Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Sahihi kabisa mkuuTena waangalie na utamaduni pamoja na imani ya jamii husika kabla ya kupeleka misaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa mkuuTena waangalie na utamaduni pamoja na imani ya jamii husika kabla ya kupeleka misaada
Sawa. Huna ujualo!Kajifundishe kuandika kwanza kisha njoo tena umtetee huyo bosi wako.
Wangepeleka pembaWazazi katika shule ya msingi Baraa iliyopo katika halmashauri ya jiji la Arusha,wamekataa sadaka ya kuchinja ,Mbuzi , Kondoo na Ng'ombe zipatazo 135 zilizotolewa msaada Kwa ajili ya kitoweo cha nyama Kwa wanafunzi wa shule hiyo ,wakidai msaada huo unalenga kuwatoa kafara watoto wao.
Msaada huo ambao ulikuwa utolewe tangu ijumaa ya wiki iliyopita na taasisi ya dini ya kiislamu ya Khair Elkhaleej company LTD ya nchini Misri,ulizua taharuki Katika shule hiyo baada ya wazazi hao kushuhudia Lori lililokuwa limebeba Mbuzi ,Kondoo,Ng'ombe na magunia ya mchele Kwa ajili ya kuwapikia chakula wanafunzi hao .
Wakiongea katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na Mkuu wa wilaya ya Arusha ,Said Mtanda ,katika shule hiyo baadhi ya wazazi hao,Monica Meja , Ibrahim Mollel na Godface Godwin walimweleza mkuu huyo wa wilaya ya kwamba hawahitaji msaada huo kwani wamekuwa na hofu juu ya msaada huo kuwa watoto wao kudhulika .
"Sisi wazazi tumekuwa na wasiwasi baada ya kuambiwa kuwa kuna mifugo inakuja kuchinjwa hapa shuleni Kwa ajili ya kitoweo kwa wanafunzi ,jambo hili tulipaswa tujulishwe mapema maana hatuna uhakika wa afya za watoto wetu "alisema Monica Meja.
Naye Mzazi mwingine, Godface Godwin alisema suala la kiimani linahitahi ufafanuzi mkubwa Kwa sababu wanaotoa msaada wanaimani yao na sisi hapa tunaimani yetu ndio maana tunahofu na msaada wao ukizingatia kwamba wanyama watakaochinjwa watahitaji kuombewa.
Naye Ibrahim Mollel ambaye ni Mzazi na mwananchi wa kata ya Baraa aliitaka.taasisi hiyo kuubadilisha msaada huo badala.ya kutoa sadaka ya nyama badala yake wajenge ukuta kuzunguka shule hiyo.
"Mheshimiwa mkuu wa wilaya sisi kama wazazi tumekuwa na hofu juu ya msaada huo wa nyama Kwa watoto wetu unaotokewa na wahisani ,tunawaomba wakabadilisha hii sadaka watujengee uzio katika shule yetu,wauze hiyo mifugo Kwa sababu watoto wetu wakija kula wakazulika itakuwa shida sana''alisema
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya Said Mtanda aliwatoa hofu wananchi hao Kwa kuwaeleza kwamba wasiwe na wasiwasi Kwa sababu amejiridhisha pasipo shaka kwamba msaada huo ni salama na hauna hofu na maisha ya watu.
Mtanda aliwasihi wananchi hao kupokea msaada huo hao shuleni kwa ajili ya chakula Cha watoto wao kwani ameelekeza mifugo hiyo ichinjwe katika machinjio ya halmashauri na serikali ndio itagawa hizo nyama katika shule zilizoelekezwa za jiji la Arusha.
"Kwa sababu mmekuwa na mashala na msaada huu, mimi sijaja hapa kuwalazimisha mpokee Ila kama hamtaki basi, utaelekezwa Kwa wengine wenye uhitaji Ila suala la kuchangia chakula shuleni ni lazima "alisema Mtanda.
Aidha aliongeza Kwa kutoa maelekezo Kwa wazazi wasiotaka kuchangia wakamatwe na kufikishwa kituo Cha polisi.
