Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

Ilishakudhuru ndiomaana huoni madhara, effect moja wapo ni hivi huna akili tena za kuchambua Mambo.

Suala la sadaka lina affect pande zote mbili,kwa mtowaji na mtolewaji, haijarishi unaamini au huamini.

Hakuna cha bure
Kwahiyo tunavyotoa sadaka kila jumapili kanisani hili suala lina waafect wenzetu waislam?
 
kwanini hizo mbuzi zisitolewe nzima nzima kwa hiyo shule na shule ikawa na mradi wake wa kufuga mbuzi..

Kwa sababu wewe siyo muisilamu huwezi juwa nini maana ya sadaka. Hao wamisry/waturuki wanajuwa wanachokifanya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni tafsiri ya jamii yenyewe. Kuna jamii zinaiman kuwa sadaka ya kuchinja inaweza kuwa ni kafara kwa watu baadae, ndio kama hao wananchi sasa.hapo had waelimishwe kwanza
Kule machame kila jumapili kanisani tunakwenda na mahindi , mbuzi, mikungu ya ndizi na kahawa kama sadaka sasa kuna tofauti gani na hii mkuu?
 
😂😂😂Tatizo ni tafsiri ya jamii yenyewe. Kuna jamii zinaiman kuwa sadaka ya kuchinja inaweza kuwa ni kafara kwa watu baadae, ndio kama hao wananchi sasa.hapo had waelimishwe kwanza

Mackini ya mungu hawaelewi,,,wakuwaonea huruma hawa viumbe
 
Wazazi wana akili sana, Kama wanatoa msaada wawajengee ukuta na sio kuwapa nyama. Nyama ya nini?
Hawana akili chembe moja.
Kama hofu ni KAFARA huo ukuta hauwezi kutumika kwenye hiyo KAFARA?
 
“Lakini mtu akiwaambia, Kitu hiki kimetolewa kiwe sadaka, msile, kwa ajili yake yeye aliyeonyesha, na kwa ajili ya dhamiri.

— 1 Wakorintho 10:28

Kitu kikitolewa Kama sadaka (Christian) hatakiw kula, Kila mtu aheshimu imani ya mtu.
Wapo sahihi kwa imani yao. Ng'ombe 135 nimesoma hii habari nimecheka.

Ili kuondoa utata wapeleke kwa vituo vya watoto Yatima ambavyo vipo kwenye nyumba zao za ibada au wapeleke ktk nyumba wanazo abudu CZ Kuna wahitaji ambapo ni mahali sahihi kabisa.

Lakin hao wazazi wana imani tofauti na watoaj sadaka, hawawez kubali, CZ imani hairuhusu.

Tena mtaa wenyewe baraa aha h ah Kuna sehemu za maombi na wanafundishwa hawawez kubali.
Tunapendana sisi wote Ni wa Tz ila kwenye imani tukubaliane hatuwez fanana ktk vitu vingi, cha muhimu ni Kila mtu aheshimu imani ya mwenzie.
 
Hata mimi nawaunga mkono wazazi. Wangebadikisha kuwa pesa ila wao hawataki kwa sababu wanajua wafanyavyo. Sadaka huwa inaendana na madhabahu. Pia sadaka huwa inaendana na kunenewa. Wanataka wawapandikize watoto wa watu mapepo hao hamna lolote. Wenzao wameshtuka.
Sadaka huwa inaendana na madhabahu. Pia sadaka huwa inaendana na kunenewa.

Nilichokigundua baada ya kusoma comments nyingi humu ni tafsiri na uwelewa wa hayo maneno baina ya watu wa mirengo tofauti.
Mirengo wa upande uliotaka kutoa sadaka/msaada, hakuna tafsiri hiyo.
Tujuavyo msaada hutolewa kwa wahitaji hasa wa wakati huo, lakini sadaka hutolewa kwa wahitaji na wasio wahitaji.

Na sadaka si lazima iwe kitu, kuondoa uchafu njiani ni sadaka, kumwambia maneno mazuri mwenzako ni sadaka, kumuongoza njia mwenzako ni sadaka, kupatanisha wanaogombana ni sadaka na kama hayo.
Wakati mwengine SADAKA inaitwa ZAKA ndogo.
 
Safi sana kwa kutaa..hizo sadaka na ibada za hao waabudu majini..kama wanatoa misaada wajenge ukuta au madarasa na maktaba..huo ndio masaada wenye tija..sio nyama kesho waende chooni kunya..huku wakiachiwa majini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hawana akili chembe moja.
Kama hofu ni KAFARA huo ukuta hauwezi kutumika kwenye hiyo KAFARA?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Warabu wameanzisha kafara ya Kujenga ukuta kwahiyo wakipokea hiyo sadaka wakajenga ukuta imekula kwao [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]. Asee hapa duniani omba maarifa na kujitambua ujinga/ upumbavu ni mzigo.
 
Shida ipo ktk Nia ya sadaka ni Nini?

Amenuia nn katk sadaka aliyoitoa,
Kaiombea kitu gani sadaka anayoitoa, anatoa sadaka kwa Mungu yupi, na wewe una amini Mungu yupi
Haya mambo ya kiroho Yana vitu vingi Sana.

