Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Jibu swaliMunajidhalilisha sana,,,,hapo tatizo uisilamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swaliMunajidhalilisha sana,,,,hapo tatizo uisilamu.
Unampaje mtu msaada na maelekezo ya jinsi ya kuutumia?Bado kuna washamba wengi mno Afrika [emoji16][emoji16] sasa nyama ina shida gani!!! Wa2 wanashida wanakula mlo mmoja kwa siku wao wanaringa, Wanafikiri wamekuja kwa nia mbaya, kuna watu wana imani potofu dahh.
Ndugu ze2 wamisry wawe makini sanaa kwa hawa viumbe wacojierewa, iyo mboga wanawapa lakinii nahofia wasiende kuitupa tuuu.
Pelekeni kwa watakatifu wenzenu hao Makafiri mnawapa misaada ya nini wakati hawamjui ALA?Mnachekesha na kujiaibisha [emoji16] ungelijuwa Tanzania ina waislamu wengi kuliko wakristo wala usingeongea haya. Pwani yote waislamu ni wengi kuliko wakristo, kwanzia dar, tanga na pwani yote kwa ujumla waislamu ni wengi. Kanda ya ziwa, Shinyanga, bukoba na Mwanza pia kuna waislamu wengi, labda vijijini huko bado bado wako kwenye sehemu ya ujinga kwa maana still hawakuuona ukweli.
Ukija kanda ya magharibi, Tabora, kigoma ina waislamu wengi sana
Ukija Singida ni balaa, waislamu ni wengi sana
Huko machame nackia waislamu ni wengi mno, ndugu yangu katika imani ata2pa ukweli maana ni mtu wa huko machame kimsboy
Znz ndiyo ucseme asilimia zaidi ya 90% ni waislamu
Kwa hesabu ya haraka, waislamu ni zaidi ya asilimia 70%, wakifuatiwa na wakristu, kisha wapagani.
Kweli kabisa, hapo tatizo ni waarabu,,,wangelikuwa wale makafiri wenzao wa ulaya wasingelalamika na kutokwa povu kiac hicho. Mungu awabariki sana waarabu, tuko nyuma yao kwa lolote dhidi ya hao wanaoupiga vita uislamu.
Unampaje mtu msaada na maelekezo ya jinsi ya kuutumia?
Pelekeni kwa watakatifu wenzenu hao Makafiri mnawapa misaada ya nini wakati hawamjui ALA?
Jibu swali
Kama kuna kuchangia chakula, wanunue vyakula kuwapunguzia mzigo wazazi. Faida ya wanyama kuchinjwa na kuliwa siku moja haipp.Sadaka hutaki na kuchangia "msosi" hutaki.. Teh teh teh
Nahis hii aya ilihususu watu wa nje na bongo. Maana kati ya nchi ambazo hazipendi makuu na watu kwenye mishe za iman bongo nayo imo mfano machinjio zote wanaochinja ni waislam na hujawai sikia wakristu au wapagani wa kibongo wakilalamika ya tumechukulia hio kama tamaduniوَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
Leta takwimu acha kuongea kama demu anayeombwa mzigo..wewe mtu mzima naamini msomi..tunataka data sio kupwapwaja tu.Mnachekesha na kujiaibisha [emoji16] ungelijuwa Tanzania ina waislamu wengi kuliko wakristo wala usingeongea haya. Pwani yote waislamu ni wengi kuliko wakristo, kwanzia dar, tanga na pwani yote kwa ujumla waislamu ni wengi. Kanda ya ziwa, Shinyanga, bukoba na Mwanza pia kuna waislamu wengi, labda vijijini huko bado bado wako kwenye sehemu ya ujinga kwa maana still hawakuuona ukweli.
Ukija kanda ya magharibi, Tabora, kigoma ina waislamu wengi sana
Ukija Singida ni balaa, waislamu ni wengi sana
Huko machame nackia waislamu ni wengi mno, ndugu yangu katika imani ata2pa ukweli maana ni mtu wa huko machame kimsboy
Znz ndiyo ucseme asilimia zaidi ya 90% ni waislamu
Kwa hesabu ya haraka, waislamu ni zaidi ya asilimia 70%, wakifuatiwa na wakristu, kisha wapagani.
Kweli kabisa, hapo tatizo ni waarabu,,,wangelikuwa wale makafiri wenzao wa ulaya wasingelalamika na kutokwa povu kiac hicho. Mungu awabariki sana waarabu, tuko nyuma yao kwa lolote dhidi ya hao wanaoupiga vita uislamu.