Mwakilishi wa Taasisi ya Khair Elkhaleej company LTD hapa nchini ,Jamar Waziri alisema taasisi hiyo imekuwa na utaratibu wa kutoa msaada katika nchi mbalimbali kupitia mashule.
Alisema taratibu zao ni kununua mifugo na kuitoka sadaka ya nyama kwenye shule mbalimbali na katika shule za jiji la Arusha walipanga kuchinja mbuzi na Kondoo zipatazo135 ,Ng'ombe,mchele kilo 400,mafuta na Kuni Kwa wanafunzi zaidi ya 2000 katika shule ya Baraa
"Wananchi wamekuwa na hofu wakifikiria watoto wao wanakuja kutolewa kafara na baadhi ya wazazi wakajikuta wakizuia watoto wao wasije shuleni "alisema
Alifafanua kwamba taasisi yao makao yake makuu yapi Egpty nchini Misri na imekuwa ikijohusisha kutoa misaada katika matawi yake ikiwemo Nchi ya Tanzania na Malawi.
Naye Diwani wa kata ya Baraa,Jacob Mollel alisema kuwa msaada huo ulifika katika Kata yake ijumaa iliyopita lakini aliamuru kusitishwa baada ya wazazi kuibuka mashala na msaada huo.
Akiongea katika kikao hicho Leo alisema baadhi ya wazazi wameelimishwa na kukubali kupokea msaada huo laikini baadhi yao bado wanamashaka jambo ambalo aliwasihi wazazi hao kuondoa shaka juu ya wahisani hao kwani wamekubali pia kusaidia katika nyanja mbalimbali za maendeleo katika shule hiyo.
Ends.....
Mtanda usilazimishe watu Kula Kafara. Wazazi wametoa wazo kama ni msaada pelekeni fedha taslimu hawataki hizo Kafara zenu. Unayempa msaada akikataa unampiga mkwara? Si ndo ataona dhamiri yako ni ovu dhidi yake? Said Acha udini kama wamekataa ungerudi siku nyingine kutoa hayo maelekezo yako lakini kuwaambia Wazazi hapo hapo kwamba wasipopokea Kafara basi wachange chakula vinginevyo wakamatwe huo ni Udikiteta uliozoea. Kumbuka hapo siyo Rukwa ulikozoea kuitiliwa NDIYO MZEE hata ukiwaonea, hao wanajitambua.Wazazi katika shule ya msingi Baraa iliyopo katika halmashauri ya jiji la Arusha,wamekataa sadaka ya kuchinja ,Mbuzi , Kondoo na Ng'ombe zipatazo 135 zilizotolewa msaada Kwa ajili ya kitoweo cha nyama Kwa wanafunzi wa shule hiyo ,wakidai msaada huo unalenga kuwatoa kafara watoto wao.
Msaada huo ambao ulikuwa utolewe tangu ijumaa ya wiki iliyopita na taasisi ya dini ya kiislamu ya Khair Elkhaleej company LTD ya nchini Misri,ulizua taharuki Katika shule hiyo baada ya wazazi hao kushuhudia Lori lililokuwa limebeba Mbuzi ,Kondoo,Ng'ombe na magunia ya mchele Kwa ajili ya kuwapikia chakula wanafunzi hao .
Wakiongea katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na Mkuu wa wilaya ya Arusha ,Said Mtanda ,katika shule hiyo baadhi ya wazazi hao,Monica Meja , Ibrahim Mollel na Godface Godwin walimweleza mkuu huyo wa wilaya ya kwamba hawahitaji msaada huo kwani wamekuwa na hofu juu ya msaada huo kuwa watoto wao kudhulika .
"Sisi wazazi tumekuwa na wasiwasi baada ya kuambiwa kuwa kuna mifugo inakuja kuchinjwa hapa shuleni Kwa ajili ya kitoweo kwa wanafunzi ,jambo hili tulipaswa tujulishwe mapema maana hatuna uhakika wa afya za watoto wetu "alisema Monica Meja.
