Wazazi/walezi tuna-fail wapi?

Asante sana Mtende kwa mchango wako. Umegusia vitu vya msingi sana.
Ukweli ni kwamba our society is more dysfunctional than we would like to admit. Kuna umuhimu wa serikali pamoja na taasisi nyinginezo kutoa elimu kuhusu hasara za muda mrefu zinazoweza kusababishwa na "sifa" tunazokimbilia sasa hivi, pia kushinikiza uwajibikaji wa wazazi kwa watoto. Haya ndo maswala wataalam wa maswala ya kijamii wanatakiwa kuzungumzia but hola😏

I hope baadhi ya wazazi watafunguka macho ama kupunguza ubinafsi kadri kutokana na taarifa kama hizi.
 
Ni kweli Lizzy, wazazi wanatakiwa kuwa namba moja kuwajibika, ila sioni kama ni rahisi sana kwa nchi yetu kwa sababu vipaumbele vimewekwa kwenye mambo mengine bila kuangalia msingi wa taifa ambao ni watoto
 
Mkuu kwanza sahihisha kauli yako hapo uliposema wenzetu wa Magharibi. Please futa hiyo kauli maana wale sio wenzetu.
Ukitaka kujua nitakuambia but futa kwanza.
 
Nianze na wew je umezaliwa kwa kufuata hizo pillars?
 
Nianze na wew je umezaliwa kwa kufuata hizo pillars?
Trying my best kwa kweli, lobing everything aside jut to make sure my kids gets all the attention from mommy than from anyone else
 
Trying my best kwa kweli, lobing everything aside jut to make sure my kids gets all the attention from mommy than from anyone else
It should be "from mommy and daddy than anyone else"! Unless dad doesn't exist in your kids' life!
 
It should be "from mommy and daddy than anyone else"! Unless dad doesn't exist in your kids' life!
That is how it is, lakini kwa maisha yetu ya kitanzania ni ngumu to have equal time to spend with kids, yani mimi nitoke ofisini saa kumi na mr nae atoke saa kumi , atlist when am not there daddy will be there and when he is late i am there for the kids, on weekends mostly wanapata time from the two of us but weekdays ni ngumu kwa sababu ya mazingira ya kazi and so
 
Trying my best kwa kweli, lobing everything aside jut to make sure my kids gets all the attention from mommy than from anyone else
Ujue ulinichanganyia mambo uliposema watu hawafuati mpango uzazi ukachanganya na watu kupeleka kids boarding kwanza hakuna mzaz mwenye watoto saba mwenye watoto boarding kama wapo ni wachache mno mkuu usome utandawazi na uuache hivyo hivyo tu maana jamii inapotoka kwa kusoma na kutazama 90% ya wasomi Duniani ni malimbukeni wa lifestyle wasizozijua asili na makusudio yake jamii inapotoka kwa kiasi kikubwa kupitia Elimu makapi na mazingira ya pale wanapoenda kuattain hiyo elimu
Uzazi wa mpango uliletwa na watu waliokuwa kwenye overpopulated areas na inafaa sana kwa Mataifa yale yaliyopiga hatua kiuchumi na waliokosa utu watazame wale wazungu wanavyoishi na mbwa na paka ndani kwa budget kubwa huku mitaan kuna watu wengi wanakufa kwa njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…