🙃🙃🙃😳KwishaaSerikali haina fedha jamani, hivi hatuelewani? Fedha iliyopo ni kwa ajiri ya kuwapeleka bongo movie South Korea kula bata na kuwalipa wana bongo fleva kutumbuiza kwenye ziara za watawala .
Ni hatarikwenye bajeti utasikia billions of money utekelezaji ziiii...
Mitano tena kwa Mama kizimkazi na hapa ipo.Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Wilaya ya Simanjiro Manyara wazazi wamejenga darasa kwa udongo ili kuwasaidia watoto kujipatia elimu lakini pia kuokoa maisha yao kutokana na korongo la msimu huwa wanashindwa kuvuka na kusombwa na maji.
Wakizungumza mwenyekiti wa kitongoji,wazazi na mwalimu wa darasa la awali wamesema imewabidi kufanya hivyo ili kunusuru maisha ya watoto wao.
Tazama hapa
View: https://www.instagram.com/reel/C_4pRAWv-pg/?igsh=MTNrODBpMmdpYzZjMA==
😂WanampendaMitano tena kwa Mama kizimkazi na hapa ipo.
Paper budget..kwenye bajeti utasikia billions of money utekelezaji ziiii...
Tunanunua magoli ebu mtuache tupumue kidogo.Serikali haina fedha jamani, hivi hatuelewani? Fedha iliyopo ni kwa ajiri ya kuwapeleka bongo movie South Korea kula bata na kuwalipa wana bongo fleva kutumbuiza kwenye ziara za watawala .
Nani Kama Mama ? CCM Wanajibu Hakunakwenye bajeti utasikia billions of money utekelezaji ziiii...