Nahis hii aya ilihususu watu wa nje na bongo. Maana kati ya nchi ambazo hazipendi makuu na watu kwenye mishe za iman bongo nayo imo mfano machinjio zote wanaochinja ni waislam na hujawai sikia wakristu au wapagani wa kibongo wakilalamika ya tumechukulia hio kama tamaduni
Kama kuna kuchangia chakula, wanunue vyakula kuwapunguzia mzigo wazazi. Faida ya wanyama kuchinjwa na kuliwa siku moja haipp.
Hao wazazi wanajitambua sana,Bora zingekua kuku ila sadaka ya ng'ombe,mbuzi au kondoo lazima iende na mtu
mmoja katoa mawazo mazuri kuwa kama wao wema wabadilishe matumizi badala ya kula nyama kwa siku moja wawajengee ukuta nao ni kama hawataki.Naona kawachimba mkwara kwamba mchango wa chakula ni lazima ama la waruhusu watoto wale nyama.
Je chakula cha siku moja kitaongeza ufaulu... kwanini wasinge nunua vitabu maana mbuzi mmoja wanapata vitabu vitatu ... kwa idadi hiyo swala la vitabu lingekua historia shuleni ...Hamuna hoja za kubishana na waisilamu mkuu. Heri yao wamejitokeza kusaidia haijalishi waliowapatia imani gani hao wanafunzi, je kuna kanisa au waco waisilamu kutoka ulaya waliojitokeza kupeleka hata kuku pale? Narudia tena, hapo tatizo waarabu/uislamu. Hizo chuki hazitawasaidia chochote bali zinawaumiza na kuendelea kuwatesa. Poleni sana.
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
الحمد الله: وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
الحمد الله: إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَمَاتُوا وَهُمْ كُفَّارٌ أُولَٰئِكَ عَلَيْهِمْ لَعْنَةُ اللَّهِ وَالْمَلَائِكَةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ
Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.
الحمد الله: خَالِدِينَ فِيهَا ۖ لَا يُخَفَّفُ عَنْهُمُ الْعَذَابُ وَلَا هُمْ يُنْظَرُونَ
Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika.
الحمد الله: وَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَٰنُ الرَّحِيمُ
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Ndio maana jamii imehusianisha msaada na ushirikina kwasababu hawakuona mantikiHamuna hoja za kubishana na waisilamu mkuu. Heri yao wamejitokeza kusaidia haijalishi waliowapatia imani gani hao wanafunzi, je kuna kanisa au waco waisilamu kutoka ulaya waliojitokeza kupeleka hata kuku pale? Narudia tena, hapo tatizo waarabu/uislamu. Hizo chuki hazitawasaidia chochote bali zinawaumiza na kuendelea kuwatesa. Poleni sana.
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
الحمد الله: وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
الحمد الله: إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَمَاتُوا وَهُمْ كُفَّارٌ أُولَٰئِكَ عَلَيْهِمْ لَعْنَةُ اللَّهِ وَالْمَلَائِكَةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ
Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.
الحمد الله: خَالِدِينَ فِيهَا ۖ لَا يُخَفَّفُ عَنْهُمُ الْعَذَابُ وَلَا هُمْ يُنْظَرُونَ
Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika.
الحمد الله: وَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَٰنُ الرَّحِيمُ
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
GT mada kama hizi huko emotional sana. Ingekuwa siyo ustaarabu wako ungeporomosha matusi ya nguoni na hatarii..Acha kua na fikra za kijinga wewe,Dunia ilisha endelea ila wewe bado unaishi na fikra za zama za mawe.
Kwani wakilishwa hiyo sadaka ndio suluhu ya tatizo la njaa mashuleni. Watoto wetu wanageuzwa miungu.. sadaka hutolewa kwa miungu! Ipo ajenda ya Siri hapo. Why damu? Kwa Nini sio mahindi na maharage?Ikumbukwe kuwa Wazungu wa Marekani pia wameshatoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya lishe mashuleni......
Hapo napo watazuka watu wa kudai hao ni Freemasons, wengine watasema hivyo vyakula vinaharibu akili za watoto!
Wakiambiwa kuchanga watoto wao wale wanasema eti, 'walimu watakula' hatuwezi kuchanga!
Watoto wanakaa na njaa kutwa mzima. Wakifeli walimu hawafanyi kazi!
Afrika is shit hole!
Je chakula cha siku moja kitaongeza ufaulu... kwanini wasinge nunua vitabu maana mbuzi mmoja wanapata vitabu vitatu ... kwa idadi hiyo swala la vitabu lingekua historia shuleni ...