Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

Wangepeleka pemba
 
Mtanda usilazimishe watu Kula Kafara. Wazazi wametoa wazo kama ni msaada pelekeni fedha taslimu hawataki hizo Kafara zenu. Unayempa msaada akikataa unampiga mkwara? Si ndo ataona dhamiri yako ni ovu dhidi yake? Said Acha udini kama wamekataa ungerudi siku nyingine kutoa hayo maelekezo yako lakini kuwaambia Wazazi hapo hapo kwamba wasipopokea Kafara basi wachange chakula vinginevyo wakamatwe huo ni Udikiteta uliozoea. Kumbuka hapo siyo Rukwa ulikozoea kuitiliwa NDIYO MZEE hata ukiwaonea, hao wanajitambua.
 
Kiroho wako sahihi kabisa roho 135 damu yake inaenda kumwagika
Mchawi mstaafu 😁😁😁😁😁😁umesema kuhusu damu kumwagika ila kuna mengi hujasema. Hujasema relation ya damu kumwagika na sadaka. Hujasema kuhusu kuinenena damu n.k.
 
wabongo wengi wao wjuaji sana lakini kichwani zero .
 
Sio kila MTU anakula Nyama ya kondoo wengine wana aleji wanapata majipu. Nashauri wauze hiyo mifugo waweke hiyo pesa kwenye account ya shule inunuliwe maharage na Michele na mafuta watoto wapikiwe
 

Huyo SAID ndiye anajielewa,,,hao wengine ni vichekesho.,,,hii nchi inavituko sana,,,,bado wana mambo yakizamani,,,,, Mwarabu/Muisilamu afanye huo ushenzi kweli!!!!! Wangelikuwa makafiri wa kizungu wangehoji hayo!!!!!!!



Wamisry Mungu awabariki sana,,ninyi ni ndugu zetu katika imani, tunawapenda sana. Ushauri wangu tuuu, hiyo sadaka pelekeni misikitini na kwa yatima. Hao achaneninao na walaa musiwabembekeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…