Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

kuna

mmoja katoa mawazo mazuri kuwa kama wao wema wabadilishe matumizi badala ya kula nyama kwa siku moja wawajengee ukuta nao ni kama hawataki.
haya ni mazingira inawezekana yakawa ya kafara na si lazima wafe watoto lakini nani anajua manuizo ya hiyo sadaka na mahusiano ya ardhi ya watoto wetu watakayogusa.
swala la kumwagika kwa damu si swala la kuchukulia masihara na kirahisi rahisi na hasa mji kama Arusha

Kafara unaijuwa wewe tuu,,, kwa waarabu/waislamu hicho kitu sijawai kukisikia,,ni huku tuu miongoni mwao wanatoana kafara baba anauwa mwanae au kumchizisha kisa atajirike. Nasema hivi huu upumbafu kwa waarabu/waislamu sijawai sikia mzehe.
 
Ndiyo maana nikasema kwa sababu wewe siyo muislamu huwezi juwa faida za sadaka/zakaa. Ukiingia kwenye uislamu ndiyo utajuwa yote ayo.

Suala la vitabu wajitokeze na wengine, au hata wewe apo umeona chakula siyo ishu wanunulie bac.
Sasa walionunuliwa wamekataa kuna TATIZO?
 
Mtazamo jambo zuri, wapeleke msaada penye uhitaji kama sadaka iende msikitini au skul za dini yao au madrasa, idea iko misplaced wazazi wana akili sana, naunga mkono kukataa sadaka, watoe msaada ili hio mifugo iuzwe ujengwe ukuta
 
Sadaka to the needy people, those wazazi of this skuli aren't among the needy, the Arabs have got a misplaced idea with this sadaka of theirs, kafara imegoma wakajipange upya
 
Udini na ushirikina,
Yaani wanaona watoto wakila nyama watakuwa waislamu?
Kila asiyetaka azuie mwanawe lakini asizuie wengine,
Wengine wanataka nyama
 
Udini na ushirikina,
Yaani wanaona watoto wakila nyama watakuwa waislamu?
Kila asiyetaka azuie mwanawe lakini asizuie wengine,
Wengine wanataka nyama
Sawa..ila wawaelekeze kwenye madrasa na misikiti hao wanao zitaka hizo nyama wakale huko..shuleni hatutaki..tunataka ukuta au maktaba

Nyama tunakula leo kesho tunaenda kunya..faida yake nini.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa walionunuliwa wamekataa kuna TATIZO?

Wamekataa bac wawapelekee wanaohitajia,,,kuna masikini na mafukara wengi tuu wana shida.

Kama ni mimi ndiyo muegypt nisingebembeleza mtu wakati kuna wa2 wanashida,,wanaishi na mlo mmoja kwa siku alafu wao wanaleta shobo
 
Huko Egypt imeshindikana kutoa iyo sadaka ya kuteketeza?

Huwezi ukashiriki tu kichwakichwa kwenye sadaka ya kuteketeza bila kujua dhumuni nilipi. Unaingiza kwenye maagano ya kiroho usiyoyajua
 
Huko Egypt imeshindikana kutoa iyo sadaka ya kuteketeza?

Huwezi ukashiriki tu kichwakichwa kwenye sadaka ya kuteketeza bila kujua dhumuni nilipi. Unaingiza kwenye maagano ya kiroho usiyoyajua
Huku masikini na mafukara ni wengi sana ukilinganisha na nchi za kiislamu.

Halafuu acha kufananisha waarabu/waislamu na vitu vya kipumbavu kwa maana wanaotoa kafara ndugu zao kisa utajiri bwana. Mwarabu/muislamu hawezi fanya huo ushenzi, hicho ki2 cjawahi kuckia.

Kwakuwa wewe co muislamu huwezi juwa nini maana ya sadaka/zakaa.
 
Hapa mi naona ishu ni waarabu/waisilamu,,kuna viumbe wacojielewa wanawachukia waarabu bila sababu.

Ingelikuwa walee jamaa zao from Europe wacngepiga kelele, so ishu ni waarabu hapa. Sasa pigeni kele hadi mpasuke na ikibidi mjitie kitanzi mfe kabisa. Mimi huwa nawapa cash cash.
 
""**Aidha aliongeza Kwa kutoa maelekezo Kwa wazazi wasiotaka kuchangia wakamatwe na kufikishwa kituo Cha polisi."""

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

Hi imekaaje naomba nieleweshwe kua ni sahihi ama la?
 
Huko Egypt imeshindikana kutoa iyo sadaka ya kuteketeza?

Huwezi ukashiriki tu kichwakichwa kwenye sadaka ya kuteketeza bila kujua dhumuni nilipi. Unaingiza kwenye maagano ya kiroho usiyoyajua
Mimi nashangaa .... Msaada ya siku moja wa wali nyama.... Siku inayofuata watoto wanakwenda haja kubwa wanatoa kila kitu.... Sioni hata Kama ni kitu tangible kwa jamii yetu kwa sasa. Huko majumbani kwa wanafunzi wanakula wali nyama na wazazi wao japo Mara moja kwa wiki.

Wapatiwe msaada kwa kile ambacho kweli Kama jamii kina faida kwa wengi na kwa muda mrefu Kama kujengewa vyoo na ukuta etc.
 
Sadaka to the needy people, those wazazi of this skuli aren't among the needy, the Arabs have got a misplaced idea with this sadaka of theirs, kafara imegoma wakajipange upya
Ni sahihi kabisa. Jana nimesikia clouds fm kumbe Wana mpango wa kutoa misaada /sadaka hizo kwa shule zote za msingi na sekondari wilaya ya Arusha.

Nimeshangaa sana.
 
Ikumbukwe kuwa Wazungu wa Marekani pia wameshatoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya lishe mashuleni......

Hapo napo watazuka watu wa kudai hao ni Freemasons, wengine watasema hivyo vyakula vinaharibu akili za watoto!

Wakiambiwa kuchanga watoto wao wale wanasema eti, 'walimu watakula' hatuwezi kuchanga!

Watoto wanakaa na njaa kutwa mzima. Wakifeli walimu hawafanyi kazi!

Afrika is shit hole!
But still they hve got every right to object or agree..wao wamepata mashaka sasa njaa za watoto wao kutwa nzima wewe zinakuhusu nini??? Unawalipia wewe karo..do u even know their history hapo shulen kuhus malipo?
 
Back
Top Bottom