Wazazi wamejenga darasa kwa udongo watoto wanakaa chini kusoma Simanjiro.

Isack888

Member
Joined
May 16, 2024
Posts
27
Reaction score
43
Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Wilaya ya Simanjiro Manyara wazazi wamejenga darasa kwa udongo ili kuwasaidia watoto kujipatia elimu lakini pia kuokoa maisha yao kutokana na korongo la msimu huwa wanashindwa kuvuka na kusombwa na maji.

Wakizungumza mwenyekiti wa kitongoji,wazazi na mwalimu wa darasa la awali wamesema imewabidi kufanya hivyo ili kunusuru maisha ya watoto wao.

Tazama hapa
View: https://www.instagram.com/reel/C_4pRAWv-pg/?igsh=MTNrODBpMmdpYzZjMA==
 
Serikali haina fedha jamani, hivi hatuelewani? Fedha iliyopo ni kwa ajiri ya kuwapeleka bongo movie South Korea kula bata na kuwalipa wana bongo fleva kutumbuiza kwenye ziara za watawala .
 
🙃🙃🙃😳Kwishaa
 
Mitano tena kwa Mama kizimkazi na hapa ipo.
 
Halafu kunavichaa wanasema mama Yao anaupiga mwingi.ukichaa huu unaumiza Nchi yetu
 
Fedha iliyotumika kwa ajili safari ya wasanii nchini Korea si ingelekezwa huku ambako kuna tija. Watanganyika kazi tunayo.
 
Serikali haina fedha jamani, hivi hatuelewani? Fedha iliyopo ni kwa ajiri ya kuwapeleka bongo movie South Korea kula bata na kuwalipa wana bongo fleva kutumbuiza kwenye ziara za watawala .
Tunanunua magoli ebu mtuache tupumue kidogo.
 
Wacha waendelee kuchagua MATAGA.
Waendelee kukumbatia umaskini hadi wafe wote.
 
Back
Top Bottom