Sadaka inauwezo wa kuongea, Ina uwezo wa kukufunga au kukufunga, sadaka inaweza kukupa laana Kama usipo toa kikamilifu.

Sadaka inaweza mfuatilia mtu popote alipo, Yan Mungu naomba huyu mtu au huu mtaa ukujue Wewe, hofu ya Mungu iwepo.

Au wale wanao enda kuabudu miungu mingine upande wa giza, mtu anaweza funga mtaa mzima kwa tambiko alilofanya na pasipo kujua akawapa watu nyama aliyo ichinja ktk sadaka, na wewe akakuunganisha ktk sadaka Yake pasipo kujua.

Sadaka Ni Jambo la kiroho Kwanza kabla halijawa kimwili.
Mpokea sadaka ni Mungu yupi.
Mm nimeona sadaka ikifanya kazi.
Ktk sadaka, Ina madhabahu, Ina Mungu wa madhabahu, nk.

Sasa lazima rohoni uwe active kidogo, mfano Kama unapita mahali pagumu, na Mungu akainua wa imani nyingine akusaidie, usiseme sitakiwi , piga magoti uombe ili Mungu akujulishe huu msaada ni wake or not, CZ Mungu anaweza pita kwa yeyote yule Ili kuvusha watu wake. Na Mungu hajafungiwa ktk box kuwa lazima msaada utoke kwa imani yako tu.

Bt ktk Hilo swala la kutoa nyama Kama sadaka siafiki hata mm, imani hairuhusu kula sadaka
 
Nice!..☝️👌👌👌💪💪🙏🙏🙏
 
Sadaka huwa inaendana na madhabahu. Pia sadaka huwa inaendana na kunenewa.

Nilichokigundua baada ya kusoma comments nyingi humu ni tafsiri na uwelewa wa hayo maneno baina ya watu wa mirengo tofauti.
Mirengo wa upande uliotaka kutoa sadaka/msaada, hakuna tafsiri hiyo.
Tujuavyo msaada hutolewa kwa wahitaji hasa wa wakati huo, lakini sadaka hutolewa kwa wahitaji na wasio wahitaji.

Na sadaka si lazima iwe kitu, kuondoa uchafu njiani ni sadaka, kumwambia maneno mazuri mwenzako ni sadaka, kumuongoza njia mwenzako ni sadaka, kupatanisha wanaogombana ni sadaka na kama hayo.
Wakati mwengine SADAKA inaitwa ZAKA ndogo.
Zaka ni aina ya sadaka ambayo ni sehemu ya 10 ya mapato yako.
 
Warabu wameanzisha kafara ya Kujenga ukuta kwahiyo wakipokea hiyo sadaka wakajenga ukuta imekula kwao [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]. Asee hapa duniani omba maarifa na kujitambua ujinga/ upumbavu ni mzigo.
Hicho wanachokiogopa si kitahamishiwa huko wasikokuwa na mashaka nako? Kwa hiyo watakuwa hajakimbia bado.
Au unadhani KAFARA ni lazima kuchinja tu.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana kwa kutaa..hizo sadaka na ibada za hao waabudu majini..kama wanatoa misaada wajenge ukuta au madarasa na maktaba..huo ndio masaada wenye tija..sio nyama kesho waende chooni kunya..huku wakiachiwa majini.

#MaendeleoHayanaChama

Udini unawasumbua enyi manaswara
 
Hicho wanachokiogopa si kitahamishiwa huko wasikokuwa na mashaka nako? Kwa hiyo watakuwa hajakimbia bado.
Au unadhani KAFARA ni lazima kuchinja tu.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app

Nyie mnadhani waarabu/waisilamu ni kama ninyi mnaotoana makafara kisa utajiri ee,,, baba anamtoa kafara mwanae kisa utajiri kwa maagizo ya mganga akili iyo!!!!, huo ni ujinga na ulimbukeni. Waarabu wanaakili bwana, na uisilamu ndiyo umewafikisha hapo, hivyo wanajuwa wanachokifanya. Nyie endeleeni kuuwana, bila kumsahau mchungaji wenu aliewauza huko moshi kawaachia mafuta ya upako muuwane wenyewe kwa wenyewe jamaa akasepa mammae.

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Fikra za kinafiki na kimasikini sana
Acha misaada mbona wananunua kila siku nyama mabuchani?
Halafu watoto wao hao hao wanachanjwa na kupewa madawa je huwa wanahoji madhara na faida zake?

Naona hapo ni udini zaidi hakuna kingine ila wana maamuzi yao pia
👇🏿
Sadaka yoyote huwa ina mahusiano na imani, inategemea aliyetoa anakuwa na malengo yapi
 
Tofauti za mila, desturi, mizimu, dini za kuja kwa majahazi na manuwari n.k zinahusika.

Viongozi wa serikali, wakuu wa jumuiya wawe wanajali imani za watu wa maeneo husika na kuwashirikisha badala ya kutumia maguvu kuwalazimisha. Ikiwa hawataki kushiri katika jambo la kiimani, tambiko au sadaka za kuchinjs kuchoma au kutupa mwituni n.k basi wananchi husika wasilazimishwe.

1644981892483.png
 
Back
Top Bottom