Kwahiyo tunavyotoa sadaka kila jumapili kanisani hili suala lina waafect wenzetu waislam?Ilishakudhuru ndiomaana huoni madhara, effect moja wapo ni hivi huna akili tena za kuchambua Mambo.
Suala la sadaka lina affect pande zote mbili,kwa mtowaji na mtolewaji, haijarishi unaamini au huamini.
Hakuna cha bure
kwanini hizo mbuzi zisitolewe nzima nzima kwa hiyo shule na shule ikawa na mradi wake wa kufuga mbuzi..
Kule machame kila jumapili kanisani tunakwenda na mahindi , mbuzi, mikungu ya ndizi na kahawa kama sadaka sasa kuna tofauti gani na hii mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni tafsiri ya jamii yenyewe. Kuna jamii zinaiman kuwa sadaka ya kuchinja inaweza kuwa ni kafara kwa watu baadae, ndio kama hao wananchi sasa.hapo had waelimishwe kwanza
😂😂😂Tatizo ni tafsiri ya jamii yenyewe. Kuna jamii zinaiman kuwa sadaka ya kuchinja inaweza kuwa ni kafara kwa watu baadae, ndio kama hao wananchi sasa.hapo had waelimishwe kwanza
Hawana akili chembe moja.Wazazi wana akili sana, Kama wanatoa msaada wawajengee ukuta na sio kuwapa nyama. Nyama ya nini?
Sadaka huwa inaendana na madhabahu. Pia sadaka huwa inaendana na kunenewa.Hata mimi nawaunga mkono wazazi. Wangebadikisha kuwa pesa ila wao hawataki kwa sababu wanajua wafanyavyo. Sadaka huwa inaendana na madhabahu. Pia sadaka huwa inaendana na kunenewa. Wanataka wawapandikize watoto wa watu mapepo hao hamna lolote. Wenzao wameshtuka.
Warabu wameanzisha kafara ya Kujenga ukuta kwahiyo wakipokea hiyo sadaka wakajenga ukuta imekula kwao [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]. Asee hapa duniani omba maarifa na kujitambua ujinga/ upumbavu ni mzigo.Hawana akili chembe moja.
Kama hofu ni KAFARA huo ukuta hauwezi kutumika kwenye hiyo KAFARA?
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Shida ipo ktk Nia ya sadaka ni Nini?
Amenuia nn katk sadaka aliyoitoa,
Kaiombea kitu gani sadaka anayoitoa, anatoa sadaka kwa Mungu yupi, na wewe una amini Mungu yupi
Haya mambo ya kiroho Yana vitu vingi Sana.
Sadaka inauwezo wa kuongea, Ina uwezo wa kukufunga au kukufunga, sadaka inaweza kukupa laana Kama usipo toa kikamilifu.
Sadaka inaweza mfuatilia mtu popote alipo, Yan Mungu naomba huyu mtu au huu mtaa ukujue Wewe, hofu ya Mungu iwepo.
Au wale wanao enda kuabudu miungu mingine upande wa giza, mtu anaweza funga mtaa mzima kwa tambiko alilofanya na pasipo kujua akawapa watu nyama aliyo ichinja ktk sadaka, na wewe akakuunganisha ktk sadaka Yake pasipo kujua.
Sadaka Ni Jambo la kiroho Kwanza kabla halijawa kimwili.
Mpokea sadaka ni Mungu yupi.
Mm nimeona sadaka ikifanya kazi.
Ktk sadaka, Ina madhabahu, Ina Mungu wa madhabahu, nk.
Sasa lazima rohoni uwe active kidogo, mfano Kama unapita mahali pagumu, na Mungu akainua wa imani nyingine akusaidie, usiseme sitakiwi , piga magoti uombe ili Mungu akujulishe huu msaada ni wake or not, CZ Mungu anaweza pita kwa yeyote yule Ili kuvusha watu wake. Na Mungu hajafungiwa ktk box kuwa lazima msaada utoke kwa imani yako tu.
Bt ktk Hilo swala la kutoa nyama Kama sadaka siafiki hata mm, imani hairuhusu kula sadaka
Zaka ni aina ya sadaka ambayo ni sehemu ya 10 ya mapato yako.Sadaka huwa inaendana na madhabahu. Pia sadaka huwa inaendana na kunenewa.
Nilichokigundua baada ya kusoma comments nyingi humu ni tafsiri na uwelewa wa hayo maneno baina ya watu wa mirengo tofauti.
Mirengo wa upande uliotaka kutoa sadaka/msaada, hakuna tafsiri hiyo.
Tujuavyo msaada hutolewa kwa wahitaji hasa wa wakati huo, lakini sadaka hutolewa kwa wahitaji na wasio wahitaji.
Na sadaka si lazima iwe kitu, kuondoa uchafu njiani ni sadaka, kumwambia maneno mazuri mwenzako ni sadaka, kumuongoza njia mwenzako ni sadaka, kupatanisha wanaogombana ni sadaka na kama hayo.
Wakati mwengine SADAKA inaitwa ZAKA ndogo.
Kwa tafsiri ya Kibiblia unaweza ukawa sahihi kama sadaka na ilivyoongelewa na wengi.Zaka ni aina ya sadaka ambayo ni sehemu ya 10 ya mapato yako.
Hicho wanachokiogopa si kitahamishiwa huko wasikokuwa na mashaka nako? Kwa hiyo watakuwa hajakimbia bado.Warabu wameanzisha kafara ya Kujenga ukuta kwahiyo wakipokea hiyo sadaka wakajenga ukuta imekula kwao [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]. Asee hapa duniani omba maarifa na kujitambua ujinga/ upumbavu ni mzigo.
Hii ndo AfrikaHicho wanachokiogopa si kitahamishiwa huko wasikokuwa na mashaka nako? Kwa hiyo watakuwa hajakimbia bado.
Au unadhani KAFARA ni lazima kuchinja tu.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Safi sana kwa kutaa..hizo sadaka na ibada za hao waabudu majini..kama wanatoa misaada wajenge ukuta au madarasa na maktaba..huo ndio masaada wenye tija..sio nyama kesho waende chooni kunya..huku wakiachiwa majini.
#MaendeleoHayanaChama
Hicho wanachokiogopa si kitahamishiwa huko wasikokuwa na mashaka nako? Kwa hiyo watakuwa hajakimbia bado.
Au unadhani KAFARA ni lazima kuchinja tu.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Inatisha.
👇🏿Fikra za kinafiki na kimasikini sana
Acha misaada mbona wananunua kila siku nyama mabuchani?
Halafu watoto wao hao hao wanachanjwa na kupewa madawa je huwa wanahoji madhara na faida zake?
Naona hapo ni udini zaidi hakuna kingine ila wana maamuzi yao pia
Sadaka yoyote huwa ina mahusiano na imani, inategemea aliyetoa anakuwa na malengo yapi