Wazazi/ walezi jitahidini sana kuzisoma hisia za watoto wenu

Wazazi/ walezi jitahidini sana kuzisoma hisia za watoto wenu

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Hii kitu imeleta shida hapa eneo ninaloishi, nipo huku mkoani kikazi na kwakuwa kazi yangu itachukua muda mrefu nimeona nipange nyumba kabisa.

Sasa hapa nilipopanga naishi na mama mwenye nyumba ambae ana kibinti chake kilichovunja ungo, nadhani mnaelewa sifa ya hivi vibinti vinakuwa vya moto sana na kikipenda huwa kimependa kwelikweli sasa kibinti cha watu kikawa kimezimika kwangu si unajua tena mimi mwizukulu mgikuru nina rangi ya mwili mng'ao na pia napenda kutupia pamba kiasi.

Mwanzoni nilikakazia nikakaambia wewe bado mdogo sana soma kwanza kibinti hakikunielewa kabisaa nacho kikaendelea kukomaa na mimi, mwizukulu mgikuru uzalendo ukanishinda nikaona nijilie tu polepole kabinti kakazoea kakawa kanazama chumbani bila hata kugonga mlango na mimi nikaona hii itakuja kuwa kesi ngoja nikachome sindano ya kuzuia mimba, kumbe muda wote huo yule mama mwenye nyumba alikuwa ameishausoma mchezo akaniita na kunipa onyo kali, ila kabinti kakaendelea kukomaa na mimi.

Mama mwenye nyumba akachachamaa akawa hakapi nafasi kale kabinti mwisho wa siku kabinti kametoroka na hakujulikani kalipo (kameipeleka papuchi kwenye jamii ya watu wenye kila aina ya tabia ), huko sasa tutegemee mimba, magonjwa ya zina au UKIMWI.
 
Wewe utafanya nini mimi nikilala na mtoto wako wa miaka 17?
 
Nitamtafuta muhusika nimpe onyo
Unaandika hivi sababu bila shaka hauna mtoto. Ukipata mtoto wa kike na kujua uchungu wa mzazi na malezi alafu atokee mpumbavu mmoja amuharibu basi utajua nini cha kufanya.

Kwa sasa endelea kuharibu watoto wa watu lakini tambua zamu yako inakuja na utajua maana ya uchungu wa mtoto.
 
Ngoja boom liishe mkose mabando mtupumzishe na hizi nyuzi zenu za vijiweni
 
Back
Top Bottom