Naye Mzazi mwingine, Godface Godwin alisema suala la kiimani linahitahi ufafanuzi mkubwa Kwa sababu wanaotoa msaada wanaimani yao na sisi hapa tunaimani yetu ndio maana tunahofu na msaada wao ukizingatia kwamba wanyama watakaochinjwa watahitaji kuombewa.
Naye Ibrahim Mollel ambaye ni Mzazi na mwananchi wa kata ya Baraa aliitaka.taasisi hiyo kuubadilisha msaada huo badala.ya kutoa sadaka ya nyama badala yake wajenge ukuta kuzunguka shule hiyo.
"Mheshimiwa mkuu wa wilaya sisi kama wazazi tumekuwa na hofu juu ya msaada huo wa nyama Kwa watoto wetu unaotokewa na wahisani ,tunawaomba wakabadilisha hii sadaka watujengee uzio katika shule yetu,wauze hiyo mifugo Kwa sababu watoto wetu wakija kula wakazulika itakuwa shida sana''alisema
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya Said Mtanda aliwatoa hofu wananchi hao Kwa kuwaeleza kwamba wasiwe na wasiwasi Kwa sababu amejiridhisha pasipo shaka kwamba msaada huo ni salama na hauna hofu na maisha ya watu.
Mtanda aliwasihi wananchi hao kupokea msaada huo hao shuleni kwa ajili ya chakula Cha watoto wao kwani ameelekeza mifugo hiyo ichinjwe katika machinjio ya halmashauri na serikali ndio itagawa hizo nyama katika shule zilizoelekezwa za jiji la Arusha.
"Kwa sababu mmekuwa na mashala na msaada huu, mimi sijaja hapa kuwalazimisha mpokee Ila kama hamtaki basi, utaelekezwa Kwa wengine wenye uhitaji Ila suala la kuchangia chakula shuleni ni lazima "alisema Mtanda.
Aidha aliongeza Kwa kutoa maelekezo Kwa wazazi wasiotaka kuchangia wakamatwe na kufikishwa kituo Cha polisi.
Mwakilishi wa Taasisi ya Khair Elkhaleej company LTD hapa nchini ,Jamar Waziri alisema taasisi hiyo imekuwa na utaratibu wa kutoa msaada katika nchi mbalimbali kupitia mashule.
Alisema taratibu zao ni kununua mifugo na kuitoka sadaka ya nyama kwenye shule mbalimbali na katika shule za jiji la Arusha walipanga kuchinja mbuzi na Kondoo zipatazo135 ,Ng'ombe,mchele kilo 400,mafuta na Kuni Kwa wanafunzi zaidi ya 2000 katika shule ya Baraa
"Wananchi wamekuwa na hofu wakifikiria watoto wao wanakuja kutolewa kafara na baadhi ya wazazi wakajikuta wakizuia watoto wao wasije shuleni "alisema
Alifafanua kwamba taasisi yao makao yake makuu yapi Egpty nchini Misri na imekuwa ikijohusisha kutoa misaada katika matawi yake ikiwemo Nchi ya Tanzania na Malawi.
Naye Diwani wa kata ya Baraa,Jacob Mollel alisema kuwa msaada huo ulifika katika Kata yake ijumaa iliyopita lakini aliamuru kusitishwa baada ya wazazi kuibuka mashala na msaada huo.
Akiongea katika kikao hicho Leo alisema baadhi ya wazazi wameelimishwa na kukubali kupokea msaada huo laikini baadhi yao bado wanamashaka jambo ambalo aliwasihi wazazi hao kuondoa shaka juu ya wahisani hao kwani wamekubali pia kusaidia katika nyanja mbalimbali za maendeleo katika shule hiyo.
Ends.....
Swali zuri.Huo msaada utakua kila siku?
Sadaka ya nyama ina madhumuni ya kiimani kuliko ukuta au darasa. Wazazi wamegoma kushiriki Imani wasiyoijua.Wazazi wana akili sana, Kama wanatoa msaada wawajengee ukuta na sio kuwapa nyama. Nyama ya nini?
