Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

akienda akianza kuliwa kiboga mtamsaidia maana vitu vzuri gharama na yeye ashamuelewa msela wake
Aliwe kiboga inakujaje tena hapa. Mbona nyie watu mnapenda sana story za kulana tigo
 
Kwan kumention kuwa mimi sijaolewa ilikua na mahusiano gani??Rafiki kuna mahala huwa unafeli pakubwa sana
Ile ili jokes bwana wewe, dah hutaniwi.
Ila jamani tuwe na huruma kwa wazazi wanapitia mengi alafu kwanza unajua hapa tungepata picha ya mtoa mada. Inaweza kuwa pisikali kweli kweli
 
Eti kadhia ya miaka 14 ILI Rahel awe mke wake!!! Wewe una amini kuhusu hiyo story ya kutunga? Mwanaume anaweza kufanya upuuzi kama huo?
 
Tambua hakuna mahali kama hiyo niliona tajiri ameoa kwa 1.5mil tu. Tena alitoa tu hyo hapo anayofanyiwa jamaa yako ni obstacle tu labda ni kweli maskini, maana kwa kutafuta anaweza kuuza assets zake akapata ila je huku mbele itakuwaje?

Angekuja tajiri hata bure ungeolewa tambua hilo ila huko mbele atakuja kwa kigezo ya kuja kusaidia familia yenu. Anawezekana kwa appearance tu yuko ovyo hana kazi ya maana hii ndo dunia ya sasa ya kitu hupati thamani pole sana mdada .

Uzuri wa pesa inakupa heshima hata kama hutumii yapo wenye pesa wanaheshimika na watu hata hawajai kuwapa hata shilling 10.
 
Mtoa mada chonde chonde usisikilize ushauri wa kubeba mimba eti ili mzee atulie. Usifanye hivyo kabisa. Utajuta.

Alafu vyema ungeweka picha yako hapa maana hawa watu hawajui tuu jinsi ulivyo pisikali. Mie hata hiyo m10 kwa uzuri wako ni ndogo
 
Nashukuru sana..
 
Mimi sijui wewe ni dini gani, lakini, kwa sisi Wakristo imeandikwa, "waheshimu baba yako na mama yako". Hii ni Amri ya MUNGU na haina mjadala!

Tena maandiko yanasema "baba" anamamlaka ya kuamua mahari na ana mamlaka ya kumuoza binti yake kwa mtu yeyote anayemtaka baba. Soma, Kutoka 22:16-17.

Kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu, baba wa binti ana mamlaka ya kuamua binti yake anaolewa na nani na kwa mahari ya kiasi gani. Baba amepewa mamlaka ya kuamua ni nani amuoe binti yake.

Kupingana na maamuzi ya baba kwenye suala la kumuoza binti yake ni sawa na kupingana na maamuzi ya MUNGU.

Maagizo na maelekezo ya MUNGU yana busara na hekima kuu kwetu sisi Wanadamu lakini mara zote tumekuwa tukipingana na maagizo ya MUNGU.
 
Kazi ya kueleweka anayo..N mhandisi wa masuala ya umeme.Lkn kwa sas mwenyez mungu hajajalia kupata kazi kwa ivo anajishikiza kweny mishe mbali mbali hata hio mahali hamna mtu kamchangia.
 

Kwakweli nimesikitishwa sana na kumuonea huruma huyu Binti wa watu.

Kumlinganisha thamani na kabsti sio busara hata kidogo, inamaana Binti yake anathamani ya 10M?

Kuna mahali huyu Mzee vitu haviko sawa, hata mahusiano yake na watu wengine yanawezakuwa na ukakasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…