku moja kitaongeza ufaulu... kwanini wasinge nunua vitabu maana mbuzi mmoja wanapata vitabu vitatu ... kwa idadi hiyo swala la vitabu lingekua historia shuleni ...
 
Ndio maana jamii imehusianisha msaada na ushirikina kwasababu hawakuona mantiki
 
Kwani wakilishwa hiyo sadaka ndio suluhu ya tatizo la njaa mashuleni. Watoto wetu wanageuzwa miungu.. sadaka hutolewa kwa miungu! Ipo ajenda ya Siri hapo. Why damu? Kwa Nini sio mahindi na maharage?
 
Je chakula cha siku moja kitaongeza ufaulu... kwanini wasinge nunua vitabu maana mbuzi mmoja wanapata vitabu vitatu ... kwa idadi hiyo swala la vitabu lingekua historia shuleni ...

Ndiyo maana nikasema kwa sababu wewe siyo muislamu huwezi juwa faida za sadaka/zakaa. Ukiingia kwenye uislamu ndiyo utajuwa yote ayo.

Suala la vitabu wajitokeze na wengine, au hata wewe apo umeona chakula siyo ishu wanunulie bac.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…