We ni mjanja na mwerevu Sana. Hongera na kuwa na siku njema ila haipindishi ukweli.We ni mpumbavu Sana
Nani kala? Mimi nile nyama ya msaada?Mbona mnapokea na kuendelea kula? Gomeni tujuee hamtaki basi.
Mchawi mstaafu 😁😁😁😁😁😁umesema kuhusu damu kumwagika ila kuna mengi hujasema. Hujasema relation ya damu kumwagika na sadaka. Hujasema kuhusu kuinenena damu n.k.Kiroho wako sahihi kabisa roho 135 damu yake inaenda kumwagika
Shavu kwa nyama ya siku moja? Umaskini ni mbaya sanaKwani wewe unapewa msaada kila siku?
Acheni imani potofu wacha watoto "watoe shavu".
Hii haipindishi ukweli. Utabaki kiwa ukweli wewe maamuma hata kama utatukana.Acha kuwa mawazo ya kipumbavu mkuu
Sio kila MTU anakula Nyama ya kondoo wengine wana aleji wanapata majipu. Nashauri wauze hiyo mifugo waweke hiyo pesa kwenye account ya shule inunuliwe maharage na Michele na mafuta watoto wapikiweWazazi katika shule ya msingi Baraa iliyopo katika halmashauri ya jiji la Arusha,wamekataa sadaka ya kuchinja ,Mbuzi , Kondoo na Ng'ombe zipatazo 135 zilizotolewa msaada Kwa ajili ya kitoweo cha nyama Kwa wanafunzi wa shule hiyo ,wakidai msaada huo unalenga kuwatoa kafara watoto wao.
Msaada huo ambao ulikuwa utolewe tangu ijumaa ya wiki iliyopita na taasisi ya dini ya kiislamu ya Khair Elkhaleej company LTD ya nchini Misri,ulizua taharuki Katika shule hiyo baada ya wazazi hao kushuhudia Lori lililokuwa limebeba Mbuzi ,Kondoo,Ng'ombe na magunia ya mchele Kwa ajili ya kuwapikia chakula wanafunzi hao .
Wakiongea katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na Mkuu wa wilaya ya Arusha ,Said Mtanda ,katika shule hiyo baadhi ya wazazi hao,Monica Meja , Ibrahim Mollel na Godface Godwin walimweleza mkuu huyo wa wilaya ya kwamba hawahitaji msaada huo kwani wamekuwa na hofu juu ya msaada huo kuwa watoto wao kudhulika .
"Sisi wazazi tumekuwa na wasiwasi baada ya kuambiwa kuwa kuna mifugo inakuja kuchinjwa hapa shuleni Kwa ajili ya kitoweo kwa wanafunzi ,jambo hili tulipaswa tujulishwe mapema maana hatuna uhakika wa afya za watoto wetu "alisema Monica Meja.
Naye Mzazi mwingine, Godface Godwin alisema suala la kiimani linahitahi ufafanuzi mkubwa Kwa sababu wanaotoa msaada wanaimani yao na sisi hapa tunaimani yetu ndio maana tunahofu na msaada wao ukizingatia kwamba wanyama watakaochinjwa watahitaji kuombewa.
Naye Ibrahim Mollel ambaye ni Mzazi na mwananchi wa kata ya Baraa aliitaka.taasisi hiyo kuubadilisha msaada huo badala.ya kutoa sadaka ya nyama badala yake wajenge ukuta kuzunguka shule hiyo.
"Mheshimiwa mkuu wa wilaya sisi kama wazazi tumekuwa na hofu juu ya msaada huo wa nyama Kwa watoto wetu unaotokewa na wahisani ,tunawaomba wakabadilisha hii sadaka watujengee uzio katika shule yetu,wauze hiyo mifugo Kwa sababu watoto wetu wakija kula wakazulika itakuwa shida sana''alisema
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya Said Mtanda aliwatoa hofu wananchi hao Kwa kuwaeleza kwamba wasiwe na wasiwasi Kwa sababu amejiridhisha pasipo shaka kwamba msaada huo ni salama na hauna hofu na maisha ya watu.
