Shida ipo ktk Nia ya sadaka ni Nini?
Amenuia nn katk sadaka aliyoitoa,
Kaiombea kitu gani sadaka anayoitoa, anatoa sadaka kwa Mungu yupi, na wewe una amini Mungu yupi
Haya mambo ya kiroho Yana vitu vingi Sana.
Sadaka inauwezo wa kuongea, Ina uwezo wa kukufunga au kukufunga, sadaka inaweza kukupa laana Kama usipo toa kikamilifu.
Sadaka inaweza mfuatilia mtu popote alipo, Yan Mungu naomba huyu mtu au huu mtaa ukujue Wewe, hofu ya Mungu iwepo.
Au wale wanao enda kuabudu miungu mingine upande wa giza, mtu anaweza funga mtaa mzima kwa tambiko alilofanya na pasipo kujua akawapa watu nyama aliyo ichinja ktk sadaka, na wewe akakuunganisha ktk sadaka Yake pasipo kujua.
Sadaka Ni Jambo la kiroho Kwanza kabla halijawa kimwili.
Mpokea sadaka ni Mungu yupi.
Mm nimeona sadaka ikifanya kazi.
Ktk sadaka, Ina madhabahu, Ina Mungu wa madhabahu, nk.
Sasa lazima rohoni uwe active kidogo, mfano Kama unapita mahali pagumu, na Mungu akainua wa imani nyingine akusaidie, usiseme sitakiwi , piga magoti uombe ili Mungu akujulishe huu msaada ni wake or not, CZ Mungu anaweza pita kwa yeyote yule Ili kuvusha watu wake. Na Mungu hajafungiwa ktk box kuwa lazima msaada utoke kwa imani yako tu.
Bt ktk Hilo swala la kutoa nyama Kama sadaka siafiki hata mm, imani hairuhusu kula sadaka