Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

Mwambie huyo mchumba ajiongeze kidogo kwani baba yako keshaona options ya utajiri ni wewe na hilo kabati lake.

Wazazi sometimes tujiheshimu
 
Nimemkumbuka Maunda Zorro.

Any way, mapenzi ni ya wawili
 
Mimi nilikuwa na mtoto wa dada yangu ila huyu bidada alikuwa ni mchagua mume mwenye kipato kwakweli hali ya kubahatika waume alikuwa anapata kadiri siku zinavyokwenda baada ya kupita wanaotangulia kumpenda ili aolewe lakin majivuno na dharau za kuchagua alizifanya kubwa. Ebwanae umri nao ulikuwa unaenda sana.


Mara ya mwisho alikubalikuolewa akiwa na umri wa miaka 40.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 

Wakati wengine wanaendelea kukushauri kwa habari ya mahari, mimi nina swali moja hapa...

Inakuaje kijana anaenda nyumbani kwenu kujitambulisha, na wakati huo huo analeta mahari?

Nijuavyo mimi hatua ni kama hivi Kujitambulisha >> Posa >> Mahari >> Ndoa...

Dhumuni la kujitambulisha huwa ni kutoa mwanya kwa wazazi kumjua kijana kitabia, kudadisi ukoo wake na mambo mengi kadha wa kadha...
 
Reactions: Cyb

Ila huyo aliyekubali kadhia ya miaka 14 walikua wanaishi miaka 100+
 
Wengine wanaolewa Wazazi hawataki Mahari, wengine wanaolewa Wazazi wanataka Mahari kubwa, Mungu akusaidie katika hii changamoto unayopitia ila wanachokifanya Wazazi wako siyo powa kabisa.
 
Kama familia yako ina kipato kikubwa kuliko cha huyo mchumba/mpenzi wako basi mzee atakua amemuepusha huyo mwanaume na mengi sana.

Sometimes wazazi wanataja mahali ili kupima tu misuli ya kiuchumi ya muoaji na sio kua wanashida nayo kivile.

NB: jukumu la Mwanaume ni kutunza familia yake ( mkewe na watoto) sio ukweni.
 
Mzee wako anamatatizo, eti kama hawataki watakuja wengine
 
Baba yako ameingiliwa na mashetani Wabaya wasiokutakia wewe Maisha Mema.

Mtu anayetanguliza Mali mbele kuliko UTU NI zaidi ya Shetani.
Natamani huo msala ungenipata Mimi.

Mimi ningekuoa na hiyo 2.5M.

Mwambie Baba yako Utajiri kamwe hauwezi nunua upendo
 
Umemaliza
 
neurosurgery ndio mzee akaona ni bonge la issue kwenye social life. Aisee ukileta academic success kwenye social life utafeli vibaya sana. Mtu mwenye academic success ataaspire academic success na social life itakuwa 0, mimi shuhuda.

Sasa kwenye kujenga familia, uwe na mwanaume au mwanamke, degree, masters au PhD haisaidii chochote. Pili wengi waliosoma Russia ni scholarship sio pesa ya kulipa mtu per se. Na kama mzazi mwenye akili, angetafakari athari ya kipsychologia inayompata mtoto kukosa mzazi mmoja, sio ndogo aisee.

Yaani hata uwe mwanamke tajiri kiasi gani, kumkosesha mtoto wa kiume malezi ya baba atakuwa hajiamini hata siku moja, babu sio baba hivyo wengi hugeuka irresponsible au mashoga na kwa wakike hupata an empty hole ambapo atachezewa na kila mwanaume ili afukie hilo shimo.

kwahiyo mzee kaona mshahara wa neurosurgeon ulovyomnono ndio akamthaminisha binti yake, aisee amemuweka binti yake kuwa mzinzi akitegemea kuwa pesa nyingi huficha uzinzi, aisee.

Kitu kimoja shika, mwanamke atabaki kuwa mwanamke, hata uwe secretary wa USA au UN, thamani yako huenda zadi na kujitunza na umri wako.

In the end kuna wamama wakurugenzi wameishia kutunza wanaume wavulana kwasababu ya kukosa mume na vicious cycle ya kutunza mtoto kipumbavu inajirudia tena, sema mpe huyo dada heshima yake, hiyo masters sio mchezo.
 
Sio ukweli, baba anatumia busara bali alijuaye bora ni Mungu tu. Actually kwakizazi hichi, wasichana wengi hulala na baba zao kisirisiri, so sikweli wanajua lililo bora.
 
Baba ako mwenyewe maskini anatafta hyo m10 akafidie kiinua mgongo kama wenzake waliopiga kaz serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…