Mtanda aliwasihi wananchi hao kupokea msaada huo hao shuleni kwa ajili ya chakula Cha watoto wao kwani ameelekeza mifugo hiyo ichinjwe katika machinjio ya halmashauri na serikali ndio itagawa hizo nyama katika shule zilizoelekezwa za jiji la Arusha.
"Kwa sababu mmekuwa na mashala na msaada huu, mimi sijaja hapa kuwalazimisha mpokee Ila kama hamtaki basi, utaelekezwa Kwa wengine wenye uhitaji Ila suala la kuchangia chakula shuleni ni lazima "alisema Mtanda.
Aidha aliongeza Kwa kutoa maelekezo Kwa wazazi wasiotaka kuchangia wakamatwe na kufikishwa kituo Cha polisi.
Mwakilishi wa Taasisi ya Khair Elkhaleej company LTD hapa nchini ,Jamar Waziri alisema taasisi hiyo imekuwa na utaratibu wa kutoa msaada katika nchi mbalimbali kupitia mashule.
Alisema taratibu zao ni kununua mifugo na kuitoka sadaka ya nyama kwenye shule mbalimbali na katika shule za jiji la Arusha walipanga kuchinja mbuzi na Kondoo zipatazo135 ,Ng'ombe,mchele kilo 400,mafuta na Kuni Kwa wanafunzi zaidi ya 2000 katika shule ya Baraa
"Wananchi wamekuwa na hofu wakifikiria watoto wao wanakuja kutolewa kafara na baadhi ya wazazi wakajikuta wakizuia watoto wao wasije shuleni "alisema
Alifafanua kwamba taasisi yao makao yake makuu yapi Egpty nchini Misri na imekuwa ikijohusisha kutoa misaada katika matawi yake ikiwemo Nchi ya Tanzania na Malawi.
Naye Diwani wa kata ya Baraa,Jacob Mollel alisema kuwa msaada huo ulifika katika Kata yake ijumaa iliyopita lakini aliamuru kusitishwa baada ya wazazi kuibuka mashala na msaada huo.
Akiongea katika kikao hicho Leo alisema baadhi ya wazazi wameelimishwa na kukubali kupokea msaada huo laikini baadhi yao bado wanamashaka jambo ambalo aliwasihi wazazi hao kuondoa shaka juu ya wahisani hao kwani wamekubali pia kusaidia katika nyanja mbalimbali za maendeleo katika shule hiyo.
Ends.....
Kaa pembeni punguani wewe.Sawa. Huna ujualo!
Bosi maana yake nini!?
Shavu kwa nyama ya siku moja? Umaskini ni mbaya sana
Kula nyama acha mbwembweHii haipindishi ukweli. Utabaki kiwa ukweli wewe maamuma hata kama utatukana.
Wenzio wanakula sana acha mbwembweNani kala? Mimi nile nyama ya msaada?
Wamesema hawataki nyama, wanataka ukutaSijaona ajabu kwenye hilo suala la msaada wa Nyama maana Tanzania ni nchi Omba Omba tokea ipate uhuru..
Wangekula usingekuja kutema povu humu, hizo nyama si mpeleke madrassa mle vizuri?Wenzio wanakula sana acha mbwembwe
Wazazi katika shule ya msingi Baraa iliyopo katika halmashauri ya jiji la Arusha, wamekataa sadaka ya kuchinja, Mbuzi, Kondoo na Ng'ombe zipatazo 135 zilizotolewa msaada Kwa ajili ya kitoweo cha nyama Kwa wanafunzi wa shule hiyo, wakidai msaada huo unalenga kuwatoa kafara watoto wao.
Msaada huo ambao ulikuwa utolewe tangu Ijumaa ya wiki iliyopita na taasisi ya dini ya kiislamu ya Khair Elkhaleej company LTD ya nchini Misri,ulizua taharuki Katika shule hiyo baada ya wazazi hao kushuhudia Lori lililokuwa limebeba Mbuzi ,Kondoo,Ng'ombe na magunia ya mchele Kwa ajili ya kuwapikia chakula wanafunzi hao .